Search results

 1. W

  Bunge la katiba limewasahau wafanyabiashara?

  Makundi mengi kabisa yamewakilishwa kwenye Bunge hili isipokuwa Wafanyabiashara ambao kwa ujumla wao ndio walipakodi wakubwa. Wana TCCIA, CTI, TPSF na ATE lakini wamesahaulika kabisa. Wapo pia Wafanyabiashara WAZAWA wenye uchungu na rasilmali za Taifa hili na WaTanzania. Imekuwaje...
 2. W

  Ioc

  Rais mpya wa IOC ni Thomas Bach wa Ujerumani. Huyu ni Rais wa nane wa taasisi hii huku saba kati yao wakitoka mataifa ya Ulaya!
 3. W

  Mahela ya kampeni

  Former U.S. Rep. Jesse Jackson Jr. was sentenced today to 30 months in prison for misuse of about $750,000 in campaign funds. The Illinois Democrat pleaded guilty in February to using campaign money for personal expenses that included buying Michael Jackson memorabilia, furs and a Rolex watch...
 4. W

  Kinachotakiwa Tanzania: Judges and Magistrates Vetting Board (JMVB)

  Nia ya kuanzisha chombo hiki ni kurudisha matumaini kwenye chombo hiki muhimu cha DOLA cha utoaji wa HAKI. Tumeshuhudia hukumu nyingi za hovyo, zenye utata mwingi, zenye kuacha maswali mengi huku zikigharimu fedha nyingi za walipakodi wa nchi hii. Tumeshuhudia pia ucheleweshwaji wa kesi nyingi...
 5. W

  Pinda ni zaidi ya Cleopa David Msuya

  Wakati ule Waziri Mkuu wa zamani Msuya anasimamia kwa nguvu zake zote kuanzishwa kwa wilaya mpya ya Mwanga wengi tulimwona ni mkabila, mtu anayependelea kwao. Waziri Mkuu wa sasa, Mizengo KP Pinda ni zaidi ya Msuya. Katika kipindi hiki kifupi tu cha uwaziri mkuu wake kaanzisha mkoa wake...
 6. W

  Wassira on our 51yrs of Independence

  Sio vibaya tukipata muda tukamwona na kumsikiliza Bwana Stephen Wassira baadae leo saa 3 usiku TBC1. Jamaa ni mjenga hoja mzuri wakati mwingine hata kwa kulazimisha tu. Anaongelea miaka 51 ya uhuru wetu.
 7. W

  Karo ya shule baobab yapanda ghafla

  Nimekuwa nikipiga kelele humu JF serikali ianzishe kitu kinachofanana na EWURA kwenye maji na nishati kwa masuala ya ELIMU lakini serikali imekaa kimya kwa kuwa miradi hii ya shule binafsi ni ya kwao. Sekondari ya Baobab iliyoko nje kidogo ya Jiji la Dar, barabara ya Bagamoyo, imepandisha KARO...
 8. W

  Registered Members wa JF 100,233 leo.

  Wote hawa tungechangia hata shs 1000 tu kwa mwaka, JF ingepata zaidi ya milioni 100. Mods angalieni namna tunavyoweza kuchangia hata kwa zile namba tano za simu za mkononi.
 9. W

  Odila Ongara afariki dunia

  Marehemu Odila Ongara alikuwa mtumishi mwandamizi serikalini hadi kufikia ngazi ya Katibu Mkuu wa wizara mbalimbali. Amefia Iringa jana. Poleni wafiwa wote.
 10. W

  Libya na Tanzania

  Membe anasemaje kuhusu Libya sasa? Au ni hadi atakaporudi toka Marekani!
 11. W

  Muhimili upi wa dola unaongoza kwa rushwa na kuhongwa?

  Tunayaona na kuyasikia yanayoendelea kwenye mihimili hii mitatu yaani SERIKALI, BUNGE na MAHAKAMA. Ni muhimili upi sasa unaomba na kupokea rushwa kwa wingi? Ikiwa hali ni mbaya kwa mihimili yote wapi pa kukimbilia? Tunaipeleka wapi NCHI yetu? Kuna tiba ya rushwa nchi hii? Au tuishi nayo kama...
 12. W

  Katiba ya Tanzania: Rostam anauachaje ubunge?

  Watanzania wenzangu, Nimeisoma kwa kuirudia KATIBA yetu ya sasa ya JMT sijaona mahala popote panapompa Mbunge wa Bunge la Jamhuri yetu nafasi ya kuacha Ubunge kwa kujiuzulu kwa hiari yake kama alivyofanya Mh Rostam. Nisaidieni nipate mwanga zaidi.
 13. W

  Hotuba ya bajeti ofisi ya waziri mkuu ni kesho.

  -Tutarajie yapi kutoka kwa Mtoto wa Mkulima? -Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani ametuandalia lipi? -Ataomba Mchakato wa KATIBA mpya uharakishwe? -Vita ya posho, mashangingi itaendelea? -Vipi upanuzi wa serikali wa kuongeza mikoa, wilaya? -Mauaji ya raia yanayofanywa na vyombo vya DOLA je...
 14. W

  Misaada kwa waathirika wa mabomu au kujitangaza kibiashara na kisiasa?

  Nimeona kampuni, taasisi na asasi mbalimbali zikitoa misaada ya kiutu kwa wahanga mabomu Gongo la Mboto kwa staili ya kujitangaza na kujinadi zaidi. Nimeona pia WANASIASA wetu na wake zao wakiende kutembelea sehemu zilizoathirika na mabomu haya sanjari na wagonjwa waliolazwa mahospitalini kwa...
 15. W

  Bunge Limehairishwa... Ni kipi cha maana kilichofanyika?

  -Anawashukuru wamechangia posho ya siku moja kwa wahanga wa mabomu ya Gongo la Mboto. -Anasema wamekufa 20 kutokana na mabomu hayo hadi jana jioni ============== Hotuba kamili ya Waziri mkuu ni hii hapa chini ============== HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WAKATI WA...
 16. W

  The State of the Union address

  Na sisi kama Watanzania tunao Muungano wetu. Rais wetu wa JMT naye angekuwa na hotuba yake kila mwanzoni mwa mwaka akalihutubia BUNGE pamoja na BARAZA LA WAWAKILISHI kwenye kikao cha pamoja akaongelea kwa undani mambo ya Muungano na kero zilizopo kama ifutavyo: -Mambo ya Ndani -Utendaji wa...
 17. W

  Elections 2010 Lyatonga aitaka tena wizara ya mambo ya ndani

  Agustine Lyatonga Mrema amefanya "booking" kwa Rais yeyote ajaye ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani ambayo anaamini aliimudu sana. Anasema hajazeeka kwani hata akina Papa Benedict wa 16 bado yuko kazini pamoja na kuwa na umri wa miaka 82!
 18. W

  Midala ateuliwa kuwa CEO wa DAWASCO

  Waziri wa Maji, Prof Mark Mwandosya hatimaye amemteua Jackson Midala kuwa CEO mpya wa kampuni ya maji Dar, DAWASCO.
 19. W

  Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

  Kuna taarifa kuwa Mbunge huyu machachari amekuwa kigogo wa kwanza kabisa toka CCM kwenda CCJ. Mbunge wa Jimbo la Kishapu (CCM) Fred Mpendazoe (katikati) akitangaza kwa waandishi wa habari jana jijini Dar leo ju ya nia yake ya kuondoka Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha...
 20. W

  Clouds FM: Katika hili mnastahili pongezi

  Clouds FM wamejiunga na Red Alert na mkurugenzi wao Joseph Kusaga yuko studio anawapigia simu watu maarufu ili wachange na tayari ameshachangisha zaidi ya 5m. Wanachangisha pia kwa njia ya sms.
Top Bottom