Search results

 1. C

  Jamani tunaofahamiana habari za siku nyingi

  Just to say Hello to you all who we know each other! Bado tunaishi tunamshukuru Mungu, maana miaka mitano nyuma lolote lilikuwa linaweza kutokea.
 2. C

  Wapendwa nisaidie nitapata wapi hii spare ya gari

  Jamani natafuta air mass sensor ya Nisan serena make ya 1997. Nitapata wapi au mwenye nayo tuwasiliane inbox tuyajenge. Air flow sensor for NISSAN SERENA (C23M) 1992–2001 2.0 16V, Petrol SR20DE , 93kW Change vehicle Results found: 1 Air Mass Sensor Denso DMA-0214 Item code: AL604740...
 3. C

  Kwa speed hii kesho atavunja Magistrates court

  Mh, kama anaweza vunja Mabaraza ya kata, ambayo yapo kisheria, kesho nawaapia atatangaza kuvunja Magistrates court. Ngoja imhukumu "mpendwa wa mkojo" na bangi kuwa na hatia! mtaona. Mkuu wa mamlaka za mahakama hizi ajiandae kwa pigo hilo!
 4. C

  Rushwa hitakaa iishe: Judge Kiongozi wa wa mahakama ya mafisadi Nigeria akamatwa kwa rushwa

  Jaji Kiongozi (Head of anti corruption court) Bwana . Danladi Yakubu Umar alipokea mlungula wa US$ 27,800 na US$ 5000 ili aweze "kumlegezea mtu kesi ambazo zilikuwa mbele yake. Kitengo cha kupambana na rushwa nchini humo ( TAKUKURU ya Nigeria) kimebainisha. Mahakama ta mafisadi kwetu...
 5. C

  Kuna vinasaba (genes) vya Ushoga--Utafiti wa kisayansi wathibitisha

  Utafiti umeonyesha kuwa Ushoga unakuwa biologically determined. watafiti wameendelea kuonyesha kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na tabia za ushoga na genes fulani na hivyo kutoa mwanga zaidi kuwa mashoga sexual orientation yao is genetically controlled, na hivyo kuzidi kutoa ushahidi wa...
 6. C

  Kitu gani kimekukera leo 10/12/2017 na hukitaki

  Mimi nimekereka sana na JF kuunganisha threads zisizo na maudhui sawa. Hivyo Leo siwapendi katu!
 7. C

  Mh Rais, bei ya sukari ni Tsh. 3000

  Tumejifunza nini? Bei ilikuwa Tsh 1800, kabla ya Rais kuingilia kati, sasa ni 3000 Tsh. baada ya kuingilia kati. Kuna la kujifunza hapa, tumejifunza nini? Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
 8. C

  Vijana wenye Div 1 na 2 kukacha kwenda form five na kwenda vyuoni hasa utabibu, kulikoni?

  Uchunguzi wangu unaonyesha vijana wenye Div 1 na 2 wanakacha kwenda form five na kwenda vyuoni hasa vya utabibu, kulikoni? Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
 9. C

  Idara ya Ardhi na rushwa

  Lizaboni, Jingalao, Motochini and Lumumba company Ltd., mnajitapa kuwa idara ya utumishi wa umma maofisini kumekuwa na nidhamu, Nenda idara ya ardhi Moshi uone rushwa ilivyotamalaki! Na siyo Moshi tu, idara ya ardhi Tanzania nzima, Lukuvi la maofisini hajafanikiwa. Nawataarifu hakuna nidhamu...
 10. C

  Mh. Muone Mpendazoe

  Jamani huyu baba akumbukwe. Juzi alijitahidi kumponda Lisu. Azawadiwe jamani
 11. C

  Msaada: Malipo ya NACTE confirmation message haiji

  Nimelipa ada ya kufanya registration NACTE ya kujiunga na vyuo. Confirmatiom msg haiji. Nifanyeje.
 12. C

  TRENI NA MIUJIZA MAMA MABASI YA MWENDOKASI YALIVYOLETA MIUJIZA

  Mwananchi limeandika jinsi treni itakavyoleta miujiza. Najiuliza, hivi miujiza ya mabasi ya mwendokasi ilishakuwa realised? Tuliaminishwa miujiza na mabasi, tuamini na treni? Ngoja tuwe na matumaini, lakini tuanze, tuthubutu!
 13. C

  KIKOSA AIBU USONI

  Hivi Bashite kweli ujasiri wa kusimama mbele ya watu na huku amegushi vyeti anautoa wapi? Usoni hana haya na ataganya makubwa ya kuangamiza nchi
 14. C

  Kilimanjaro Motor: Prof. Mkumbo and the team wako vizuri

  Nafuatilia majadiliano, washiriki wako vizuri katika kuchambua udahiri na TCU
 15. C

  MSAADA:KEYBOARD YA SPLIT TYPE LAPTOP HAIFANYIKAZI

  Wataalamu naomba kujua kwa nini keyboard ya laptop, hp, split type haifanyikazi. Nikiweka keyboard remotely controlled inafanyakazi. Tatizo lake ni nini?
 16. C

  Kujitoa nchi za kiafrika ICC, a second era of armed struggle in the making

  Nimesikiliza mkutano mkuu wa nchi wanachama wa ICC. Bado Bensuda ana imani kuwa nchi zitabakia kuwa wanachama. Ikitokea nchi za kiafrika zikajitoa, wananchi wake wakakosa tumaini la kupata haki kutoka kwa watawala wao madikiteita, kuna uwezekano mkubwa nchi hizo zikajikuta zinaingia katika...
 17. C

  DESKTOP HAIPRINT EXCELL, POWERPOINT

  Nina Desktop HP yenye Windows 7 ULTIMATE. Nimeconnect printer HP inaleta madudu haya: 1. Default printing inakataa- default printer connection inakataa 2. It does not print excell and Powepoint Msaada tafadhali
 18. C

  MSAADA WA SHERIA YA UKOMO

  Wapendwa naomba msaada wa hili. Nilinunua shamba, mwanaukoo akataka kulikomboa (redeem a clan shamba). Akaambiwa kuwa alipe laki saba. Hakimu hakuweka hizo hela zilipwe ndani ya muda gani. Imepita kama miaka 5 , leo ameibuka eti anataka kulipa. Je sheria inasemaje katika scenario kama hiyo. Asante.
 19. C

  MWIJAGE WAHAYA WENZAKO NI MASIKINI

  Waziri, Wahaya wen xxx io wananuka umasikini, eti mitumba marufuku. You must be NSHOMILE per se
 20. C

  Criticism of Government Does Not Constitute Sedition, Says Supreme Court

  Someni hiyo bandugu: Criticism of Government Does Not Constitute Sedition, Says Supreme Court By J. Venkatesan on 05/09/2016 • The apex court on Monday cautioned the police against misuse of the sedition law and directed them to follow its earlier Kedar Nath judgment. ABVP activists...
Top Bottom