Search results

 1. C

  Natafuta kazi, Tutorial Assistant

  niko na degree ya ICT and Management, Diploma ya Electronics. nipo kwenye ajira ila natafuta chuo chochote cha kufundisha, nisaidieni wakuu!!
 2. C

  Wana MMU-MISSING YOU GREAT

  hamjambo wote. jamani hata kuuliza huyu jamaa kapotelea wapi hapana? mmenichukia au ndo majukumu mengi? haya nimewamic sana ndo nikasema kabla sijatoweka tena ni break the long silence and to assure you that i will be back soon tena ndani ya hii hii nyumba ya wakubwa byee.
 3. C

  ICC hague

  nimejaribu kufuatilia hii kesi ya wakenya huko ICC na nimeshtushwa sana mijadala inayoendelea. ukilinganisha na awamu ya kwanza, hii defense team ya sasa inaonekana kuimarika sana. mfano kuna huyu Khan wakili wa Mudhaura na Kahoe wakili wa Ali. wanatoa cheche zinazo wafanya mpaka majaji...
 4. C

  Nasikia sauti.....

  ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali ya moyo wangu, mtuliza wa machozi, mwenye kutia joto ubaridi. I i mic u so much mommy, i am coming...
 5. C

  Couples think about this parable

  for those in relationship or married consider this parable and deduce the lesson you can learn to enhance your r/ship or marriage. A little bird was flying in winter..The bird froze and fell on the ground..A cow came by and dropped some shit on the bird. The bird realized how warm it was and...
 6. C

  To all women respect for you

  WOMEN have strengths that amaze men. They carry children, they carry hardships, they carry burdens, they hold happiness, love and joy. They smile when they want to scream. They sing when they want to cry. They cry when they are happy and laugh when they are nervous. They volunteer for good...
 7. C

  Nahitaji kiwanja

  wakuu wangu, naomba msaada wa kupata kiwanja cha kuishi. sehemu yenyewe iwe na sifa zifuatazo 1. iwe sehemu yenye climate nzuri ( mvua hazikosekani) 2. udongo wenye rotuba ( natazamia kufanya kilimo na ufugaji-zero grazing) 3. kuwe ni inje ya miji mikubwa 4. usafari mzuri ( barabara) 5...
 8. C

  Tusker all stars

  baada ya kutazama tusker all stars jumapili nilikosa hamu kabisa kwa wale niliodhania. kwa mfano kipindi kilichopita Msechu alifanya vizuri sana lakini juzi Krrrrrr! aliniboa sana. anaulizwa maswali simple sana anajibu kinyume kabsaa na kujigamba kuwa ametumwa kutafuta pesa na haja yake ni pesa...
 9. C

  Bye bye- i love you all-mwaaa!

  Sitaki kuamini kwamba kila jambo na wakati wake ila kuanzia LEO itabidi nisaliti amri japo kwa majonzi makuu. Siku kama tano hivi nimekua nanyi humu ndani kwa furaha isiyoelezeka na wakati pia umefika kuwaacha kwa huzuni. Ni huzuni yenye furaha kwani kuwa nanyi kumenifunza na kunielimisha mengi...
 10. C

  Rombo girls on overdrive

  Recently in Tarakea a man fled to Tarakea police station to seek protection against his sexually enthusiastic wife. He arrived at the station dressed in a shirt and underwear. His pants in hand and that was just the start of bizarre incident. His wife arrived some minutes later clad in a sexy...
 11. C

  Nataka kuoa ila masharti magumu

  Nina umri usiozidi 31, nina watoto 4 kila mmoja na mama yake, wa kwanza nilimpata nikiwa sekondari, wa pili nikiwa chuoni, wa tatu nikiwa internship na wa nne nikiwa chuoni tena. Wawili kati ya hao wadada wameshaolewa, natamani sana kuoa sasa. Nilipowaendea hao wawili waliobaki kila mtu kwa...
 12. C

  Nani nitakae muoa kati ya hawa

  nina umri usiozidi 31. nina watoto wanne kila mmoja na mama yake. wa kwanza nilimpata nikiwa sekondari, wa pili nikiwa chuoni, watatu nikiwa internship na wa nne nikiwa tena chuoni. kati ya hawa wanawake wawili wameshaolewa. ninatamani sana kuoa sasa ila nilipowaendea hao waili waliobaki kila...
 13. C

  Causes of rwanda genocide-a lesson for african countries

  Racial and ethnic hate Rwanda was part of German East Africa from 1894 until the end of World War I. Belgian colonists arrived after World War 1 and ruled Rwanda through Tutsi monarchs. The Belgians regarded the Tutsi as superior to the Hutu and for two decades the Tutsi were provided with...
 14. C

  Loliondo hii nayo kali

  wanajamvi, naomba ushauri wenu. natamani sana kwenda kupata kikombe kwa babu lakini sina uhakika wa kile anachokifanya. sina ugonjwa wowote mwilini ila nasikia ugonjwa si lazima ninaweza kwenda kupata kinga. nimesoma kwenye vyombo vya habari jinsi watu wengi tena wenye hadhi wanavyokimbilia...
 15. C

  Free oracle certification seminar

  it is free!!very free!! Get spotted by your employer! welcome to an open day seminar on oracle certification program scheduled to take place at MASENO UNIVERSITY-IAT CAMPUS on 1st July 2011 from 9.00 A.M to 1.00 P.M. contact me if you are interested. most welcome!
 16. C

  Wanaume-utu jamani!

  Nimekua na rafiki yangu ambaye nilimjua kupitia kwa mpenzi wangu ambaye ni rafiki ya mke wake. Shughuli zote za jikoni, kuosha mtoto, kuandaa mtoto shuleni baba lizima lafanya tena mbele ya shemeji zake huku mke kajistarehesha kutazama televisheni na nduguze. ninajua mapenzi kwa wawili yanaweza...
Top Bottom