Search results

 1. Kimey

  Happy Birthday WiseLady!

  Napenda kuchukua nafasi hii kukutakia heri ya kuzaliwa.Mungu akupe maisha marefu ya furaha na yenye baraka tele, Furahia siku yako ya leo kwa upendo na amani! Tupo na wewe pamoja! Mungu akuzidishie busara zaidi!
 2. Kimey

  Nyimbo za kuimba when you are Driving

  Hii ni kwa wale wapwa na mabinamu hasa hasa Teamo, Finest, Asprin, Keizer, Roya roy, Bigirita, G-Y etc ....pale mnapotoka kwenye infii wakati mnawai home.... 60 km/h - "It is well with my soul" 80 km/h - "God will take care of you" 100 km/h - "Guide me oh great Jehovah" 120...
 3. Kimey

  Nimeipenda hii.............

 4. Kimey

  Husband Care!

  :violin::welcome:
 5. Kimey

  Wa kaka wa JF...

  Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka...... Zimeanza ivi... akaja huyu akasema.... Mwingine akajibu ivi... huyu ndo akaniacha hoi... :violin:kazi kwelikweli....hahahaha
 6. Kimey

  PWEZA Kamaliza Ubishi!!

  Yatatimia Hayaa!! Go Slaa Gooo!!
 7. Kimey

  Mchungaji!!

  Mgonjwa mmoja mahututi alikuwa hawezi kuongea na kuwekewa oxgen. Akawa anaombewa na Mchungaji. Akiwa anaombewa, yule mgonjwa akachukua kalamu na karatasi, Akaandika na akampa yule Mchungaji. Ambaye badala ya kuisoma ile karatasi, akaitia kwenye mfuko wa joho na kuendelea na maombi hadi...
 8. Kimey

  Al Qaeda 'Plans breast bombs'

  Al Qaeda is laying deadly "booby traps" by equipping its famale suicide bombers with explosinve breast implants that are impossible to be detected at airport security check points. the British intellegence agency M15 has claimed. The lethal explosives called PETN are inserted inside plastic...
 9. Kimey

  Ndizi dawa ya Ukimwi!!

  VIPIMO vya kimaabara vya wanasayansi nchini Marekani vimebaini kuwa ndizi zina virutubisho maalumu viitwavyo BanLec ambavyo viko sawa na aina mbili za dawa zinazotumika katika kuzuia kuenea kwa virusi vya ukimwi. Wanasayansi hao wamesema wanaamini virutubisho hivyo vya BanLec ni muhimu na...
 10. Kimey

  Colours.....Reflecting your Character as per your Birthdays

  December 23rd ~ January 1st = Red January 2nd ~ January 11th = Orange January 12th ~ January 24th = Yellow January 25th ~ February 3rd = Pink February 4th ~ February 8th = Blue February 9th ~ February 18th = Green February 19th ~ February 28th = Brown March 1st ~ March 10th...
 11. Kimey

  Manyoya yamezua balaa!!

  Nimeikuta kwa Jide.blogspot Raia wamegoma kutoa misaada kwa omba omba baada ya ile story ya manyoya ilioenea jijini Dar es salaam. Sasa watoto wanalala barabarani kama hivi, ishara ya kwa njaa kali. Imani zingine bwana, mi naona tuwasaidie tu.
 12. Kimey

  Sheria ya Ndoa!!

  Salaam! Kuna kipengele katika sheria ya ndoa kinachosema kua pindi ndoa inapovunjika Mtoto atakaa kwa mama yake mpaka afikishe miaka saba then baba anaweza kumchukua!! Sasa kuna rafiki yangu mmoja ana experience hii kitu so kwa maoni yake anasema hii sheria inabidi ibadilishwe kwani unakuta mtu...
 13. Kimey

  Why Mwalimu Nyerere Pekee?

  Wakuu Kuna ishu moja inanitatiza...Tumekua tukisikia watu mbalimbali Wakitanguliza Jina la Cheo kabla ya Majina yao....kama vile Balozi, Dr., Prof..sasa nauliza tuna viongozi wengi wamepitia Ualimu lakini mpaka leo ni Mwalimu Nyerere pekee ndio alipenda kuitwa kwa kutanguliza jina la Mwl...Sasa...
 14. Kimey

  JF msaada: How to quote?

  Wakuu heshima mbele!! Kuuliza si ujinga!! Naomba kujuzwa jinsi ya Ku quote post za watu zaidi ya mmoja pale unapotaka ku reply post!! nimeona kuna wataalamu hapa waki quote watu zaidi ya mmoja na ku reply post!! maana kuna wakati nakua na interest ya ku quote wachangiaji zaidi ya mmoja then ni...
 15. Kimey

  Water Therapy!

  Wakuu heshima mbele!! Katika mazungumzo ya hapa na pale kuna jamaa yangu mmoja aliniambia water therapy ni njia nzuri sana ya kumaliza magonjwa mengi mwilini..Aliniambia kua kila asubuhi kabla hujala chochote kunywa maji glass sita. hii inasaidia sana kuondoa matatizo mojawapo likiwa la...
 16. Kimey

  "Blackberry" Msaada tutani

  Wanajamvini naombeni msaada kwa yoyote anayejua jinsi ya kudownload picha kutoka kwenye blackberry pearl kwenda kwenye PC. maana nikijaribu picture zinakuja na REM extension so zinashindwa kufunguka. Nipeni utaalamu wa kubadili kutoka REM kwenda JPG format
Top Bottom