Search results

 1. S

  Hawa wazee wamekuwaje jamani??

  Tangu sakata la escrow lianze,ni kweli wazee wetu waheshimiwa maraisi wastaafu,Benjamini w.Mkapa na Alhassan Mwinyi hawajasikia??au hawana lolote la kuzungumza??au hata ushauri tu??naona wapo kimya sana,kuna tatizo gani jamani,David!c.Msuya mbona kimya baba??
 2. S

  Nahitaji laptop!

  Nipo Dar Es Salaam, nahitaji used laptop, mac yenye ukubwa hdd kuanzia 300+, ram 2 na speed reasonable, kama unayo tuwasiliane tafadhali, natanguliza shukurani.
 3. S

  Natafuta Vifaa vya mazoez(gym)

  Natafuta dumbells za uzito wa 20 au 15 kg,mwenye nazo au mwenye kujua zilipo tuwasiliane kwa 0717058288,nipo dsm,natanguliza shukurani
 4. S

  Vifaa vya gym

  Habari wakuu,natafuta dumbells kwa ajili ya mazoezi,zenye uzito wa 20 au 15 kg,mwenye kujua zilipo au mwenye nazo tuwasiliane kwa 0717058288,natanguliza shukrani,nipo DSM
 5. S

  Waliochaguliwa kidato cha tano ruvu sekondari

  kwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule ya wasichana Ruvu,waangalie maelekezo ya kujiunga na shule,kwenye web site yao,ambayo ni www.ruvugirlshighschool.sc.tz
 6. S

  Je kuna maelezo ya kisayansi?

  Habari zenu wakuu? Kuna jambo limenitokea hivi majuzi,kwangu halikuwa la kawaida sana,sijui kwa wengine!kwa ufupi ilikuwa ni ijumaa jioni natoka kwenye mihangaiko,kufika maeneo ya kimara katika kubadilisha gari!ile napanda tu daladala ingine kucheki kwenye mfuko wangu,siioni simu yangu yenye...
 7. S

  there is a president in Uganda

  Nimefurahi sana na nimefarijika sana,baada ya kusikia kutoka BBC,kuhusu msimamo wa waganda jinsi walivyo bega kwa bega na raisi wao kupinga uvunjifu wa maadili,kwa kushinikizwa na nchi za magharibi kuruhusu sheria za ushoga,kwa kigezo eti ni haki za binadamu.Hawa jamaa kwa kweli wanatuchukulia...
 8. S

  Wataalamu tuzungumze kidogo please

  Habari wadau,nina pc dell(desktop),nikiiwasha inaniletea message,”no booting device”na maelezo mengine mengine kama press F1,press F2 etc,nimejaribukubadilisha hard disc lakini tatizo lipo pale pale!naomba msaada kwa mwenye ujuzi,au kwa yeyote aliyewahi kupata tatizo kama hili,natanguliza shukrani
 9. S

  Haya wazee wa kuhama hama vituo

  Tamisemi wameshatoa majina ya watumishi walioruhusiwa kuhama vituo vya kazi,ni wale walioomba mwezi december 2013,tembelea web site yao
 10. S

  Msaada kwenye tuta

  Jamani naomba mtu mwenye sample au fomati ya barua ya kupeleka posa anisaidie,nitashukuru.
 11. S

  Nani mkali hapa???

  Jamani kati ya mwanamuziki diamond platnumz na chamelion nani unamkubali zaidi??toa maoni yako tafadhali
 12. S

  Je kuna ukweli??

  Wadau,mm na mama watoto tumekuwa tukigombana mara kwa mara ,eti kisa ni tabia yangu ya kupakata computer( laptop)mama anadai ipo siku atakosa chakula yake!je kuna sababu zozote za kisayansi zenye kuthibitisha kuwa laptop inapunguza nguvu za kiume??
 13. S

  Msaada jamani

  Mimi ni mpenzi wa mambo yetu yalee,pombe.Zamani nilikuwa nakunywa bia mpaka chupa 6 bila kilewa,lakini siku hizi glasi moja tu ya bia nalewa,je kuna tatizo lolote la kiafya wataalamu???
 14. S

  Nipige??

  Wadau,kuna dada mmoja nilizaa naye mtoto mmoja,tukaseparate,yeye akaolewa na jamaa mwingine na yupo kwenye ndoa bado,cha ajabu huyu dada eti ananitaka nimpe mimba azae mtoto mwingine na mm,hapo vp jamani?analalqmikq sana kuwa tumbo humuuma sana anapokuwa mp.anasema dawa n kuconceive,mnasemaje...
 15. S

  Okoa ndoa/uhusiano wako

  Kwa wanaume wenye tatizo la kupiga bao moja tuu,chali,hurudii tena au unarudia kimazabezabe baada ya masaa 3,tumia tiba ya asili ambayo ni chakula pia,kula ndizi mbivu..Nilikuwa na shida hiyo,nikaanza kutumia ndizi,tunda,kwa kweli nilishangaa sana,nlimpa mpenzi wangu bao kama 5,hivi,sikuendelea...
 16. S

  Simuelewi mpenzi wangu

  Mpenzi wangu anatumia mudabmwingi kuchat na simu,kwenye simu yake ana meseji,nyingi zikiwamo za wanaume,ambao ni watumishi wenzake,majina kama dia,mpenz, na mengineyo ndio wanayatumia kuitana kwenye meseji hizo,nikimuuliza anasema ni marafiki wa kawaida tu,na hii huwa chanzo cha ugomvi...
 17. S

  Wanatusumbua.......

  Mliooa jitahidini kuwananihii...vizuri wake zenu,wanatusumbua mitaani,msijifanye mko busy
 18. S

  Je mwanao anahitaji msaada?

  kwa wenye kuhitaji msaada wa hisabati kwa syllubus ya Tanzania na Cambridge piga 0717058288[kwa waliopo dar es salaam tu]
 19. S

  EPZ kunawaka moto

  Eneo la viwanda EPZ,llililopo external linawaka moto muda huu,nawasikia fire kwa mbali wanakuja sasa,sijui chanzo n nn!
 20. S

  masikini walimu"waanza tena kujaribu kuibembeleza serikali sikivu"

  Dar es Salaam. Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kimetaka Bunge na wazazi kuingilia kati uamuzi wa Serikali wa kukataa kukaa katika meza moja, kuzungumzia nyongeza zamishahara na posho. Chama hicho kimesema, vinginevyo Serikali inakaribisha mgomo mwingine wa walimu. Mwaka jana walimu nchini...
Top Bottom