Search results

 1. Mtumishi Wetu

  Maeneo yanauzwa mto wa mbuu mkoa wa arusha na manyara.

  MAENEO YANAUZWA, UKIHITAJI TUWASILIANE. 1. MTO WA MBUU, KAMBI YA MKAA, KUTOKEA KIGONGONI, KARIBU NA OLUNOTO HOTEL. Ukubwa ni ekari saba na zaidi. Linafaa kwa ujenzi wa Camp Site au Hotel ya kitalii!! Camp for community tourism, linafaa sana!! Bei tutaelewana!! Halina title, kuna...
 2. Mtumishi Wetu

  Kundi dogo linaiba na linaifilisi nchi na kuiacha utupu!!

  Wakuu wana jamvi bila shaka hamjambo! Kama ilivyo ada hili ni jukwaa la great thinker sidhani kama ni other wise ! Kwa wakati huu ninapo andika haya kuna kundi dogo la watu wako kwenye mkakati wa kuiba na kudhulumu kwa nguvu saana wakikadiria muda uliobaki ikiwezekana wa wao kubaki kwenye...
 3. Mtumishi Wetu

  Kwanini serikali ya CCM inazidi kukopa fedha wakati tuna deni la trilion 22?

  Wakuu salaam, Kama serikali hii ya CCM ina huruma na watu wa Tanzania kwa nini inangangania kukopa fedha zaidi kwenye mabenki na mashirika ya kimataifa wakati tunalo deni la Trillion 22? Kweli hawa wakubwa zetu wana huruma na Watanzania, fedha zoote hizo wana kopa ili wazifanyie nini, ni...
 4. Mtumishi Wetu

  Sasa umefika wakati serikali yetu kuchuka hatua madhubuti kukomesha mauwaji!!

  Wanajamvi bila shaka hamjambo, hili jambo la mauwaji ya viongozi wa kidini kweli linatisha!!! Hata tukikataa ua kukubali hatua iliyofikiwa na mambo haya ni mbaya! Hili swala tusiliangalie kwa misingi ya dini, bali hizi ni vurugu za ku disturbelise taifa letu lenye amani la TANZANIA...
 5. Mtumishi Wetu

  Tanzania kuna wazalendo halisi na pia kuna majambazi

  Katika utawala wa Mwl Nyerere kulikuwa na kipindi asubuhi kwenye Radio Tanzania kwamba ''Ulinzi na usalama wa Tanzania ni wa Watanzania wenyewe, kila Mtanzania, kila mzalendo na kila njamaa! Hiyo slogan ilijenga taifa hili tangu mwanzo kwenye vichwa vyetu tulielewa hivyo!! Sasa kumeibuka...
 6. Mtumishi Wetu

  Umeme wa bei nafuu wa maji kwa maendeleo ya nchi yetu ya Tanzana (hydro electric power)

  Kama kweli Tanzania tuna nia thabiti ya kuleta maendeleo ya nchi yetu bila kuangalia hila za mafisadi, yatubidi tuchukue somo hapo juu!!! Tanzania tunahitaji umeme wa bei nafu ili gharama za uzalishaji viwandani, micro and small industries tuweze kujikwamua kiuchumi!!! Lakini kama...
 7. Mtumishi Wetu

  Hivi mbona serikali inatumia mahakama kama chaka la kuficha maovu yake?

  Wadau nimeona tujadili hili la serikali yetu kutumia mahakama zetu kama chaka la kuficha maovu yake!!! Tuliona swala la madaktari walipoanza tuu mgomo serikali ikakimbilia mahakamani kusitisha mgomo ikidai kuwa ni batili, limekuja swala la walimu wanasema swala liko mahakamani!! Sasa tuseme...
 8. Mtumishi Wetu

  Kama kazi ya udaktari na uwalimu ni wito kwa nini ubunge isiwe kazi ya wito???

  Wadau naomba kuuliza ikiwa je kazi ya ualimu na udaktari kama wanavyodai serikalini kuwa ni kazi ya wito, kwa nini kazi ya ubunge isiwwe ya wito pia??? Madaktari wanasomea huo udaktari kwa miaka zadi ya tano mpaka apate uprofesional na mwalimu anasome ualimu hadi afundishe mtoto kuanzia...
 9. Mtumishi Wetu

  Ukweli kupata wahusika wa kipigo cha daktari ulimboka.

  Wadau nina hakika wote tuna kiu ya kujua ukweli ni nini na nani hasa wahusika waliomtesa na kumpiga Daktari wetu Ulimboka. Sasa kwa vile serikali haitaki kama inavyo onyesha kuunda tume huru ya kupata ukweli halisi wa waliohusika na kuwachukulia hatua za kisheria basi wadau waunde tume huru ya...
 10. Mtumishi Wetu

  Hivi ni kweli mheshimiwa rais ana nia ya kuwachukulia hatua mawaziri wezi wa mali za umma?

  Ni muda sasa umepita tangu bunge letu tukufu limalizike kwa kumtaka waziri mkuu ajiudhuru au mawaziri waliotajwa kwenye riporti ya CAG wajiudhuru!!!! Kwanza jambo la kusikitisha Mheshimiwa Raisi hali akijua kuwa kuna sakata linalomtaka PM ajiudhuru, yeye huyo akaenda majuu Latin America kukagua...
 11. Mtumishi Wetu

  Wakuu naomba niulize hivi JK ana mawazo gani na nchi hii?

  Kwa hali halisi nchi yetu nzuri ya Tanzania iko katika hali mbaya saana kiuchumi!!!!! Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, sukari, mafuta ya magari bei juu zaidi ya mara tatu kuliko awali, mahitaji ya kawaida kama vyakula bei inazidi kupanda!!!!! Kila kitu bei iko juu na mapato...
 12. Mtumishi Wetu

  Nina mashaka na utaratibu wa usimamizi wa kura wa NEC

  Wadau hasubuhi ya leo nilisikiliza kipindi cha mahojiano na Redio One TBC kuhusu uchaguzi Arumeru!!! Nikamsikia msimamizi wa uchaguzi wa tume akisema kwamba baada ya kupiga kura vituoni KURA ZITAPELEKWA MAKAO MAKUU YA HALIMASHAURI KUHESABIWA!!!! Sasa wadau mashaka yangu yananzia hapo, hivi ni...
 13. Mtumishi Wetu

  Maisha ndani ya kijiji Tanzania mwaka 2012, Maisha bora kwa kila mtanzania

  A pool game in a rural village. Just look at that. That is what resourcefulness is all about. Amazing, __._,_.___
 14. Mtumishi Wetu

  Mwanga mpya wa demokrasia umewaka, kitovu chake ni Arumeru

  Arumeru imeonyesha mabadilko makubwa kwenye siasa za Tanzania, wananchi baada ya kuhamasishwa wameamua kujitoa kwa kidogo na kingi walicho nacho ili kupeleka mtetezi wao Bwn Joshua Nasari bungeni!!!! Wameamua kumchangia kidogo kidogo ili aweze kuhimili mikiki ya kampeini bila kutegemea nguvu za...
 15. Mtumishi Wetu

  Job anouncement EAC

  eac.int JOB ANNOUNCEMENTS WITH EAC IN SEVERAL ORGANS. DOWN LOAD FROM THIS SITE. Order by : Name | Date | Hits [ Ascendant ] Principal Human Resources Officernew! 02/21/2012 Hits: 82 Application Deadline: Tuesday 27 March, 2012 Download...
 16. Mtumishi Wetu

  Tanzania umeme (TANESCO)ni janga linalonyemelea kuangamiza taifa kiuchumi

  Baraa hili la umeme ni janga lisilo epukika kwa hali sasa jinsi ilivyo, kwenye gazeti la Mwana Halisi ukurasa wa pili linasema "Nchi kuingia gizani"!!!!!!! Bila shaka mpenzi msomaji hapa unaishi Tanzania, hata kama unaishi nje ya nchi unainterest na hii nchi yetu ya Tanzania na unaitakia...
 17. Mtumishi Wetu

  CHADEMA njooni vijijini uza sera kwenye jamii watu wana kiu na CHADEMA

  Wapendwa wana JF bila shaka hamjambo,Asalaama Aleikhum; Bwana asifiwe!!! Jamani natoa ushauri kwa chama cha CHADEMA, tegemeo la wanyonge wanaodhurumiwa Watanzania, fanyeni mambo ya uhakika yafuatayo:- 1. Kwanza kabisa hamasisha vijana wa vijijini ambao wako tayari kutumikia chama chetu, maana...
 18. Mtumishi Wetu

  Ushauri kwa kamati ya CHADEMA itakayokutana na Rais Jakaya Kikwete

  Waheshimiwa wana JF naomba kutoa mawazo na maoni kwa kamati itakayo kutana na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Nina imani sote tutachangia ili kwa wale wakubwa wa CDM watakaokutana na Rais wetu wapate mawazo mapya na kujipanga kwa uzuri zaidi kuyawakilisha kwa mkulu wa boma...
 19. Mtumishi Wetu

  Hivi swala la umeme watanzania tumelogwa?

  Natumaini wadau wote wa JF hamjambo!!!!!!! Jana jumapili nilifuatilia mdahalo wa umeme Star TV Dar, nikagundua kumbe si TANESCO wala Serikali yaanai wizara yenye mkakati wa kudumu kuondoa kero za umeme!!!!!!!!!!! Mipango iliyopo ni ya zima moto tena kwa gharama kubwa yaanai umeme wa...
 20. Mtumishi Wetu

  Vijana wa CHADEMA walioko ndani Igunga kwanini wasitolewe?

  Ndugu zangu wanajamvi tumesikia kuna vijana wanne wako magereza Igunga toka uchaguzi uishe kwa nini wasitolewe????????Kijana mmja kakutwa amekufa tena nyuma ya gereza eti kazikwa, maisha ya mtu linakuwa jambo dogo la kawaida!!!!!!! Watanzania tunahitaji kushikamana kupinga huu ukatili wa kuua...
Top Bottom