Search results

 1. mshikachuma

  Msaada: Nisaidieni kwa hili wanaJF

  Nina mpango wa kupeleka matangazo ya Biashara sehemu tatu (3); Radioni, kwenye Luninga (Tv) na kwenye mitandao ya kijamii ya hapa hapa nyumbani (blogs) kama JF. Sasa Je, kama ni Radio mngenishauri kupeleka matangazo kwenye Radio gani na kwenye kipindi kipi? Kama ni Tv mngenishauri kupeleka...
 2. mshikachuma

  Alshabaab waiteka ikulu ya Somalia

  Al shabaab wameiteka ikulu ya Somalia na mapigano makali yanaendelea baina ya wanajeshi wa Serikali na wanamgambo hao wa Al shabaab. Bado haijafahamika kama Rais wa nchi hiyo kama yuko hapo Ikulu au nje ya Ikulu. Chanzo: BBC Swahili
 3. mshikachuma

  Nimekutana na Mh.Mbowe live na tukashikana mikono. Daah siamini!

  Kuna watu wanahudhuria kila siku kwenye mikutano ya Chadema lakini hawajawahi kumgusa Mh.Mbowe wala kumsalimia au hata kushikana mikono. Kuna watu wanaichangia pesa Chadema kila siku lakini hawajawahi kuongea na Mh.Mbowe wala kumgusa. Kuna watu wamefilisiwa kwa hajili ya Chadema lakini...
 4. mshikachuma

  Canon 60D (professional camera) for sell

  Wana jamvi, nauza hiyo kitu hapo juu. Ni CANON PROFESSIONAL CAMERA EOS 60D. Kitu bado kiko kwenye oda kabisa...nimetumia miezi michache sana. Mwenye kuhitaji apige namba hii tufanye biashara. 0719 94 21 21
 5. mshikachuma

  Bendera ya Tanzania...Zinauzwa wapi?

  Nimetembea karibu nimalize kariakoo yote na maeneo ya posta mpya yote...sijaona au kukuta sehemu ambayo wanauza bendera ya Tanzania. Bendera ninayohiitaji mimi ni zile kubwa zinazopepea kwenye milingoti kama wizarani na kwenye mahoteli makubwa hapa Tanzania. Mwenye kujua nitaipata duka gani au...
 6. mshikachuma

  Hivi hizi nchi za Kiarabu zina nini?

  Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa. Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana. Pakistan wanauana Siria wanauana Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu...
 7. mshikachuma

  Tizama tawi letu la CHADEMA

  Tumechangishana,tumethubutu na hatimae tumeweza...hili ndiyo tawi la Chadema mtaani kwetu. Je,wewe mwenzangu mtaani kwenu mnakitu kama hiki? Na kama hamna je mnasubiri nini?
 8. mshikachuma

  Wadada, Hii ni style gani?

  Hii ni style gani? Naona now days kila mdada anayo kichwani...si ulaya si Africa. Nipeni jibu.
 9. mshikachuma

  For Sale: Samsung Galaxy Tab 2-10.1 brand new

  Nauza Samsung galaxy tab 2 - 10.1,32GB. Brand new...kitu na box. Nataka tsh 850,000 tu. Nenda kwenye google kisha itathimini kwa macho yako. Kitu Original...Nipigie 0773 216 277
 10. mshikachuma

  2013: Ungependa CHADEMA wafanye nini zaidi?

  Ewee mpenda mabadiliko, Mwaka 2013 ungependa Chadema wafanyenini zaidi kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla?
 11. mshikachuma

  Boxing.... Manny Pacquiao vs Juan Manuel Marquez live from USA.

  Haya jamani kumekucha na mtanannge wa ngumi karibu utaanza. Kwa wale wenye access ya super sport 2 kupitia ving'amuzi vya Dstv unaweza ukajionea mtanange huu wa kukata na shoka kupitia chanel hiyo kati ya bingwa Manny Pacquiao na Juan Marquez(challenger) live from MGM Grand Garden Arena-Las...
 12. mshikachuma

  Kwanini ndoa za Wahindi,Waarabu na Wapemba zinadumu sana tofauti na Wabongo?

  Wana JF heshima na salam ziwe juu yenu. Katika kautafiti kangu kadogo ambako nimekafanya kwa mda mrefu sana kuhusiana na masuala ya ndoa nimegundua kuwa ndoa za jamii ya kihindi, waarabu na wapemba zinadumu sana kuliko ndoa za wabongo. Najua kuachana ni jambo la kawaida, lakini kiukweli ndoa...
 13. mshikachuma

  Wana MMU...kuku wa kienyeji na wakizungu mtamu ni yupi?

  Wakienyenyi ni wale wa uswazi....makazi duni,maisha duni,siyo educated na hawana future yoyote. Hawa....daladala,mlo mmoja,simu za mchina,kulundikana chumba kimoja na kupenda sherehe she rehe nk.kwao ni mambo ya kawaida kwenye maisha Yao ya kila siku. Wakizungu ni wale ambao at...
 14. mshikachuma

  Samsung galaxy tab 10.1 for sale

  Samahani wakuu na habarini za jioni au sijui niseme usiku. Ninauza samsung galaxy tab 10.1, 32GB, full HD,inatumia cheep(cim card) Na ina cover yenye kipard. Bei yake ni TSh.laki 7 and no blah blah. Kitu bado kipyaa....yaani nimeitumia Mwezi na nusu tu. KWa mwenye kuihitaji naomba aniPM au...
 15. mshikachuma

  Msaada!kuuliza siujinga

  Samahaniwakuu: Hivi SAMSUNG GALAXY 10.1 GB 32....na IPAD 2 GB 32 hipi ni bora? Kati ya hizo 2, nataka kununua mojawapo Je,nichukue hipi?...msaada please!
 16. mshikachuma

  Live on EATV: Tumaini Makene, Nevile Meena na Ayubu Rioba

  Wakuu, Mda si mrefu around saamoja kamili jioni hii kutakuwa na mjadala unaohusiana na wahandishi wa habari. Mada ya leo inasema.... Je ni kweli waandishi wa habari hutumika kwa maslahi binafsi? Kipindi kitarushwa LIVE na EATV....muongozaji wa kipindi (presenter) ni Dada Prudence from EATV...
 17. mshikachuma

  Chama kipi ni kizuri kwa CCM?

  1995: NCCR Mageuzi ikiwa kileleni na kukubalika kwa wananchi....ccm walisema ni chama cha kikabila na blah blah kibao....hadi hii leo NCCR haina mvuto tena. 2000-2005: CUF ikiwa ngangari bin jino kwa jino huku ikipendwa na wananchi...ccm wakasema ni chama cha...
 18. mshikachuma

  Live: Nape Nnauye,John Mrema,Benson Bana na Hemed Msabaha ndani ya EATV.

  Wanabodi, Mda si mrefu kupitia television ya EATV (chanel 5) kutakuwa na mada inayosema...JE SIASA ZA MALUMBANO NI UKUAJI WA DEMOKRASIA? Kipindi kitaendeshwa na Dada Prudence wa 5 CONNECT from EATV kuanzia saa moja kamili jioni hii. Wageni waalikwa ni Ndugu Nape Nnauye kutoka ccm. Ndugu John...
 19. mshikachuma

  Msaada wa haraka pls!....nisije nikaibiwa

  Wandugu waungwana Siku za mbeleni niliplan kununua Video Camera latest aina ya Sony au Panasonic. Sasa leo from no where kuna jamaa niko nae hapa na anauza Panasonic aina ni Panasonic HDC-TM300,32GB,SD Card. FULL HIGH DEFINITION VIDEO CAMERA 1920x1080. touch screen and built in memory. Huyu...
 20. mshikachuma

  Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

  Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au walichaguliwa na wananchi? MWIGURU,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si wawakilishi wa wananchi, Hawa ni watu hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu....yaani hawa watu ni...
Top Bottom