Search results

 1. W

  Kama Marekani umeme unakatika sisi Tanzania ni nani hadi usikatike?!

  Nadhani kama Watanzania tufike mahali tuachane na kauli na misemo isiyokuwa na maana halisia. Kwa kweli nilishtushwa na kauli ya Mh Raisi pale Marekani kuhusu kukatika kwa umeme. Kama alitoa kama joke is OK, lakni kama alikuwa anamaananisha, nadhani kama binadamu anayetuwakilisha katika nafasi...
 2. W

  Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

  Naomba Kuuliza Ndugu wa JF, inatusaidia nini kuisema Maiti isiyoweza kujibu? Je nini kilipelekea hayo yote kutokea? Nadhani tunahitaji kuzungumzia kitu kinachosababisha hayo kutokea au yasijirudie kutokea. Katiba yetu ina matundu yanayoruhusu mambo yasiyo ya kawaida kutokea...Tumekuwa na...
 3. W

  Balozi wa Norway nchini Tanzania aitembelea JamiiForums

  Hongera MM and team. Safari huanza taratibu.....
 4. W

  Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

  Ahsante kwa maelezo mazuri!
 5. W

  Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

  Ndugu yetu ni ya kweli haya?? Tunaomba wajuzi wa mambo, tunaamini mpo humu, tujuzeni ukweli wa hili. Au maafisa walioko ktk entrance point hizo ndio hawajatambua tafsiri ya maelekezo/Sheria husika?
 6. W

  Simbachawene: Polisi inalishughulikia shambulio la kutumia silaha kwa Tundu Lissu kama uhalifu mwingine na upelelezi unaendelea

  Na pesa tunazokopa kama Serikali, na misaada ya mapesa kibao tunayopewa toka World Bank, IMF na European Union, si mapesa hayohayo ya Amsterdam? Khy hata sisi kama Taifa tunapitisha bakuli kuwa sisi masikini ili tupate hayo mapesa? Jamani, tuwe tunatulia kidogo kabla ua kuandika vitu hapa JF...
 7. W

  Kikwete ni mmoja ya Marais ambao miaka Ijayo watoto wetu watatushangaa sana kuwa ilikuaje....

  Tusaidieni wenye data, tujue kiasi kilichotumika kwa hayo mambo mawili..."Figures always zinaongea zaidi kuliko maneno"
 8. W

  Peter Msigwa: Niko tayari kufukuzwa CHADEMA kwa sababu ya suala la Ngorongoro

  Ndugu yetu, hapo unavuka mipaka kumuingiza Mungu tafadhari. Unaweza ukawa unaongea kwa utani, lakini kuna mambo hayataniliki. Ni maoni yangu tu.
 9. W

  Mbowe katoka gerezani, Tundu Lissu yupo kimya, inashangaza! Ukimya unamaanisha nini? Kwanini Mbowe hajamtaja Lissu katika interview zake?

  Je kama alijua kuwa Mbowe ataachiwa hata kabla Mahakama haijasema, unataka aseme nini sasa? Mambo mengine ni "High Level" Ndugu. Ni busara kukaa kimya tu.
 10. W

  Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

  Sawa tunashukuru taarifa ya Ubalozi wetu. Lakini nashangaa, nchi nyingi ktk hali kama hii Balozi husika ndio huandaa utaratibu wa kuwarudisha watu wa nchi zao. Lakini hapa wanatakiwa wazazi na watu wengine Binafsi kujitafutia namna ya Kuondoka. Sasa ktk hali tete kama hii, Balozi zetu kwa...
 11. W

  Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya

  Naunga mkono hoja kwa asilimia 100. Na niongeze kuwa ni Ulimbukeni na kuto kupevuka Kisiasa na kimtazamo.. Huko nyuma uzi kama huu, nilisema..kuna wengine huo mpaka wanashona mashati na magauni ya vitenge na kuwaomba wananchi wajipange kwa road kuwapokea na kuwakaribisha hawa Waheshimiwa. Kwa...
 12. W

  Waziri Mkuu Majaliwa: Patahitajika umakini mkubwa sana kama itakuwepo haja ya kuigawa TANESCO

  Sawa .....umakini mkubwa sana ndio upi? Atueleze kirefu ana maana gani, na atoe point zake za kututabainisha huo umakini mkubwa sana tuuchambue. Hapo atakuwa ametusaidia. Kwa kusema general tu hivyo...nadhani wengi hatumuelewi. Tunaomba waliomuelewa watujuze sie ambao hatujaelewa, huo umakini...
 13. W

  Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere Hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

  Mhh Tanzania safari bado ni ndefu wajameni. Huyu si alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango..sasa kulikoni tena?
 14. W

  TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

  RIEP Dr. Mwele, Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.
 15. W

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

  Kwa kweli, hili ndilo lilitakiwa kufanyika tena bila aibu. Ila naye Siro mpaka anaagizwa na kuonyeshwa watu wa kusimamishwa kazi, yeye yuko wapi? Unajua kweli ukisha pigwa upofu wa maono, unakuwa kituko tu.....tujitahidi tusifike huko Wajameni. Tuanzage mapema tu ktk maeneo yetu.
 16. W

  Balozi wa Marekani nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums

  Kaka MM na team nzima ya JF, kwa mara nyingine tena Hongereeni sana!! Hizi ni dalili za wazi kabisa kwamba katika ule muundo wa Kikao cha Mabalozi walio na balozi au uwakilishi wa Nchi zao hapa Tanzania, agenda ya JF imetua mezani kwao na ikaongelewa kwa umahiri na umakini mkubwa. Kwa hayo...
 17. W

  Watumishi matumbo joto, boss mpya Polisi yule...

  Andiko ni zuri ndugu yetu. Kwa kauli ya Mama kuwa "Jeshi la Polisi Mjitafakari" Kama ningekuwa mimi ningeandika barua ya Kujiuzuru haraka. Tena sio hilo tu, Ikiwa kama kulivyo tokea vifo vya kufuatana na Raia, mikononi mwa Polisi, hilo tu ningejiuzuru mapema. Kilicho muudhi Mh Rais, nadhani ni...
 18. W

  Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

  Hongera JF..hao wenzetu wa Scandinavian Countries hawanaga longolongo. Kwao kila jambo linaitwa kwa rangi yake halisi! Pigeni Kazi JF!
 19. W

  Ili ufukara uwaondoke Watanzania Serikali ifanye jambo hili

  Ahsante Ndugu, andiko linafikirisha kweli kweli aisee.
Top Bottom