Search results

 1. R

  Barua ya George Bush Sr. To Bill Clinton

  Huwezi kusikia wakizozana baada ya uchaguzi kv kila mgombea hujiandaa kupokea matokeo! George Bush (Sr.) alikaa madarakani kwa msimu mmoja tu. Hata hivyo, c kwamba aliamua kukaa msimu mmoja peke yake bali mshindani wake Bill Clinton alimpiku kwenye kinyang'anyiro hicho. Huku akifahamu kuna...
 2. R

  Radio za Simu ya Samsung.

  This's too much. Nimejaribu ku-Google sijapata jibu and maybe, hapa naweza kupata msaada kwa wadau. In short, natumia Samsung E5. The problem ni kwenye radio. Mara kwa mara huwa inakata wakati ipo hewani... na ikishikata ni hadi uitekenye! Na wakati mwingine huwa inakata kila baada ya sekunde...
 3. R

  Gesi yapeleka uwekezaji wa kihistoria Mkoa wa Lindi

  NEEMA ya gesi ambayo imekuwa ikizungumzwa, inatarajiwa kubadili Mkoa wa Lindi, kupitia uwekezaji mkubwa ambao haujawahi kutokea katika historia wa miradi nchini, wenye thamani ya inayofikia zaidi ya dola za Marekani bilioni 60 na kutoa ajira karibu 20,000. Taarifa za wadau wa miradi hiyo...
 4. R

  Mheshimiwa Magufuli, Shein na CCM: Sakata la Kura za Maruhani na February 21, 2000 Ziwe Somo Lenu.

  Kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii wanaifahamu vizuri Pemba! Kama kuna eneo ambalo Tanzania hii wanaweza kupita kifua mbele kwamba wameikataa CCM hapa duniani hadi akhera, basi eneo hilo si Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Mbeya wala Dar es salaam bali ni Pemba! Mwaka jana endapo Lowassa...
 5. R

  Matangazo ya Malaria!!!

  Hapa napenda kukiri wazi kwamba Continuity Writer (mwandishi wa matangazo ya radio) wa matangazo kuhusu malaria si tu ni mtu anayeijua kazi yake bali ni mtu anayeifahamu vizuri hadhira/audience anayoilenga! Huyu jamaa (writer) ni kama tunaishi nae huku Uswahilini manake anachokiwakilisha ndicho...
 6. R

  MTV Base Africa: Muulize Diamond Platnumz Swali Lolote Sasa Hivi Kupitia Twitter

  Hi! Kwa wale ambao tayari uchaguzi umeshapita na ni mashabiki wa Diamond, MTV Base Africa wametoa nafasi ya kumuuliza Diamond swali lolote kupitia Twitter. Kazi hii itaanza saa 10 (dakika chache zijazo) hadi saa 11 using #BaseChat ​
 7. R

  Masanduku Yenye Kura Feki: Adui Yetu ni Nani?!

  Habari ambayo imeenea hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii ni kukamatwa kwa masanduku yenye kura feki! Wengi wetu tunaamini huu ndio mwanzo tu wa lile bao la mkono ambalo tulipata kusikia likihubiriwa! Pamoja na yote hayo, je hivi ni kweli tunafahamu malengo ya hayo masanduku? Kila kituo kina...
 8. R

  Huku Diamond na wenzake, kule Reginald Mengi na wenzake!

  Watu wanamwaga povu kisa Diamond na baadhi ya wasanii wamejitokeza kuipigia kampeni CCM na madai yao ni kwamba wasanii ni wasaliti wa mabadiliko!! Guys, are serious?! Hivi ni kwamba hatufahamu kwamba wasanii kazi zao za sanaa ndo biashara yao, au? Ikiwa Diamond na wenzake ni wasaliti, what about...
 9. R

  Kwanini Diamond Alishinda: Tofauti za Wazi na za Msingi Kati ya KTMA na MTV Awards!

  Toafauti ya kwanza kabisa, inayotofautisha kati ya KTMA na MTV Awards ni kwamba, kwa KTMA, msanii ana uwezo wa kutoka na kontena moja la tuzo peke yake na kwa wakati mmoja wakati kwa MTV ni ndoto kufanya hivyo! Hadi sasa, msaniii anayeongoza kutoka na kontena la tuzo za KTMA kwa wakati mmoja ni...
 10. R

  Makongoro Nyerere Na Project Rejesha Jimbo la Arusha Mjini!

  ​Moja kati ya makumi ya wasaka urais kupitia CCM waliojadiliwa sana ni Makongoro Nyerere! Wapo wanaoamini kwamba Makongoro atapitishwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM! Niseme tu kwamba hakuna kitu kama hicho isipokuwa Makongoro ni Project Rejesha Jimbo la Arusha Mjini mikononi mwa CCM...
 11. R

  Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesi: Wapinzani Wanafahamu Ngoma Wanayoicheza?

  Kwanza, nieleze masikitiko yangu kwa mswada muhimu kama wa mafuta na gesi kuona unajadiliwa na kutaka kupitishwa pasipo na kambi ya upinzani. Kwa miswada muhimu kama hii ilihitaji sana michango ya watu makini kama akina John Mnyika, Tundu Lissu, Halima Mdee and in fact, hata ex-MP Zitto Kabwe...
 12. R

  New Release Diamond ft Mr. Flavor

 13. R

  Utafiti wa leo muhimu

  Awali ya yote ningependa kutoa tahadhali kwa wana jamvi; kusema uongo ni dhambi! Maandiko yote matakatifu yanakataza kusema uongo. Ukisema uongo, unapata dhambi, ukipata dhambi unachomwa moto siku ya siku; mimi simo manake nishatoa angalizo mapema!! Sasa kwa mada yenyewe. Mada hii ni utafiti...
 14. R

  Nanunua Blog, taja bei yako

  Wadau nahitaji kununua blog at affordable price. Sifa zifuatazo ndizo nazihitaji kwenye blog husika. Iwe na Clean, professional and smart designs. Isiwe na Google Adsense Account Iwe na umri wa at least six months Iwe na Google Adsense enabled templates If I am not attracted by your blog name...
 15. R

  New Samsung Galaxy Model SM-E500F/DS, box sealed coming with power Bank

  UPDATE: Wadau, Nauza simu mpya kabisa, ipo kwenye box na box lipo sealed. Hii simu ni New Samsung Brand ambayo imeingia sokoni February 2015. Hii simu nadhani haijakuwa officially launched hapa TZ. Zifuatazo, ni specifications zake: Network: 4G LTE Vategory 4 (on the Box), 3G, Wi-Fi...
 16. R

  Hatimae Kickass Wahamia CostaRica, Now http://kat.cr/

  Washusha mizigo tumeingia kwenye mtihani mkubwa baada ya Kickass kuendelea kuandamwa kila kukicha kuhusu suala zima la copyright infringement! Mkombozi wetu huyu anabanwa kila kona kiasi kwamba, ule uwezekano wa kupata software mbalimbali bure not mentioning movies na TV series tuzipendazo...
 17. R

  Zee World na Indian Drama!

  Kiasi cha wiki mbili tu zilizopita endapo pangetoea wa kuniuliza nawafahamu waigizaji wangapi wa Kihindi, jibu lingekuwa mmoja tu, Amitabh Bachchan! Na kama angeendelea kunitaka nitaje japo filamu moja aliyocheza Amitabh, it's definitely nisingekuwa na jibu! Katika maisha yangu yote, sijapata...
 18. R

  CCM na CCJ yake, CHADEMA na ACT Yao: Je, Historia Itafuata Mkondo au Itachepuka?

  Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, chama kipya cha kisiasa; CCJ kilianzishwa. CCJ ilikuja kwa kasi kiasi cha kuanza kuitia hofu CCM huku hofu hii ikichangiwa sana na maneno ya hapa na pale kuhusu uhusiano wa CCJ na wanasiasa waandamizi ndani ya CCM, hususani Samwel Sitta na Mwakyembe! Wengine...
 19. R

  Michael Jackson's ghost scary at the end

  Ikiwa una Blood Pressure, tafadhali usiangalie.
 20. R

  Tujifunze: Let's not jump into conclusion, black parents give birth to white baby

  Ben Ihegboro and Angela Ihegboro with their daughter When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter, she was "speechless." "She's a miracle baby," the 35-year-old mother said yesterday. "But still, what on Earth happened here?" What happened is that baby Nmachi...
Top Bottom