Search results

 1. P

  Bei ya cement (Wazo kiwandani)

  Wakuu heshima mbele, Nauliza hivi kiwandani wazo cement, wanauzaji kwa tani 1, yaani 20 bags, nina kisehemu nauza cement, nadhani nikiwa nanunua direct kiwandan walau ka profit katapanda panda, na pia utaratibu wa kununua huko kiwandani upoje? Tafadhali kwa anaefahamu naomba msaada.
 2. P

  Installation ya TV channels zingine kwenye decorder ya Dstv!

  Mimi sio mtaalamu sana!ila inabd uwe na LNB ambayo itakupatia local channels,pia dish la dstv ni dogo,local channel kama itv inapatikana kwenye dish la futi 6!
 3. P

  Jihadharini wizi mpya wa fedha zilizoko kwenye m-pesa

  Kumbe aliyataka mwenyewe!kila siku wanatangaza tunza namba yako ya siri!huwa haelew?ilibd huyo mtu wa m pesa angemrejeshea simu yake ili aweke namba yake ya siri!mpe pole tu huyo jamaa yako!
 4. P

  Precision Air mnajiharibia, huduma zenu mbovu!

  Mkuu ni kweli kabisa! Mimi sijawahi ona ndege abiria wanazidi! Siku moja tulikua tunatokea Kilimanjaro kupitia Znz, ndege ilikuwa imeshajaa ili hali kuna abiria kutoka Zanzibar kwenda Dar. Wakapanda abiria wanne; hakuna seat, wakagoma kushuka! Ilikua kizungu mkuti, ikabidi sie abiria ndio...
 5. P

  Malezi ya watoto wadogo yanaboa jamani, mweeeeeeee!

  Mkuu mshukuru mungu kwa kukupa watoto!mtoto akiwa mtundu ndio vizuri,asipoharibu atajifunzaje?kuna watu wanawatafuta hao watoto wa kuwavunjia hizo screen za tv hawawapati!kila siku wanakesha kwenye maombi!mshukuru mungu kwa kola jambo mkuu!
 6. P

  Msaada (Biashara gani)

  Mkuu wewe ni boy or lady?nijulishe then ntakushauri
 7. P

  Msaada:SUZUKI CARRY

  Asante kwa taarifa mkuu!manake siku hizi pick up hazikamatiki!ngoja tusikilize comments za wadau wengine! Bei milion 6 ni hapa bongo au ukiagiza?
 8. P

  Msaada:SUZUKI CARRY

  Mkuu kwa mafund wa kibongo wanazingua!nshaongea na mafund watatu kila mmoja anasema vyake!thts why natafuta humu jamvini kama kuna mtu anayemiliki hiyo aina ya gari ataleta practical view! Uhauri huu utawasaidia na members wengine pia ambao wanahitaji kununua na kumiliki aina hii ya gari!
 9. P

  Msaada:SUZUKI CARRY

  Wakuu nilikua naulizia kuhusu durability ya hizi gari ndogo za mizigo SUZUKI CARRY!zipo tofauti tofauti,ni zipi ambazo mashine haisumbui?zipo zenye 4WD,zenye nozzel,zenye injection,jamana mwenye uzoefu nazo hebu atumwagie hapa! Nawasilisha wakuu
 10. P

  Tatizo langu limerudi

  Pole bidada kwa kukosa usingizi!sijaweza kusoma reply zote,ila tatizo kama lako linasababishwa na stress!ukiwa na kitu kinakusumbua kichwa unakiwaza sana hata umeze piriton,nakuambia hutalala!nakushauri hebu jiandikishe everning classes,halafu uwe unapiga book usiku kucha uone kama hutalala!kwa...
 11. P

  Laptops and Mobile phones for sale

  Kweli mkuu!wewe weka bei watu tukinogewa tunakutafuta!mimi nahitaji desktop!tumwagie bei hapa tujimwage!
 12. P

  mtoto kutafuna meno usiku akiwa amelala

  Wakuu polen na majukumu,mim mwanangu ana miaka 4,usiku huwa akiwa usingzin anatafuna meno,hv hii ni tatizo gani?na tiba yake ni nini?nawasilisha wakuu kwa ushauri.
 13. P

  Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

  Inategemea na unataka kuweka vitu kiasi gani!ila kwa kuanzia milion 2 au 3 inatosha kabisa.
 14. P

  Gari linauzwa --- Car For Sale

  mkuu kwa gari kama hizo watu wanataka wajue yafuatayo!engine type,like 1HZ,1HDT,1KZ nk.pia year of manufacturer,km is nothing.weka hizo info kaka.
 15. P

  nauza nyumba

  Kaingia mitini,anasubiria simu!mkubwa weka bei,weka picha,ndio tangazo linakamilika!sio tuunguze crdt zetu kumbe milion 200!
 16. P

  Nitawezaje kupata mbao hizi?

  mkuu ninavyojua jamaa anahitaji treated timber,ndio maana akasema Iringa,angehitaji mninga asingesema Iringa manake Iringa hata kisiki cha mninga huwez kukiona!wenye bness changamkieni opportunity
 17. P

  Ushauri juu ya marumaru (tiles )

  mkuu monalisa wapo opposite na shoprite ya kamata!kuhusu bizz za wachina ndio zao hizo!risit hawatoi wala nn!nshawah kumkomalia mchina kariakoo atoe risit ya tra,bahat yake umeme ulikua umekatika!wasanii kweli yanh
 18. P

  Profesa Safari atakiwa Uzini Zanzibar

  kweli nimeamini huyu kingxvi atakua ni MS amezuka kivingine!Pole na kazi muheshimiwa!
 19. P

  Chadema itashinda uchaguzi Uzini Zanzibar na CUF kwa heri !!!!

  MS usiingie kivingine bana!tunapenda kusoma unavyoandika!hata waheshimiwa wanakufahamu kwa ID yako ya Ms!mbona dada yetu FF haingii kivingine,though siku hz kapunguza vapour.
Top Bottom