Search results

 1. Husninyo

  Mwenye mtaji wa milioni 20 na hana business idea

  Hellow... Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana longolongo za marejesho. Kama unaogopa risks za business tulia Tuli. Kama una tamaa ya kutajirika...
 2. Husninyo

  Anahitajika Fundi wa kushona nguo za kike na kiume

  Habari, Tunatafuta mafundi wawili wanaoweza kushona vizuri nguo za kike na za kiume. Ofisi ipo Dar es salaam kata ya GOBA wilaya ya ubungo. Ofisi ni mpya. Mwenye connection tuwasiliane inbox. Ahsante
 3. Husninyo

  Natafuta groundwater surveyor TANGA

  Kichwa cha habari chahusika, kama kuna anefanya hizo shughuli nipm. NB; mchimbaji wa kisima tayari ninae, ni kusurvey tu
 4. Husninyo

  Biashara ya nguo na viatu vya dukani/special

  Hi guys! Natafuta wauzaji wa jumla wa nguo na viatu vya kiume ila wawe wanaimport wenyewe, tukielewana vizuri naweza kuwa customer wao. Targeted customers ni average income earners. Unaweza kuniPM.
 5. Husninyo

  Ndani ipo hivi- wataalamu wa mijengo

  kwa wale wataalam, mnajiita archt........... (hili jina huwa ni gumu). naomba mchanganuo wa gharama wa design hiyo ya kwanza ukiacha finishing. nitalipia hii huduma Jerhy shanelson na wengineo.
 6. Husninyo

  Mashine ya kuprint T-Shirts inahitajika

  Habari wakuu! mashines gani nzuri kwa ajili ya kuprint tshirts na zinapatikana wapi?
 7. Husninyo

  Nafasi za kazi ya ushonaji

  Hi! Kaka yangu ana mpango wa kufungua office ya ushonaji, maandalizi karibia yote tayari imebaki human resources. Nikiwa kama partner kwenye hiyo business tunatafta watu wafatao. Bookkeeper: · awe amemaliza atleast form four na angalau C ya hesabu. · Awe anaweza kutumia...
 8. Husninyo

  Biashara ya car wash

  hi dears! natafuta mtu anaefanya hiyo biashara au mwenye uelewa kuhusu hiyo business aniPM. ahsante
 9. Husninyo

  Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

  Mambo? Ni matumaini yangu sote tumeuanza mwaka vizuri. Wagonjwa tunawaombea mpone haraka kabla hatujaimaliza January, inshallah. Mapenzi matamu lakini machungu, asilimia kubwa tumewahi kuwatenda ama kutendwa na wenzi wetu. Wengine tumekuwa wabishi hata tukitendwa tunapenda tena. Tunalia...
 10. Husninyo

  Kuku wa "abuja" Tabora

  eeeh bana eeh, nimetimba tabora leo. kuna sehemu nikapelekwa kula kuku wanapaita PPP.. kuku watamu hataree. sasa ambae kashawahi kula wale kuku atupie maujuzi ya kuwaandaa.. sijui wanaeka nini na wenyewe wachoyo wamegoma kunifundisha. The Boss na Kaunga najua tabora ndo home pengine mna idea...
 11. Husninyo

  Mazuri ya mahusiano/ndoa

  Wakubwa shikamooni wadogo marahabaa! Leo tuzungumzie namna tunavyofurahia maisha na wapenzi wetu/wake/waume. kila siku tumekuwa tukiona malalamiko mengi haswa juu ya ndoa. mliopo kwenye ndoa tuelezeeni matamu mnayopitia au mliyopitia japo mtuhamasishe sie mabibi harusi na mabwana harusi...
 12. Husninyo

  Marafiki wa JF wa Tabora mpo?

  jamani husninyo anataka kuja kuwatembelea kutoka mpwapwa mpaka tabora. kama unaishi kwenye huo mkoa naomba uniPM. senkyuu.
 13. Husninyo

  Vipimo vya magonjwa ya kurithi

  Hivi kuna vipimo vya kitaalamu vya magonjwa ya kurithi? hospitali zipi wanapima na gharama zake zipoje? shukrani.
 14. Husninyo

  Watu wasiobabaishwa na mahusiano

  Kwa mtazamo wangu watu wasiokuwa na misimamo au wasiosimamia misimamo yao huwa hawababaishwi na mahusiano. Mtu asiye na msimamo yupo tayari kwa lolote na wakati wowote. Sometimes nahisi kama ni vizuri kujifunza kutokuwa na msimamo. yaani kuwa flexible upepo ukivuma kusi wavuma nao, ukiacha...
 15. Husninyo

  Jamani Husninyo anatafuta mchumba

  Amechokaje kukumbatia midoli!! hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa! sifa za anaetafutwa 1. Asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu. 2 Amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani 3. Anizidi kipato...
 16. Husninyo

  Mitandao ya kijamii na ushiriki wa wapenzi wetu

  Najaribu kufikiria kuna umuhimu wowote wa kufahamu mitandao ya kijamii anayoshiriki mpenzi wako, mume au mkeo? Najaribu kufikiria kuna umuhimu wa kufatilia ushiriki wake au ndio kukosa kazi ya kufanya huko? Nafikiria siku atakayoniambia anataka kujua ID yangu ya JF nimpatie au nimute, je...
 17. Husninyo

  mashine ya kusagia viungo vya chai/pilau.

  wapi nitapata hiyo mashine wakuu? na bei zake zipo vipi? kwa yeyote anaefahamu tusaidiane please. shukrani sana.
 18. Husninyo

  no title

  habari zenu wadau wote wa jukwaa la ajira! mi napenda kushare nanyi mawili matatu katika utafutaji wa ajira. ni kweli ajira zimekuwa shida sana nchini ukizingatia mfumo wetu wa elimu unatuandaa kuajiriwa zaidi kuliko kujiajiri. maisha ni magumu na sometimes yanakatisha tamaa lakini hatupaswi...
 19. Husninyo

  kwa wanaotaka kujaribu kilimo

  habari? nakodisha shamba kuanzia ekari 5 mpaka 15 kwa wanaotaka kujaribu small scale farming. shamba lipo tanga, umbali wa dakika ishirini kwa gari kutokea barabara kuu.bei tsh 20,000 kwa ekari moja. kwa anaehitaji tuwasiliane.
 20. Husninyo

  kukumbukana wakati wa shida.

  mawasiliano yamerahisishwa sana siku hizi na kuna namna tofauti tofauti za kuwasiliana ingawa ni ukweli kuwa kuna watu unaweza maliza hata mwaka hujawasiliana nao hali ya kuwa una namba zao za simu au unaweza kuwapata kwa namna yoyote. je inakuwaje pale mtu anapokutafuta wakati amekwama? yaani...
Top Bottom