Search results

 1. M

  Tofauti zenu ni faida kwa nchi yetu tusonge mbele kufika ni lazima na tutatua salama

  Sakata la Waraka mbili za Maaskofu na hoja binafsi ya Mhashamu Kardinali Pengo ni chanzo cha mimi kufikiri kama ninavyofikiri sasa. Nadhani kwa wengi wataona nakosea kusema hoja binafsi za Kardinali Pengo rudieni tena kumsikiliza amesema ni maoni binafsi na hayajutii hata kidogo kuyatoa. Wote...
 2. M

  Akili za watanzania zinapokuwa likizo

  Nimewasikiliza nakuwasoma kwenye maandiko yao baadhi ya wenzetu na kusikitishwa kuwa mtu makini kweli anaweza kuja na agenda rahisi na nyepesi kuwa sifa ya rais ajae awe ni Kijana. Niwaulize wenzangu mniambie kweli kama si agenda ya siri nyuma ya pazia ni nini hiki. Nyerere hakuwahi kuwa Rais wa...
 3. M

  Utata na kujichanganya kusiko na lazima

  Nilitaka kuacha kuchangia kwenye mchakato wa kujadili Katiba ya Watanzania kwa sababu nilipata hasira tangu mwanzo wa uandaaji wa kanuni za kuendesha Bunge lenyewe. Hata hivyo uwepo wa maoni ya viongozi wetu wa Imani umenitia moyo na sasa nipo nanyi kutoa maoni yangu. Leo mchango wangu ni wa...
 4. M

  Watoto kufaulu mitihani ama viwango vya elimu vimepanda au mitihani ni miepesi

  Kama mwaka mmoja uliopita tulipata matokeo ya kusikitisha na chukizo kwa umma wa watanzania Leo tukipata matokeo mazuri ni furaha kwa wote lakini matokeo haya lazima yapite katika indicators zote ili yawe validated kwanza tuone kama mitihani ni ya viwango sitahili au ni miepesi ili kudefeat...
 5. M

  Kamati kuu CHADEMA, Mbowe, Slaa na Zitto mpo CHADEMA kwa masilahi ya nani?

  Wanachadema katika mtafaruku huu wa kichama mpo upande gani na kwa maslahi yapi? Mimi nawakilisha kundi kubwa la Watanzania ambao wanaamini suluhu peke ya maendeleo ya watanzania ni uwepo wa vyama pinzani vya kisiasa na taasisi binafsi zenye utengamano, nguvu na imara. Chadema katika hili...
 6. M

  Heri kwenu ninyi wote, mwaka mpya, tabia mpya yenye tija katika mageuzi

  Nadhani watu wajuvi wa masuala ya siasa mnatambua sasa kuwa siyo mtu anayependwa bali kusimamia agenda ambayo inakidhi matakwa ya umma ndiyo msingi wa kuwa upande wa umma na umma kuwa na wewe, siyo mtu anachukiwa bali kile anachosimamia kama kinakwaza juhudi zao ni adui yao, kama huwezi...
 7. M

  Ukiona mtu anajikinga sana na elimu aliyonayo ujue ni mjinga wa kupindukia

  Mawazo mazuri, busara, hekima na upeo wa kunyambulisha mambo si matokeo ya shule kubwa bali ni kipaji tuu. shule inaongezea kidogo tu. Mfalme Suleimani alisoma wapi kuwa social psychologist kiasi cha kutoa hukuma ya kesi ya akinamama wawili waliogombania mtoto, kwa wasiofahamu niwaklumbushe...
 8. M

  Kama unaipenda Tanzania katika kipindi cha siku tatu hivi umekosa usingizi

  Ndoto ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilikuwa kuujenga upinzani wenye nguvu ili kufanya kazi ya kuikosoa Serikali, na pengine na mimi niongeze kuweka changamoto ya kuisimamia serikali kuliko kazi ya bunge la sasa ambalo majority wanatoka chama tawala. Migogoro hata kama si mikubwa lakini...
 9. M

  Viongozi walioko CCM ambao waliwahi kuhamia upinzani kwa kukosa nyadhifa si wazalendo ni wataka vyeo

  Siasa ni uzalendo, siasa ni utu, siasa ni upendo na siasa ni kuongoza katika dhana ya kuondoa tofauti za kijamii na kuharakisha maendeleo ya jamii kwa kutengeneza fursa zinazowapa nafsi wananchi kujiletea maeandeleo. Hivi kuhama vyama nako kumbe ni siasa? Wasira ulikosa nini ccm ukaenda...
 10. M

  Uongozi na timu mpya ccm ni tumaini jipya au janga jipya

  Ujanja katika uongozi ni kukataa kushughulikia mambo ambayo unajua utashindwa na ushujaa katika uongozi ni kufanya ambayo umma unazani huenda hayawezekani. Busara katika siasa ni kutumia akili na mikono ya watu wengine kufanya yale ambayo watu wanaona hayawezekani na kushikiria fimbo ya kuongoza...
 11. M

  Dira na itikadi ni nyenzo muhimu katika siasa

  Katika dunia ya siasa ya miaka 90 na kurudi nyuma itikadi katika siasa ilikuwa ni utambulisho wa nchi na chama kwa jamii, baada ya kuanguka kwa taifa la Urusi utambulisho wa itikadi ulikosa nguvu tena na kuwa siasa zilihamia katika kuelezea mitazamo inayobebwa na wanasiasa (personality in...
 12. M

  Baada ya siku tatu za mkutano kizota unawazungumzaje ccm

  Wana JF kwa kigezo cha hotuba ya Karume na matamko ya viongozi wengi na sasa kwa orodha ya majina ya secretariat mpya je unaona kama CCM wameondoka Kizota wakiwa wamoja au wamegawanyika, tafadhali toa maoni yako ambayo yanazingatia vigezo vya hoja. CCM pokeeni maoni haya kwani ni ya watu binafsi...
 13. M

  Karume na ujumbe wake na kauli mbili za jk ambazo ni muhimu ccm na wapinzani wakazikumbuka

  Jana pamoja na kuchoka nilijiibia muda wa kulala ili pamoja na mambo mengine nikapate kumsikiliza Mwenyekiti wa CCM taifa akifunga mkutano mkuu wa 8 wa chama hicho. Badaye sikujilaumu kwa kufanya uamuzi ule wa kuchagua kuwa na CCM katika usiku ule. Mimi si mfurukutwa wa CCM ya leo na pia wakati...
 14. M

  Hatari ya nchi yetu kumeguka vipande vpande inaweza kuzuilika na watawala

  Siyo siri tena kwamba hali tuliyoizoea ya kujiona wamoja katika nchi yetu sasa wanasiasa wamo mbioni kuibomoa na kuingamiza ili wao waendelee kustawi katika mgawanyiko huo. Si usalama wa taifa au walinzi wetu wa kutumainiwa ambao wanaweza kusema hili hapana na kuwashauri watawala wasimamie...
 15. M

  Kuelekea 2015 CHADEMA wana kazi kubwa ya kufanya kuliko wapinzani wao CCM

  Tunaelekea 2015 kwa matumani lakini pia tukiwa katika lindi la kukata tamaa. Mambo haya mawili yako katika mioyo ya Watanzania vijana, wazee, akinamama, watoto na marafiki zetu wa n'gambo. Watanzania wana matumaini kwa sababu wanahisi kuzidi kujikaanga kwa CCM katika matukio ya kisiasa...
 16. M

  Hoja ni mafanikio ya CHADEMA au tishio la kisiasa la anguko la CCM?

  Ndugu watanzania na wote mnaopenda amani nawasalimu kwa jina la Amani ya Bwana, lakini pia niwape pole kwa vifo vya Watanzania wasio na hatia kwa sababu tu neno amani na utii bila shuruti vimeanza kutumika kwa madhumuni ya kulinda masilahi ya kisiasa ya kundi fulani. Kwanza nianze kwa...
 17. M

  Je uhuru wa mahakama na kinga ya mihimili imezaa kichaka cha kuminya demokrasia

  Mimi napata taabu sana, na leo niwe mkweli kwenu wote wanajf, sikupendezwa kabisa na kuingiliwa kwa hotuba ya upinzani rasmi Bungeni kwa hoja ya kuingilia mwenendo wa kesi zilizoko mahakamani, kiasi kwamba inanibidi kuibua mjadala wa hoja nini maana ya "kuingilia mwenendo wa kesi iliyoko...
 18. M

  Hivi ndivyo ccm inavyohujumiwa

  Wahenga wanatwambia kama unaishi kwenye nyumba ya vioo usiwatupie maadui zako mawe. Ninapata shida sana kufuatilia hoja za wabunge wa ccm bungeni, kama kuna kitu wanafanikiwa ni kuwakejeli wabunge wa upinzani. Bahati mbaya kejeli hizi ni mafanikio kwa wapinzani. Bajeti inayojadiliwa bungeni ni...
 19. M

  Mawazo shindani hujenga busara na kupunguza kushindwa kwa jamii na nchi

  Naandika si kwa sababu nitashikilizwa na wenye mamlaka ya wingi au wachache kwa wingi lakini wengi wa hoja, nataka nisikike ili busara ikatumike kukubali mawazo bora katika bajeti hii, kushindanisha mawazo ni kuruhusu fursa ya kupata matokeo bora katika jambo jema tulilopanga kulitekeleza na si...
 20. M

  Kuwika kwa jogoo au kuunguruma kwa simba

  Jogoo akiwika hufanya hivyo kwa manufaa ya kuku wenzake, lakini wapo viumbe hunufaika na tukio la uwikaji. Simba akiunguruma hufanya hivyo kwa manufaa yake yake lakini wapo viumbe hunufaika na muungurumo huo kwani nyati na pundamilia huchukua tahadhari. Katika maisha ya siasa ujanja ni nyenzo...
Top Bottom