Search results

 1. B

  Mafuta ya UBUYU YANAUZWA

  Habari wadau,mafuta yaliyokamuliwa kutokana na mbegu za UBUYU yanapatikana,lita moja ni shilingi elfu 30 tu. Kwa mawasiliano zaidii piga simu namba zifuatazo: 0712385456 0713890628
 2. B

  Atakayemfichua fataki atapewa shilingi elfu 20

  Serikali mkoani RUVUMA imesema kuwa mtu yeyote atakayetoa taarifa juu ya watu wanaowarubuni wanafunzi wa kike maarufu kama 'MAFATAKI' Atapewa zawadi ya shilingi elfu ishirini keshi, iwapo itathibitika kuwa taarifa zake ni za kweli, Mwambungu ambaye ndiye mkuu wa mkoa huo amesema kuwa lengo ni...
 3. B

  Wanafunzi VIZIWI wapeana mimba

  Wanafunzi wa shule ya msingi ya viziwi ya Kigwe wamejikuta wakipeana ujauzito baada ya kunogeshana mahaba na mashamsham, wanafunzi hao ambao wanasoma shule hiyo iliyopo wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, wakiume ana umri wa miaka 14 na wa kike ana umri wa miaka 13: sosi:habari leo
 4. B

  Dirceu afungwa jela miaka 11 kwa ufisad Brazil

  Waziri mkuu wa zaman wa Brazili bwana Dirceu amehukumiwa kifungo cha miaka 10 na mize kumi jela kwa kosa la ufisadi mkubwa, Mahakam kuu ilimkuta na hatia bwana Dirceu ambaye ni swahiba mkubwa wa rais alomaliza muda wake bwana Lula da Silva,pamoja na hukumu hiyo pia anapaswa kulipa dola laki 3...
 5. B

  Wakamatwa kwa biashara ya kuuza VICHANGA

  Polisi jijini Cairo nchini Misri inawashikilia wauguz wawili pamoja na daktar mmoja kwa kosa la kuuza watoto wachanga kwa watu wasio na watoto, inasemekana mpaka sasa inakadiriwa genge hilo limeshauza takriban watoto 300,polisi wanaendelea na msako kumtafuta meneja wa zahanat hiyo, Genge hilo...
 6. B

  Bamwanasha

  Me mgeni kwa leo tu,kesho nipeni jembe nikalime
 7. B

  Kibonde aiweka REHANI AJIARA YAKE

  Nipo kwenye daladala hapa natokea kutafuta mkate,redion namsikia kibonde na wenzie wanajadili kauli za akina mukana na Sumaye juu ya mustakabali wa RUSHWA,sasa kibonde amesema rushwa ipo kila chama, na amejigamba kuwa KAMA KUNA MWANASIASA AMBAYE ANAAMINI CHAMA CHAKE HAKIJIHUSIHSI NA RUSHWA...
 8. B

  Breaking news:UTAFITI WAWAVUA NGUO MAREFA WA LIGI KUU YA UINGEREZA

  Siku kadhaa baada ya Aguero ambaye ni mchezaji wa MAN city raia wa ARGENTINA kulalamika kuwa marefa wa uingereza wanatabia ya kuwapendelea wachezaji wa uingereza,utafiti umeibuka na kumuunga mkono Aguero,Utafiti huo ambao ulifanywa na chuo kikuu cha Oxford,Cmabridge na Birminghan umeweka wazi...
 9. B

  Kama unaifaham SOS CHILDREN'S VILLAGE nijulishe

  Nimeitwa kwenye usaili na hawa jamaa,ingawa nimeperuz kwenye website yao,ila naomba mwenye kuijua kwa undan aniambie hapa,hata na scale zao zikoje kwa graduate,as long as hili ni shirika la KIMATAIFA
 10. B

  Yanga na afrikan Lyon waigomea TFF na Vodacom

  Kama kichwa kinavyoeleza hapo,timu hizi leo zimeingia uwanjan pasipo kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamin wa Ligi kuu TANGANYIKA,,,,, Ikumbukwe kuwa afrikan Lyon walikatazwa kuvaa jez za mdhamin wao(zantel). Hizi ni dalili mbaya kuwa ligi hii huenda ikawa na mgogoro sana kwenye kipengele cha...
 11. B

  Oooh, MALEMA ni mtifuano wa kisiasa au kweli?sasa ana kesi ya kukwepa kodi

  Jamani hili la malema kusema anakwepa kodi linatia shaka, katika kipindi cha dira ya dunia imeripotiwa kuwa MAMLAKA YA MAPATO YA SOUZI INAJIANDAA KUMSHTAK MALEMA KWA KUKWEPA KODI
 12. B

  Anyweshwa maji ya betri na vibaka

  Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina la Mustafa huko wilayan Kondoa amelazwa katika hospitali ya wilaya baada ya kukutana na VIBAKA ambao walipomsimamisha walimpora vitu na kunywesha kinachosadikiwa kuwa ni maji ya betri au tindikali. Daktari mmoja amethibitisha hilo na kusema kuwa kwa sasa...
 13. B

  Kama MBIO ZA MWENGE zinahamasisha maambukizi ya UKIMWI kwanini FIESTA ISIAMBUKIZE?

  Kwa muda wa miaka kadhaa wadau wanahusiana na masuala ya ukimwi na VVU wamekua wakitoa maoni yao na kurusha shutuma kuwa mbio za mwenge ni kichocheo kikubwa cha maambukizi mapya ya ukimwi hasa linapokuja suala la mkesha wa mwenge,na hata baadhi ya kauli mbiu za mwenge zimekua ni kupiga vita...
 14. B

  Waislam Dar wakutana Kidongo Chekundu, kulaani filamu ya kumkashifu MTUME

  Mchana huu waislam watakutana uwanja wa kidongo chekundu, kwa ajili ya kuonyesha hisia zao za kulaani kitendo cha wamarekan kuandaa filamu ya kumkashifu mtume. Ikumbukwe kuwa haya si maandamano,ila waislam baada ya sala ya ijumaa watakua pale. NB: Katika ulimwengu wa kidemokrasia UVUMILIVU ni...
 15. B

  Nimeokota SHANGA Bafuni ASUBUH YA LEO

  Habar wakuu,leo asbuh majira ya saa 12 nilipoingia bafuni nikakuta kitu kimedondoka chini,baada ya kukiangalia kwa makini nikagundua kuwa ni shanga,ambazo kwa kuziangalia tu nikagundua ni za KIUNONI,ila sasa mimi nikaziokota na kuziosha kisha nikazihifadh sehem salama KWANGU, najiuliza nitumie...
 16. B

  Kadhia ya GIZA kituo cha DALADALA CHA UBUNGO

  Ifikapo usiku ndani ya kituo cha daladala cha ubungo usalama huwa mdogo sana,sababu kubwa ni GIZA linalosababishwa na ukosefu wa taa,mazingira ya kituo cha ubiungo yanatofautiana na kile cha mwenge ambacho huwa na mwanga kwa sababu kimezungukwa na maduka,ambapo taa za madukan huangazia mpaka...
 17. B

  Mtu anayetapeli kupitia kituo cha uwekezaji T.I.C atiwa mbaroni

  Heshima kwenu wadau, Wikendi iliyopita nilileta uzi hapa kuwatahadharisha wadau kuwa makini na mtu anayetapeli watu kwa kutumia taasisi ya serikali ijulikanayo kama TANZANIA INVESTMENT CENTER,niliandika kuwa huyu jamaa anajiita TOZIR MALEKELA.Jana tulitengeneza mtego,jamaa akajaa maeneo ya...
 18. B

  Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

  Waislam mchana huu wanakusanyika maeneo ya kariakoo kwa ajili ya kwenda Wizara ya mambo ya ndani kwa njia ya maandamano. Lengo kuu la maandamano hayo ni kwa ajili ya kuishinikiza serikali kuwaachia huru na kuwafutia kesi watu ambao wamekamatwa kutokana na kususia zoezi la SENSA, TAYARI waislam...
 19. B

  Advera Senso,msemaji wa Jeshi la polisi

  Nimemsikiliza huyu mama akihojiwa na sudi mnete wa idhaa ya kiswahili redio DW,amesema kwamba kuna watu 30 wamekamatwa wakitokea Iringa kwenda mbeya ambao wanawahisi ndio waliosababisha vurugu, Pili amesisitiza kwa KUJIAMINI kuwa Marehem Mwangosi ameuliwa na kitu kilichotumwa kutokea upande wa...
 20. B

  Wadau kuweni makini,kuna mtu anatapeli kwa kutumia taasisi ya T.I.C(TANZANIA INVESTMENT CENTER)

  Habar wadau,naomba nitoe angalizo kwa yeyote yule kuwa kuna jamaa anajulikana kwa jina la TOZIR MALEKELA,huyu jamaa anapenda kujinasibu kuwa yeye anafanya kazi KITUO CHA UWEKEZAJI(T.I.C) na hutumia fursa hiyo kuwatubuni watu kuwa kuna fursa za uwekezaji pale kwa wajasiriamali wadogo. Na...
Top Bottom