Search results

 1. Kaduguda

  Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

  Kwa jinisi kesi ilivyofika, maji yashawafika shingoni. Kama asingesema kwenye mkutano wa vyama vya siasa angeweza kusema mahali popote pale! Period!
 2. Kaduguda

  Ni wangapi walioomba Mamlaka za Tanzania kumuachia Mbowe bila Masharti kabla ya leo?

  Ktk hili yawezekana Zito alikuwa na nia nzuri ila presentation ndio imekuwa mbaya. Hakutakiwa kuomba huruma ya mama ili kumtoa Mbowe. Alichotakiwa kusema ni kuweka bayana kwamba hii ni kesi iliyoghubikwa sababu za kisiasa na hivyo tunaitaka serikali yako imuachie Mbowe bila masharti yeyote maana...
 3. Kaduguda

  Kwanini Uganda na Egypt hawana mgao wa umeme na wanategemea maji kuzalisha umeme?

  Lakini pia hawategemei MAJALIWA ya mvua ili kuwaletea SULUHU ya mgao wa umeme na maji!
 4. Kaduguda

  Simba kukakataa kuvaa medali siku ya ngao ya jamii ni kukosa ungwana

  Nani aliwaambia wamualike Job…?
 5. Kaduguda

  Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

  Sidhani kama kuna kujuta ktk hili. Hawajavunja kosa lolote lile kisheria. Ilitakiwa hii kesi irushwe live ila ndo hivyo tena!
 6. Kaduguda

  Tume ya Uchaguzi: CHADEMA yasimamisha Dismas Luhwago mgombea Udiwani kata ya Luduga

  Picha ya kwanza ni mgombea kwa tiketi ya CHADEMA, Bw. Dismas Luhwago akirejesha fomu za uteuzi kugombea kiti cha Udiwani Kata ya Luduga Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe, mkoani Njombe na ya pili ni mgombea kwa tiketi ya CCM, Bw. Andrea Maseleka akirejesha fomu za uteuzi
 7. Kaduguda

  Simba kwa huyu mgeni rasmi wa Simba Day leo, mmetuangusha sana mashabiki

  Shida kubwa kwake ni kwa maamuzi yake yasiyozingatia katiba na hali halisi ya wanyonge - wananchi! Kama maamuzi yanapitishwa kisha anashangaa kwa nini yalipita bungeni unadhani kuna kiongozi hapo? Lakini pia mgeni rasmi ni yule ambaye ukimuweka kwenye mizani sehemu kubwa ya jamii inamkubali iwe...
 8. Kaduguda

  Simba kwa huyu mgeni rasmi wa Simba Day leo, mmetuangusha sana mashabiki

  Kwa kitendo cha kumualika Job, Simba wakubali hawakushauriwa vizuri. Hili litawagharimu kukosa mashabiki uwanjani lakini pia ikitokea wamefungwa wajiandae kuzodolewa! Credibility ya Job imeshuka sana toka kwa Mwendazake mpaka sasa!
 9. Kaduguda

  FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

  Kwenye mgeni rasmi, Simba tumechemsha sana! Nani alitushauri kumuita Mh. Job?
 10. Kaduguda

  Kesi ya Ugaidi ya Mbowe itaondoka na watu Polisi!

  Ni mtazamo wangu tu lakini inavyoelekea Chief Hangaya ameachia hii kesi ili Polisi waaibike na mwisho wa siku kuna watu watanyolewa vichwa hapa! Subirini muons maana sio kwa udhaifu ambao Polisi wanaonesha kwenye utetezi wao huko mahakamani. Mama anaupiga mwingi!
 11. Kaduguda

  Godbless Lema: CHADEMA imepata taarifa za Serikali kutaka kulazimisha kumfunga Mbowe kimkakati

  Sorry naona hii ilinipita hivi waliohukumiwa wengine wamepigwa miaka mingapi au adhabu ikoje maana bado nawaona wanakuja mahakamani na Mbowe au hii ni kesi nyingine tena?
 12. Kaduguda

  Uchaguzi 2020 CHADEMA kufungua kesi kwa ajili ya kumtafuta aliyesaini Barua ya NEC inayohusu majina ya Viti Maalum

  Good move katika kujitakasa. Sasa subiria sarakasi zitakazopigwa na Tume ya Uchaguzi. Hakuna nakala wala nini watakachokipata toka tume.
 13. Kaduguda

  Kwa niliyoyashuhudia katika Uchaguzi huu, Poleni viongozi wa Upinzani

  Mbinu Peter iliyobaki kwa upinzani kuweza kushika na kuongoza nchi hii ni kupandikiza watu wao ndani ya CCM. Ni kwa njia hiyo tu wataweza kuivuruga CCM na mwisho wa siku itabaki kweupe. Ni njia ndefu lakini salama!
 14. Kaduguda

  Katavi: Afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuchana mabango ya wagombea wa CCM

  This is what I meant for your info. Huu je ndio unaouita uzushi?
 15. Kaduguda

  Katavi: Afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuchana mabango ya wagombea wa CCM

  CCM and its machinery need to be very careful about how they handle issues like this. How many times CCM members have been caught live on camera destroying/tearing down oppositions' flags and posters? Not once we have heard of Police, Registrar of Political Parties and NEC rebuking them.
 16. Kaduguda

  Uchaguzi 2020 Askofu Gamanywa: Nimefanya utafiti wa soko la almasi na Tanzanite huko Ulaya, tumeibiwa sana Rais Magufuli ni Mwokozi

  Kipindi chote hicho tunaibiwa ni akina waliokuwa madarakani na ambo walikuwa wakisaini hiyo mikataba na kupitisha sheria zake kwa hati za dharura? Ilitakiwa aseme kwanza tuanze kwa kuwaadabisha hao waliotuingiza kwenye kuibiwa. Mabeberu hawakuja na kuanza kuchukua Almasi zetu kama hawakupewa...
 17. Kaduguda

  ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

  Ile picha ya pili HAPANA NAKATAA, sidhani kama ni simu ya kwaida. Tazama kwa umakini Camera iko kwa juu na mheshimiwa anatembea kwa chini akiwa ameinua kichwa. Sidhani kama alijua kwamba anapigwa picha.
 18. Kaduguda

  ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

  Nimefuatilia na kuziangalia picha ambazo Mh. Membe - Mgombea urais kupitia ACT amepigwa akiwa JNIA zinaleta maswali mengi kuliko majbiu. 1. Nani alimpiga hizo picha? 2. Kwa nini apigwe picha bila hata ridhaa yake? 3. Kwa nini ziwekwe kwenye mitandao ya kijamii na wengine hasa viongozi wa kisiasa...
 19. Kaduguda

  Zanzibar 2020 Maalim Seif, punguza ukali wa maneno kutunza heshima yako

  Umesahau Mwenye nchi hakuweka Passport Size photo kabisa iliyotakiwa kisheria pia alikiuka sheria kwa kusainisha form kwa wasimamizi wa majimbo badala ya Mkurugenzi wa tume Taifa, walimfanya nini? Hayo ni makosa madogo sana!
 20. Kaduguda

  Uchaguzi 2020 Jicho la tatu: Huu ndio utofauti wa Tundu Lissu na John Magufuli

  Umesahau mwingine ana-pacemaker kwenye moyo wake. Betri ikizima au kuishiwa chaji tunalo!
Top Bottom