Search results

 1. YoungCorporate

  Je, ninunue gari gani kati VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner?

  Kenya hawapo SADC ila wapo COMESA, SA wapo SADC, sasa labda wananunua nchi za Comesa.
 2. YoungCorporate

  Je, ninunue gari gani kati VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner?

  Hivi bei za SA kwa BMW X5 diesel ya mwaka 2008 mpaka 2012 ni bei gani mpaka dar+tax? Na vp kuhusu ishu za udanganyifu nasikia kuna baadhi wanauza halafu ukishaisajili huku wanareport kule imeibwa, interpol wanakudaka, hiyo imekaaje, yaani kuna magari ya wizi pia mengi kutoka SA. Za uingereza...
 3. YoungCorporate

  Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

  Ukimchunguza sana bata utashindwa kumla.... Wanawake wanamatatizo mengi sana ya mambo ya uzazi kama fibroids, hormones n.k pengine anajua presha za wakwe na mawifi akiolewa ndoa isijibu itakuwa tatizo ameamua kutibu tatizo mapema....sijajua wewe unawasiwasi kwa upande upi, unahisi ametoa mimba...
 4. YoungCorporate

  What is the highest high?

  Piga mogoka na giza tengeneza taksima ya kuzuia semi.... andasi moja hatari na haina madhara...full kuchangamka na mastori kama yote ila ndio hakuna kulala.
 5. YoungCorporate

  Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

  Kama muislam oa mke wa pili, muhimu usimnyanyapae tu. Mjali, mthamini ila akili kichwani ukimuendekeza huyo kichwa asie na ubongo utaumia, haja zako zitimize kwingine umri wako bado usijidhulumu lakini pia fikiria ingekuwa wewe unao yeye hana ungependa afanyeje..
 6. YoungCorporate

  Naomba ushauri na experience ya kupeleka nakuuza gemstones Canada au Australia kutoka Tanzania

  Kuna jamaa anaitwa 'google' huyo anataarifa nyingi sana kama 'ze english' inapanda. Sikuhizi biashara inafanyika online kabisa. Usisumbuke kwenda mpaka canada kumbe demand ya gems hamna. Hebu tumia gugo vizuri.
 7. YoungCorporate

  Mmhh tumekwisha sasa!

  Nadhani labda swali la msingi ni je utolewaji wa bure utakuwa wa quality ipi? Kimsing sioni tofauti yeyote itakayotokea ukilinganisha na sasa, na sidhani kama kuitoa bure kutatupeleka mbele. Kwa sasa shule ya msingi ni bure na sekondari ni elfu 20 mpaka 70 (mnaojua mnisahihishe). Hii ni gharama...
 8. YoungCorporate

  Nalazimika kumuacha mchumba wangu, 'One Night Stand' imenisababishia mimba...

  Umeshatoa mimba ngapi? Unawapenda wote 50/50? Chagua jibu sahihi hapo chini..... 1. Olewa na mwenye mimba aibu ndio gharama ya makosa yako...ya kutoa kavu kavu! 2. Mwambie mchumba ukweli kama kweli ameoza atakubali kulea mzigo wa watu...chances za yeye kukubali 19%...lakini ni chances uzuri...
 9. YoungCorporate

  Mteja wa hizi hela za kale

  Biashara halisi ambayo inafuata mifumo ya kiuchumi ni ile inayozingatia mabadilishano ya bidhaa (exchange of products). Hivyo biashara kama za hisa/bonds/future/derivatives ni mfani ya uchumi usio halisi kwa sababu haumbatani na mabadilishano ya bidhaa bali ni makaratasi na fedha. Uchumi wa aina...
 10. YoungCorporate

  Kitugani kinamfanya mtu awe mtu?

  Emotions, Soul and Developed brain capacity are what makes human a human and not animal or plant.
 11. YoungCorporate

  Nauchukia Mwili wangu: Naombeni Msaada.

  Back to basics.... Nenda kapime minyoo au simply kunywa dawa za minyoo... tumia food supplements ambazo ni maalum kwa kuongeza uzito kula vyakula vyenye protein na fat (kuwa makini usitumie unheathy fatty food ambazo zaweza leta madhara kiafya) Kula milo mitatu mizito na midogo midogo miepesi...
 12. YoungCorporate

  Msichana kafunguka nifanyeje.

  Sidhani kama anamaanisha umuoe right away...anamaanisha muwe marafiki (bf/gf/fu*k mates) then hesabu zikikubali ndio mengine yfuate....nadhani ni weird msichana akwambie anakutaka kwa ajili ya kuwa f* mate...japo hilo laweza kuwa lengo...kutunza heshima yake anaingia kwa gia kubwa ya...
 13. YoungCorporate

  This is Insane...

  Air Yeezy 2.....looks dope if you are trendy/shopperholic...
 14. YoungCorporate

  naomben iushauri wapendwa

  SIDE A.....Nadhani hiyo bikira unaiweka mbele sana kama ndio kila kitu mpaka una-loose touch ya wewe ni nani na unatakiwa ku-play yourself katika hivyo videti vyako....Don't make that loose vestigial skin a big deal and a leverage/ticket to relationship life...be yourself and play normal....when...
 15. YoungCorporate

  Je ni kweli GPA Kubwa iliniponza!! Nimechemsha au!!

  Brother, najaribu kujiweka kwenye shoes zako.....nahisi kimsingi hujasomea kitu unachokipenda bali ni yale mambo ya nafasi za uchina/asia na eastern europe.....mwisho wa siku unamaliza unagundua hiyo elimu kwako sio mafanikio....lakini yaliyopita si ndwele.......chakufanya hapo ni kuitumia hiyo...
 16. YoungCorporate

  [USHAURI] Nina milion 80. Naomba msaada.

  Inabidi utuweke wazi kidogo ili ushauri uwe effective....kwanza wewe unaelimu/exposure ya level gani? unafanya shughuli nyingine kama ajira nk, unauzoefu na biashara gani? unapenda kufanya nini? je wewe ndio utakuwa msimamizi full time au unatarajia kumuweka mtu? unahitaji quick cash au hata...
 17. YoungCorporate

  Naendelea kusikitishwa na NHC

  Real estate is one of the booming industry in the region.....I think their prices is reasonable and probably below the market value! Kama una hiyo pesa its worthy for the investment.......... enzi za ujamaa zimekwisha tupo katika zama za ubepari.......
 18. YoungCorporate

  Africa: Kenya 'Becoming Economic Heartbeat of Continent'

  I think Kenya is doing well in using their few resources to create tangible benefits! I recall that Kenya is a hub for most multinational company in East Africa. With reliable power source, prospect of oil, political peace brought by new constitution, growing number of production industry...
 19. YoungCorporate

  Kunyaza (Kachabali): African sexual technique that triggers female orgasm in 5 minutes....

  Caroline I respect your opinion but there are some sisters out there who are anorgasmic (have never reached orgasm before) so this will help their male counter part to have them reach.....seems you are among them??? joke.... please see few benefits of orgasm below Orgasms relieve tension! The...
Top Bottom