Search results

 1. rosemarie

  Ni nini kimempata Askofu Gwajima?

  tunaangalia live on youtube askofu Gwajima anahubiri nashangaa sana Askofu anahubiri kwa upole sana,kwa uangalifu sana,je Askofu ni mgonjwa??? nafikri Gwajima ana matatizo kutokana na uwezo wangu wa kuangalia mambo na huko ccm alifata nini?alikuwa mwanaharakati wakati wa Dr Slaa aliifata ccm ili...
 2. rosemarie

  #COVID19 Yaliyojiri JamiiForums Clubhouse kwenye Mjadala wa UVIKO-19, Umechanja au haujachanja? Nini mtazamo wako?

  serikali ya mabavu ya ccm walifanya big mistake kumtishia Gwaajima na kamati za bunge,wangekuwa weledi wangeunda kamati ya wataalam wa afya na kumuita Gwajima na kuzungumza tena live huku watanzania wote tukiona,sichanji wala sina mpango kabisa
 3. rosemarie

  Swali Fyatu: Wanaosali kwa Gwajima wako Dini Gani?

  wale wameokoka ni wafuasi wa Yesu Kristo na Gwajima ni mtumishi wa Yesu krissto,,,,,wana akili sana kwa sababu wamezaliwa upya sio kwa damu na nyama bali kwa roho mtakatifu,ni vigumu sana kuelewa
 4. rosemarie

  Ushindi wa UPDP Zambia wachina wana hali mbaya

  ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF. Africa tuna kazi sana kwa kweli
 5. rosemarie

  TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

  kuna majina tunasikilizia sana ndugai nape makamba mwigulu asante
 6. rosemarie

  #COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

  Gwajima amejitokeza front na anapambana kwelikweli. hiyo vita itakuwa mbaya sana na macho yote ni kwa Gwajima namwomba sana Gwajima akae standby
 7. rosemarie

  #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

  Mtumishi wa Bwana Nataka ujuwe sipingani na wewe wala sipo kinyume na wewe, nataka nieleze mawazo yangu kuhusu somo lako la leo kuhusu kuchanjwa. Leo umehubiri kuhusu chanjo kwamba waumini wako wasikubali kuchanjwa, napenda nikufungue macho kidogo uweze kuona, Nilipozaliwa nikiwa mtoto...
 8. rosemarie

  Rais Samia anajaribu kuendesha nchi kama Hayati Dkt. Magufuli?

  Habari za kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na watendaji wengine wa Chama huko Mwanza zinashangaza sana Watanzania wanajiuliza Rais Samia anajaribu kuiga au kumuiga Magufuli? Maswali yamekuwa mengi kwani hana leadership style ya kwake ya kufanya kazi? Kwani zile ahadi alizotoa za...
 9. rosemarie

  Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

  Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora. Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote? Huyu ni mtu wa aina gani?
 10. rosemarie

  Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

  Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
 11. rosemarie

  Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

  hivi unaweza kupoteza muda wako kabisa unasoma kitabu cha huyu mzee??unapata faida gani humo ndani?kwa background ip?kwa legacy ipi? kuna mwingine alikuwa anaitwa mkapa naye alitoa kitabu nasikia,mtanzania yupi??
 12. rosemarie

  Tukatae Wakenya kusafiria passport zetu nchi za SADC

  Tumepenyezewa hiyo ni moja ya ajenda kujadiliwa, wanataka wakenya waishio tanzania kupewa passport za Tanzania ili iwe easy ku access sadc countries,huo ni ushenzi na upumbavu wa Wakenya, nashauri tusiruhusu ukaribu sana na hawa jamaa.
 13. rosemarie

  Tukatae Wakenya kusafiria passport zetu nchi za SADC

  Ujinga mwingine huo, eti wakenya wapewe passport za Tanzania ili kuweza kusafiria nchi za SADC kirahisi. Tukatae kwa nguvu zote na kama Rais wetu akikubaliana na huo ujinga tuhakikishe tunakataa kwa nia moja na kwa umoja. Hiyo ni mojawapo ya ajenda zitakazojadiliwa na wafanyabiashara wa Kenya...
 14. rosemarie

  Abattoirs: Kenya vs Tanzania

  wale masheikhe hawachinji tena??technologia bwana,,,,
 15. rosemarie

  Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

  mwaka 1995 nilikosea nikapanda tawaqal mbeya dar,kwanza ile asubuhi pale stand aliletwa na teksi halafu wakambeba kutoka kwenye teksi mpaka kwenye usukani,kwa kweli sikufurahia safari manake huo mwendo ni Mungu anajua,tulifika Dar saa tisa mchana
 16. rosemarie

  Tujikumbushe kauli za Nape-katibu mwenezi CCM

  Kuna rumors zinaendelea,Nape ana mpango wa kujiunga na Chadema, naomba sana viongozi wangu wa chama mkae chini na kutafakari sio kila mtu ni wa kupokelewa kwenye chama Nape na kundi lake,Makamba,Rizwan na wengine wamepiga hesabu zimekataa kabisa,nia na madhumuni yao ilikuwa waharibu legacy ya...
 17. rosemarie

  Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

  badala ya kutulia na kusikiliza muda wote mi kupiga meza,yaani makofi na kupiga meza inameza muda mwingi wa hotuba,african people!!wapumbavu sana kwa kweli,unafiki utatupeleka pabaya
 18. rosemarie

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

  Hii yote ni kwa sababu hatuna mfumo maalumu wa kuendesha nchi,rejea Asskofu Gwajima bungeni last week. Waziri mkuu anajaribu kufata nyayo za boss wake wa zamani ili kuonyesha watanzania bado wanafanya kazi. Sikatai ni jambo jema lakini bado tupo nyuma sana sana kama mambo yenyewe ndiyo haya...
 19. rosemarie

  Ziara ya Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu katika jimbo la Muhambwe

  naona chama kimekuwa cha waislam,,,Tanzania bwanaa!
Top Bottom