Search results

 1. P

  Wajue Mawakili wa CHADEMA wanaowahenyesha Mashahidi wa Jamhuri

  Wewe ni Mungu tu akusamehe na akusaidie uone inavyopaswa.
 2. P

  Kwanini TBC haituhabarishi kesi ya Mbowe na wenzake?

  Ili Tanzania iwajue magaidi na kukaa mbali nao. wangeonyesha, tena LIVE,
 3. P

  CCM imempa Mbowe nguvu isiyokuwa na mfano

  Ndio maana Lissu hakuwa na wasiwasi kabisa na hii kesi.
 4. P

  CHADEMA wanajiita Chama Kikuu cha upinzani wakati walipata mbunge 1 wanatumia vigezo gani?

  Kwani wewe unaikubali au huikubali? Tuanzie hapo kwanza.
 5. P

  Happy birthday Tundu Lissu

  Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu. (Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu! Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu. You are the HERO! Ule mkono wa Mungu...
 6. P

  Sipendi hii hali baada ya kula Mzigo. Je, na kwa upande wenu Ndivyo ilivyo?

  Mkuu acha uzinzi mrudie Mungu. Yesu anaokoa ujue ... Sie tuliooa mbona tuko fresh tuuuu!
 7. P

  Special thread: EACOP updates

  Hivi ile EACOP BILL iliyopitishwa na Bunge imeshasainiwa na Museven? Mwenye taarifa tafadhali.
 8. P

  Nimekubali Tanzania Kuna chuki kubwa, upo umezekano tunauana kimya kimya

  Mkuu na mi Kuna wakati niliwahi kufikiri kama wewe. Hii nchi kuiongoza ni rahisi mnoo. Watu hawajielewi kabisa yaniii.
 9. P

  Zitto, hii ndiyo timu ya kupitia masuala ya Tume Huru ya Uchaguzi uliyotegemea au wamekuchakachua?

  Kwa hiyo CHADEMA kwa kuwa hawakuwepo ndio iwe kigezo Cha CCM kuweka Wana CCM kwenye hiyo timu?, Bado walipaswa kuweka timu inayokubalika na pande zote bila kujali Kama CDM hawakuwepo au walikuwepo.
 10. P

  Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM

  Anagombea wapi Huyu ndugu?, hembu fafanueni basi? Tangu CHADEMA waache kugombea hizi chaguzu ndogo hatuzisikii kiviiiiileeee.
 11. P

  Wafuasi wa CHADEMA Waingia na Keki Mahakamani

  Mimi nimeona ishara ya Upendo na mshikamno. Mbona unakuwa negative minded brooo
 12. P

  Mzee Juma Duni Haji na Shehe Ponda Wamtembelea Freeman Mbowe Gerezani

  Maandamano yasiyo na kikomo yanafimanyika CLUB HOUSE kila siku ya kesi au unataka waingie road?,ili mpate sababu za kuwaitia polisi wawapige virungu bro?, muwe na huruma basiii.
 13. P

  Kwanini hatusikii viongozi wa Chadema wanatunukiwa Ph.D?

  Kwa akili nyingi za Lissu hapo alipo ni sawa na PROFESA.
 14. P

  Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.

  Paschal CHADEMA waliomba kuonana na Rais bana hayo mengine ni zugazuga tuuu. Rais apate AUDIENCE nao. From there milango mingine itafunguka.
 15. P

  Emmanuel Shangai (CCM) Jimbo la Ngorongoro ashinda Uchaguzi. Ndiye mrithi wa William Tate Ole Nasha (RIP)

  Hivi kukikuwa na UCHAGUZI?, MBONA kampeni hazikuwepo?? Au ndio utaratibu mpya!
Top Bottom