Search results

 1. P

  Happy birthday Tundu Lissu

  Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu. (Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu! Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu. You are the HERO! Ule mkono wa Mungu...
 2. P

  CAG Mstaafu Ludovick Utoh: Kuna ukakasi kusema Rais ametoa hela inapaswa kuwa Serikali imetoa hela kutekeleza miradi

  Mzee Ludovick Utoh, Sasa akiongoza taasisi iitwayo wajibu, alikuwa CAG kwa miaka 8. CAG mmoja hivi amenyooka Kama rula, akipiga kila palipostahiki pasi na kusita mradi tu maslahi ya imma yasipindishwe. Akihojiwa na Chief Odemba wa Star TV, Jana usiku alupoulizwa Kama, ni sawa kwa Viongozi...
 3. P

  Pendekezo la kumaliza mvutano wa muundo wa tume huru ya uchaguzi-CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo zingatieni sana

  "Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu" Mithali 18:18 Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani. Mara zote hizi lawama...
 4. P

  Nafasi ya muamuzi katika mashindano!

  "Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu" Mithali 18:18 Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani. Mara zote hizi lawama...
 5. P

  Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

  Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira...
 6. P

  Wakati CCM wakiwa bungeni kupitisha bajeti, CHADEMA wako majimboni kwa mikakati

  Kwa hakika Chama hiki (CHADEMA)kina mipango, mikakati na dhamira ya dhati ya kuchukua dola. Wanajua njia waipitayo. Msimamo wa mwenyekiti Mbowe ni thabiti na haujawahi kuyumba. Wakati CCM wakiwa bungeni kupitisha bajeti, Chadema wako majimboni kwa mikakati madhubuti kidigitali kuipanda Imani...
 7. P

  Pendekezo: Viongozi wa vyama vyote na viongozi wa dini mkutane kujadili mada moja tu-haki katika uchaguzi huu. Baada ya hapo muwaombee wagombea wote

  Waheshimiwa Viongozi wetu wa vyama na Wagombea, Waheshimiwa viongozi wetu wa Dini zote, Wadau wa uchaguzi. Amani iwe kwenu. Wapendwa viongozi wa dini na viongozi wa vyama vya siasa vinavyogombea urais mwaka huu, kwa unyenyekevu mkubwa ninaomba kutoa pendekezo kwenu, ikiwapendeza mkaufanyia...
 8. P

  Labour Sub Contractors- Civil & Building Works Contractors

  Salaam Wadau, Kwa wakandarasi wa wa Ujenzi daraja la kwanza hadi la saba ambao hawana wataalamu/utaalamu, napenda kuitambulisha kampuni yetu kuwa tuna wataalaamu wanaoweza kusimamia miradi ya ujenzi kama Site Engineers, Civil Technicians na Quantity Surveyors. Wahandisi waliosajiliwa na board...
 9. P

  Labour Sub Contractors- Civil & Building Works Constractors

  Salaam Wadau, Kwa wakandarasi wa wa Ujenzi daraja la kwanza hadi la saba ambao hawana wataalamu/utaalamu, napenda kuitambulisha kampuni yetu kuwa tuna wataalaamu wanaoweza kusimamia miradi ya ujenzi kama Site Engineers, Civil Technicians na Quantity Surveyors. Wahandisi waliosajiliwa na board...
 10. P

  Demokrasia inakanyagwa, umma kimya

  Jamii iliyosrarabika yenye kuheshimu demokrasia, mifumo imara inayobeba ya uwajibikaji, heshima ya utu dhidi ya udhalilishaji na uadilifu haishuki kama mvua ya MUNGU inajengwa na SISI na kamwe si WATAWALA. Watawala wanapaswa kuheshimu matakwa ya WATU! ANGALIA kule ambako vyama vya UPUNZANI...
 11. P

  Kujenga interlocking paving blocks au concrete slabs kwenye yard na kuweka mitaro

  Ukiwa mmiliki wa kiwanda, godowns, petrol station garage au una yard yako na unataka kuiweka katika mazingira nadhifu kwa kujenga paving blocks -vitofali imara vya kuhimili uzito mkubwa au zege imara yenye uwezo wa kubeba uzito mku na mkubwa life span zaidi ya 20 years bila ujenzi mpya. Hii ni...
 12. P

  Sales team kwa ajili ya mauzo ya efd machines

  Wanahitajika vijana wa kuelimisha matumizi ya EFD kwa wafanyabiashara wenye TIN number pamoja na kuwahamasisha kununua mashine hizo kama ambavyo imeelekezwa na Serikali kupitia TRA. Kwa kuwa zoezi la kuwaunganisha wafanyabiashara na mfumo huu ni endelevu na tayari Serikali imekwishaanza...
 13. P

  Sales team kwa ajili ya mauzo ya EFD machines

  Tunahitaji vijana wenye uwezo wa kuhamasisha matumizi ya mashine za kodi kwa wafanyabiashara, EFD pamoja na kuwaunagnisha na ofisi ili waweze kulipia, kufundishwa na kuanza kutumia mashine hizo kama walivyoelekezwa na Serikali kupitia TRA. Strictly, only for serious applicants. Tuma CV na...
 14. P

  Kazi kwa vijana wenye kujituma

  Sales executives wanahitajika kwa ajili ya kutafuta wateja wa vifaa vya kielectroniki. Malipo ni kwa commission inayoanzia shilingi elfu 40 hadi elfu 50 ka kila kifaa/ mashine itakayopata mteja.Utapewa muongozo wa utekelezaji wa majukumu utakayopangiwa na utapewa training ya kutosha.Sifa Vijana...
 15. P

  Waziri wa fedha: Serikali haitarudi nyuma matumizi ya mashine za EFD

  TUJIULIZE, Hivi kweli mfumo wa kulipishana kodi kwa kukadiriwa kwa kutumia busara na utaalamu wa mkadiriaji wa TRA uko sahihi au umepitwa na wakati?. Nadhani umepitwa na wakati na kuchochea kushamiri kwa vitendo vya rushwa. Hivi endapo mfanyabiashara ananunua kwa gharama yake na anarejeshewa...
 16. P

  Jf members mlioko mjengoni tunaomba yanayojiri huko tafadhali, tv hazionyeshi!

  Nadhani uwepo wa JF members katika Bunge maalum la katiba kunawapa jukumu la lutujulisha kila kinachoendelea sisi tulioko nje, vinginevyo kuanzishwa kwa sub forum hii ya KATIBA MPYA kutakuwa kumepoteza maana. Ninatamani hata sisi tulionje mawazo YETU yasikilizwe kupitia jukwaa hili kwa kupitia...
 17. P

  Construction Project Managers

  We are Professional Engineers Registered by the Board of Engineers of Tanzania. You might need a close supervision of your construction works and the fund available for the works. Working with us will make you achieve your goal. We also works with Contractors for site supervision works...
 18. P

  Construction Project Managers Available

  We are Professional Engineers Registered by the Board of Engineers of Tanzania. You might need a close supervision of your construction works and the fund available for the works. Working with us will make you achieve your goal. We also works with Contractors for site supervision works...
 19. P

  Mafundi ujenzi wanahitajika wenye kiwango cha Trade Test Grade III

  Kampuni ya ujenzi inahitaji mafundi 2 wa ujenzi kwa ajili ya shughuli za ujenzi, uzoefu ni miaka mitatu. Tuma CV na nakala ya cheti chako kwa e mail: toptechcontractors@gmail.com kabla ya tarehe 17/1/2014.
 20. P

  Kazi malipo kwa kamisheni- electronic tax register (etr) kwa wafanyabiashara wenye tin

  Leo tarehe 15/05/2013 TRA wamezindua rasmi matumizi ya mashine (ETR-Electronic Tax Register) kwa ajili ya kutoa risiti kwa wafanyabiashara wauzapo bidhaa. Wafanyabiashara ambao malipo yao yanaanzia shilingi elfu 40 kwa siku ( wastani) au milioni 14 kwa mwaka wenye TIN- Tax Identification...
Top Bottom