Search results

 1. Nyunyu

  Audit kubwa Migodini

  Wanabodi, Kuna audit kubwa na ya kukata na shoka migodini, nashangaa habari haijaletwa humu Anybody...
 2. Nyunyu

  First Lady- 2016

  Wana UKAWA nakosema kuwaleteeni First Lady- 2016. Mawasiliano yake ya twitter ni @FLUROT cc: cacico, Preta, Madame B Ngongo Molemo na wengineo. Mje mumuone FL huyooooo.
 3. Nyunyu

  Security details

  I admire his detail..... Looks professional.
 4. Nyunyu

  Hivi Kweli Tunakijua Kiswahili?

  Wana bodi, Nimekutana na hii kule FB, kuna Kundi moja linaitwa "TANURU LA FIKRA" Kwa kweli kwa maoni yangu hili kundi linapaswa kuwa "TANURU LA VILAZA" Maana ukipita katika mawazo ya wana kundi utgundua shida kubwa sana! Huna nawaza ina maana yale tuyaonayo kama matatizo ya Elimu nchini ndo...
 5. Nyunyu

  Uelewa wa Celebrities Tanzania unatia mashaka

  Kate Samwel likes Wema Sepetu. Yesterday at 5:00pm · Wema Sepetu Actor/Director · 159,862 Likes Ndugu wana bodi, Picha hapo juu nimecopy kama ilivyo kule facebook na kuileta kwenye jukwaa hili niulize, kuna shida gani katika uelewa wa Celebrities hapa bongo? Yaani ukurasa wa Mrembo Wema...
 6. Nyunyu

  The President Elect...

  OOooops kumbe bado uchaguzi eeh!! Haya bana...
 7. Nyunyu

  2006- power sector master plan

  Wakuu, Katika kitu ambacho bado sielewi ni kuwa hivi kweli serikali yetu inao utashi wa kumaliza tatizo SUGU la umeme? Wakati tunakumbwa na power rationing 2006, kama nakumbuka vizuri serikali ilitengeneza master plan inayoonyesha mipango ya muda mrefu na mfupi kukabiliana na tatizo la upungufu...
 8. Nyunyu

  SUGU v/s RUGE & Clouds Team

  Wakuu, Hivi ina maana SUGU na Ruge wa biff kubwa kiasi hiki!!! Nimesikia album ya SUGU inayoitwa "anti-virus" na inayopatikana on-line bure ni balaa!! Maana SUGU anatukana live na kuelelza jinsi RUGE & Clouds team wanavyowanyonya wasanii kwa kuwatumia kwa kisingizio cha promo!!! Hii sasa...
 9. Nyunyu

  Elections 2010 Matokeo ya uchaguzi Tanga

  Source Channel Ten through Msimamizi Wakuu Mkinga haya CUF- Mbege 11,252 CCM- Kitandula 19,667 Udiwani CUF- 7 kata CCM- 14 kata Uraisi CHADEMA- 1,083 CUF- 1,480 CCM- 22,803 Muheza Kata zote 33 wamechukua CCM Handema Kata 23 zimekwenda CCM ubunge na uraisi Pangani Pamba CCM - Kura 9,342...
 10. Nyunyu

  Elections 2010 JK- Tumeweza na kuvuka lengo (Ajira 1,300,000)

  Wakuu, Jana katika mkutano wake na waandishi wa habari JK kwa mdomo wake alinishangaza pale alipotoa mfano wa ajira walizo leta katika kipindi cha miaka mitano ni "uanzishwaji wa Groceries mitaani apapo wafuna visoda wamepata kazi" Hivi kweli huu ndiyo ubora wa JK & CCM towards ajira...
 11. Nyunyu

  My 1,000 post!!

  This is my 1,000 post!!! I thanks you all for support.
 12. Nyunyu

  Elections 2010 Prezidaa mwenye watendaji "HOVYO"

  Haki ya nani mimi siwezi chagua Prezident mzembe namna hii. teh tehe tehe...........!!!!!!!!
 13. Nyunyu

  Marando Kuhamia CHADEMA

  Wakuu, Toka nilivyosikia kuwa mwanasiasa na mwanasheria mkongwe nchini Mabere Marando kahamia CHADEMA, nimekuwa katika upembuzi yakinifu kutokana na historia yan nyuma ya mheshimiwa huyu. Mabere Marando; kama wote tufahamuvyo aliwahi kuajiriwa serikalini kule kwa wale wanaojiita "Usalama wa...
 14. Nyunyu

  Tafsiri ya Matokeo ya Kura ya maoni ZNZ

  Ndugu zangu wana JF, Kwa makini nimekuwa na tafakari ya matokeo ya (Kura ya amoni) referendum Zanzibar na kupata maswali mengi yasiyo kuwa na majibu. Kwa matokeo haya; naamini yataleta mgongano wa uendeshaji wa nchi, ikizingatiwa Serikali ya CCM imekuwa ikisistiza kuwa ZNZ si nchi bali sehemu...
 15. Nyunyu

  Hodi Hodi humu!!

  Wakuuu, Heshima mbele, nawasalimu wote, na nafurahi kuwa hapa. Asante,
Top Bottom