Search results

 1. Anyisile Obheli

  Hili dude nimelikuta chooni sijui kazi yake

  Hilo storage ya maji. Na hiyo kamba unaivuta baada ya kumaliza kushusha mizigo yako hivyo kuruhusu maji toka katika hilo box na Ku flash habari yako uloitua hapo
 2. Anyisile Obheli

  Watu wanapotea, wanakufa lakini wanasiasa na Viongozi wa dini kwao siyo agenda

  Ni wakati wa kujitafakari Sana sisi kama Jamii haya tunayoyaona kwa VIONGOZI, Polisi, au taasisi mbali mbali, ni uthibitisho kwamba Jamii yetu iko na walakini kwa sababu wote wametokana na familia zetu ambazo huko ndani haziko ok kabisa, familia zikiharibika huzaa waumini wa hovyo katika nyumba...
 3. Anyisile Obheli

  Mzigo wa Korosho kutoka Tanzania wakutwa na mawe nchini Vietnam

  Bahati mbaya sisi ni Taifa la hovyo hovyo
 4. Anyisile Obheli

  Ndugai ujeuri wake umemwangamiza mwenyewe!!

  Tunajisahau Sana aisee 🤔
 5. Anyisile Obheli

  S9 ziko sokoni kama zilivyo!

  Shukrani ndugu
 6. Anyisile Obheli

  Ndugai ujeuri wake umemwangamiza mwenyewe!!

  Anakula mavuno ya kiburi chake
 7. Anyisile Obheli

  Ndugai ujeuri wake umemwangamiza mwenyewe!!

  Inawezekana japo Sina hakika na hilo anyway sidharau mawazo yako
 8. Anyisile Obheli

  S9 ziko sokoni kama zilivyo!

  Duu mkuu jitahidi 36k
 9. Anyisile Obheli

  S9 ziko sokoni kama zilivyo!

  Shekilango Dar Whatsapp +971563912898
 10. Anyisile Obheli

  S9 ziko sokoni kama zilivyo!

  Simu ni clean Used na fresh kabisa bila aina yeyote ya matatizo Bei 380 maongezi yapo wahi mapema ziko 3 tu kama zilivyo!
 11. Anyisile Obheli

  Ndugai ujeuri wake umemwangamiza mwenyewe!!

  Ukumbile Ikina ikitali uje kwingila juughwe Mzee Ndugai, tukubhakana loli 😅 Wakati Mwingine ukiishi kwa uaminifu mwingi mitandaoni hukosi la kujifunza. Hivyo hata vyeo vyenu mngetathimini kwa kuangalia Jamii inayowazunguka inawatazamaje?? Hata Mama Samia H Suluhu Hana budi kuongeza jicho la...
 12. Anyisile Obheli

  Hodi tena waungwana

  Salamu salamuni, Imani yangu sote tu wazima kwa neema na Rehema zake Mola wetu Mlezi.
 13. Anyisile Obheli

  Natafuta wimbo wa Ally Star - Natanga na njia

  Ndugu hivi uliupata huu wimbo maana mie pia tangu meanza kuisaka sijafanikiwa
 14. Anyisile Obheli

  Mwanamuziki wa Nigeria ahukumiwa kifo kwa kumkufuru Mtume Mohammad

  Ni miungu tu Inayoweza kutetewa na Wanadamu lakini kamwe Mungu Muumbaji akatetewa na alivyoviumba
 15. Anyisile Obheli

  Kumbukeni ni KIGOGO sio MGOGO

  Umesomeka vizuri Mkuu big up sana.
 16. Anyisile Obheli

  UFAFANUZI: Usalama wa Taarifa binafsi za Watumiaji wa JamiiForums

  Asante Kwa ufafanuzi huu murua. Hakika umekuja wakati mwafaka ili kuondoa wasiwasi mwa Watumiaji wa JF na usalama.
 17. Anyisile Obheli

  Tanzia: Simwaba wa Meta Sekondari Mbeya afariki dunia

  Sina kumbukumbu kama Meta ishawahi kuwa Shule ya Serikali labda umechanganya na Meta Hospitali
 18. Anyisile Obheli

  Mbeya-Mkoa unaolima kahawa lakini hawanywi kahawa

  Mkuu labda huna uelewa Sana na Mambo ya Kilimo Mbeya. Chai na Kahawa ni moja ya mazao mama Mkoani Mbeya katika Wilaya za Rungwe na Mbozi
Top Bottom