Search results

 1. Kang

  The best way you can Explain crypto to a Tanzanian in Advantage to his Financial welfare.

  Crypo haisaidii chochote, 99% ya use cases ni completely useless au scams za aina tofauti, a solution in search of a problem.
 2. Kang

  Flash yangu TOSHIBA 16GB inatatizo hili.. Msaada nifanyeje???

  Flash na hard drive zinaweza kufa muda wowote kwa sababu mbalimbali hivyo ni muhimu kuwa na backup ya data yoyote muhimu, online backup kama GDrive au dropbox ni bure kwa kiasi kidogo cha mafile na haiwezi "kufa" kama physical device, movie hazina haja ya backup unaweza kudownload upya. Recovery...
 3. Kang

  Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

  Kutengeneza software na kufundisha ni vitu viwili tofauti, developers wengi wazuri hawawezi kufundisha chochote. Mosh ni mwalimu mzuri sana ila kuna resources nyingi ambazo ni bure kabisa siku hizi kama odin project na freecodecamp zinatosha kabisa kukutoa zero hadi jr developer hasa katika web...
 4. Kang

  Nawezaje ku-remove Google Deceptive Site ahead

  Kama wewe ni mmiliki wa hiyo site maana yake ina malware au virusi, mara nyingi ni kutokana na watu kuhack site hasa za wordpress na kupachika malware. So wewe kama mmiliki inabidi urudishe site yako kwenye hali nzuri kisha uwataarifu Google hiyo warning itatoka baada ya siku kadhaa. Nenda...
 5. Kang

  Google imeanza kuajiri ofisi yao mpya ya Nairobi

  Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata! Google to set up first Africa product development centre in Nairobi Build for Everyone - Google Careers
 6. Kang

  Hivi hakuna njia nyingine ya kupunguza Vitambi/Mafuta mwilini?

  Anamaanisha Plank, aina ya zoezi, ila zoezi hili haliwezi kuondoa kitambi, hauwezi kupunguza mafuta kwa kufanya spot reduction kama niliivyoeleza hii ni myth. Sio zoezi baya kujenga misuli ya core kwa ujumla ila pia ni advanced kidogo.
 7. Kang

  Hivi hakuna njia nyingine ya kupunguza Vitambi/Mafuta mwilini?

  Kwanza elewa kwamba mafuta yanahifadhiwa wapi mwilini kwako ni Genetics ndo maana wengine wanavimba vitambi wengine mapaja wengine mikono etc. Pili idea ya "spot reduction" ni myth yaani ni uwongo ambao wengi wanaamini, hauwezi kupunguza mafuta ya tumbo kwa kufanya situps, hauwezi kupunguza...
 8. Kang

  Watalamu wa mobile App

  Labda technicaly inawezekana lakini hautengenezi App tena unatengeneza project nyingi tofauti, App, Voice gateway, USSD etc kwa project ya shule hii haileti maana ni too complex hasa kama ni kwa mtu mmoja, walimu wanakuingiza pabaya hapo. Tafuta project ambayo ni kitu kimoja.
 9. Kang

  Msaada kuhusu policy mpya ya WhatsApp, kuna tatizo lolote?

  Policy mpya inaipa Facebook (Kampuni inayomiliki WhatsApp) ruhusa kuchukua baadhi ya data zako za WhatsApp na kuzitumia katika makampuni zake mengine mfano Facebook.com n apia kuzitumia katika bishara yake ya marketing kukulenga na matangazo mtandaoni. Message za WhatsApp zipo end to end...
 10. Kang

  SD card decrypt

  Ulipofanya reset pia ulifuta encryption key ambayo inahifadhiwa kwenye memory ya simu na sio kwenye SD card hivyo haiwezekani kuzirudisha file kutoka SD card. Unapofanya encryption ni muhimu kuhakikisha una backup ya files sehemu nyingine maana simu ikifa na SD card nayo haitaweza kufunguka.
 11. Kang

  Kifaa chochote kitachoweza kutunza chaji ya laptop kwa masaa 24

  Kuna UPS zianweza kufanya hilo APC wana UPS + 4*Battery pack itaendesha laptop kwa kama 26 hours ila bei ni zaid ya $2000. Unaweza calculate mahitaji yako hapa APC UPS Selector/Calculator - Find the Correct Battery Backup
 12. Kang

  Je programmers huwa wanakumbuka lugha (programming languages) zote ambazo wamejifunza ?

  Flutter sio lugha ni framework, lugha inayotumika ni Dart. Pamoja na kwamba imekuwa na umaarufu hivi karibuni ni wacheche sana wanaotumia Flutter professionally so kama unatafuta kazi au kufanya kazi na watu ni ngumu kutumia Flutter.
 13. Kang

  IT, ICT, CS students wanaokimbia chuo ili kuwa mabillgates hapa Tanzania hawawi hivyo hata kwa mtaa tu, kwanini?

  Bill Gates alizaliwa kwenye familia ya mamilionaire msijifananishe.
 14. Kang

  Naomba kujua teknolojia ya Encyption imekaaje?

  Hawasomi chochote mikwara tu, WhatsApp tatizo ni wale unaoongea nao wanaenda kukuchoma kwa vile namba yako iko public kwenye magroup ya WhatsApp, WhatsApp ina privacy ndogo sana kwa sababu inategemea namba yako na SMS, SMS na mitandao ya simu sio secure by design.
 15. Kang

  Je, unajua kuwa Gemu kibao zinatolewa bure kipindi hiki?

  Unamaanisha WARZONE? Hiyo ni bure tangu mwanzo au free to play kama Fortnite.
 16. Kang

  Je, unajua kuwa Gemu kibao zinatolewa bure kipindi hiki?

  MODS mnakera na kubadili title za post kusema ukweli, kunatakiwa kuwe na notice angalau kuwa mmebadili.
 17. Kang

  Je, unajua kuwa Gemu kibao zinatolewa bure kipindi hiki?

  Kwa wasiojua hili, kampuni kubwa za PC gemu zinekuwa zilitoa gemu zao kwa bure kipindi hiki, but sio zote. Kwa sasa GTA V ni bure kutoka kwa Epic. Nimeshapata Just Cause 4, Assassins Creed na zengine. So install launchers za epic, steam na cheki cheki gaming twitter or site utaona kila siku...
 18. Kang

  Naomba msaada wa namna ya kuwasha Jva Scipt

  Site nyingi hazina support kwa ajili ya opera mini, tumia browser nyingine kama chrome au firefox
 19. Kang

  Nimerudi tena wakuu na hili tatizo la programming

  Umeistall vipi codeblocks? Umetumia installation file ipi?
Top Bottom