Search results

 1. MUSSA ALLAN

  Kwanini watanzania hasa wa Dar es Salaam, mnasapoti mashoga?

  Wakuu salaam! Leo ndio mara yangu ya kwanza kupost katika jukwa hili pendwa. Sipendi sana kuanzisha thread huku ila leo sina namna, kuna jambo lilinikwaza mchana, nikaona sio vyema ninyamaze tu. Kwa maslahi ya TANZANIA ya sasa na ile ijayo sina budi kuweka wazi suala hili. Huwa sina mazoea...
 2. MUSSA ALLAN

  Dr. Slaa, Kwanini umeitelekeza familia ya Daudi Mwangosi?

  Wana Jamvi, Amani Iwe nanyi! Kama mtakumbuka mwaka 2012 baada ya Mwandishi wa habari aliyekuwa anaripotia CHANNEL TEN ndugu Daudi Mwangosi kuuawa kwa kupigwa Bomu na Polisi huko Iringa. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Ndugu W. Slaa, aliitembelea familia ya marehemu na kuahidi...
 3. MUSSA ALLAN

  Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

  Kipindi cha kampeni za Ubunge Arusha, ndio kinafikia ukingoni, toka uliposhinda ubunge Arumeru hukuwahi kukanyaga Arusha Mjini! Sasa hivi hutembei na gari lililo na bendera wala rangi yeyote ya CHADEMA, Unaingia mjini Privately na kuondoka Privately! Kila mtu anashangaa! Je? Huyu ndio yule...
 4. MUSSA ALLAN

  Hakuna mbadala wa Lema Arusha Mjini, Wana-Arusha wameamua tena

  Siasa za ushindani nazo zina mambo yake! Nilichokishuhudia kwenye mikutano michache ya kampeni za Ubunge za LEMA nilizohudhuria ni kuwa wana-Arusha, bado wana Imani kubwa sana kwa LEMA! LEMA bado ataendelea kuwa Mbunge wa Arusha kwa vipindi kadhaa vifuatavyo! Wana Arusha wanakiri kwa vinywa...
 5. MUSSA ALLAN

  Wimbo - Wema wa BWANA na Fadhili zake zanitosha- By Mt.Obadia Alex.

  Wema wa BWANA na fadhili zake zinanitosha, Kukaa nyumbani mwake MUNGU wangu, siku zote za Maisha yangu! Siangalii wanadamu, Namuangalia MUNGU wangu peke yake! Aweza kunitoa kwenye shida, na mateso yote ninayopitia! ..Uwezo wa MUNGU na fadhili zake zanitosha, ..Upendo wa MUNGU na fadhili zake...
 6. MUSSA ALLAN

  Kuhusu: Mzee Mabere Marando!

  Wadau, Amani iwe nanyi! Nafahamu kabisa kuwa kazi ya ukombozi sio ndogo! Falsafa ya Mh.F.Mbowe inasema kuwa mpaka kufikia ukombozi, kuna watakaokufa, watakaojeruhiwa na kupata vilema vya muda na kudumu, watakaosaliti kambi bila kuwasahau wale watakaojisalimisha kwa CCM. Katika...
 7. MUSSA ALLAN

  Tukubaliane, CCM wala MAGUFULI hawawezi kutuletea MAENDELEO! Ni ulaghai tu!!

  KIKWETE: alikuja na Kauli Mbiu za MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, lakini kila mtu wa Tanzania ni shahidi jinsi maisha yalivyo magumu. Awamu ya miaka 10 ya utawala wa KIKWETE! UMEME hakuna, MAJI hakuna, Sekta ya AFYA, bado haijaimarika, mpaka leo watu wanakufa kwa magonjwa yanayozuilika kama...
 8. MUSSA ALLAN

  CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

  Wanajamvi! Amani idumu Tanzania! Hizi ni habari zenye uhakika 100% nilizozipata kutoka ndani ya CHADEMA na zikathibitishwa na mmoja wa viongozi wakuu hapa mkoani. CHADEMA kupitia mwenyekiti wao wameongea na Mbunge wa Arusha mjini Bw Godbless J Lema na kumuomba asigombee tena ubunge wa jimbo...
 9. MUSSA ALLAN

  Mbowe: Uchaguzi huu hatutaibiwa kura!

  Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kimejipanga kuhakikisha katika uchaguzi Mkuu hawaibiwi kura. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wakati akizindua mafunzo ya Kikosi cha Ulinzi na Usalama cha chama hicho (Red Brigade), kwa vijana 200 wa...
 10. MUSSA ALLAN

  Ndesamburo: UKAWA acheni kulalamikia jeshi la Polisi!

  MBUNGE wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Philemon Ndesamburo amewataka viongozi wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuacha kulilalamikia Jeshi la Polisi kutokana na kazi zao wanazozifanya ikiwa ni kulinda amani na usalama wa nchi. Ndesamburo...
 11. MUSSA ALLAN

  Lema achinja mbuzi 25 nyumbani kwake kwa ajili ya sikukuu ya krismas!

  Wadau! Salaam za Krismas. Leo nilikuwa mmoja wa waalikwa kwenye sherehe iliyoandaliwa na Mbunge wa Arusha mjini Ndg. Godbless J Lema nyumbani kwake Njiro, Corona Arusha. Sherehe ilifana sana, waalikwa wengi walionekana kuwa na nyuso za furaha, Nyama, bia, Konyagi vilikuwa vya kutosha! Vijana...
 12. MUSSA ALLAN

  Sumaye: Vijana kuleni pesa za mafisadi ila kura wanyimeni

  Wandugu! Nimemsikia Waziri Mkuu wa Awamu ya tatu, Mh.Fredrick T Sumaye kupitia ITV habari akikemea Rushwa kwenye uchaguzi. Anafanya vyema sana. Ila alipoendelea kuongea niligundua kuna kasoro kubwa kwenye kauli zake. Mheshimiwa Sumaye aliwashauri wananchi wakipewa rushwa wapokee, ila kwenye...
 13. MUSSA ALLAN

  Magari ya polisi Arusha

  Huwa najiuliza. Hivi ni kwanini hizi Landrover defender mali ya Jeshi la polisi hapa Arusha zimewekwa sticker zenye nembo za kampuni mbalimbali za watu binafsi?. Mfano unaweza kukuta defender ina sticker ya kampuni za utalii kama LEOPARD TOURS, SUNNY SAFARIS etc.Pia unaweza kukuta nyingine...
 14. MUSSA ALLAN

  Tujikumbushe ahadi za kamanda Lema: Fedha za gari nitawakopesha wananchi!.

  Kama moja ya ahadi zake kwa wapiga kura wa Arusha: MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA) amesema fedha alizokopeshwa na serikali kwa ajili ya kununulia gari atazitumia kuanzisha taasisi ya kukopesha wanawake ili kuwawezesha kuinuka kiuchumi. Alisema ataanzisha taasisi hiyo...
 15. MUSSA ALLAN

  Lema, ambulance mbili zilizotolewa msaada kwa ajili ya wana arusha ziko wapi?

  Mbunge wa Arusha Mjini Bwana Godbless J Lema, ameushangaza umma wa wana Arusha kwa kitendo chake cha kuuza Magari mawili aina ya BENZ VAN, maalum kwa ajili ya kubebea wagonjwa wanaohitaji msaada wa haraka yaliyotolewa kama msaada kwa ajili ya hospitali za Arusha. Taarifa zaidi zinasema...
 16. MUSSA ALLAN

  UKAWA ndani ya jiji la Arusha

  Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya landcruiser nyeupe. Anaonekana mdhoofu wa mwili. Huku akijaribu kuwapungia wananchi ambao hawakuwa na...
 17. MUSSA ALLAN

  Mrema aiombea heri ndoa ya Chadema, CUF, NCCR

  MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP ) MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP ) ametaja ushirikiano wa vyama vitatu vinavyounda kambi rasmi ya upinzani bungeni kwamba ni ndoa ambayo kama wahusika wangekuwa na nia njema, ungeanza siku nyingi tangu Chadema kilipounda baraza lake mwaka 2010...
 18. MUSSA ALLAN

  Dr.Slaa Acha Unafiki!

  Wakati Rais Jakaya Kikwete anaanzisha mchakato wa kupata Katiba mpya, wewe Mzee na wenzio wapinga maendeleo ndio mlikuwa wa Kwanza kupinga uteuzi wa JAJI WARIOBA kama mwenyekiti wa tume hiyo. Na mliweka kila aina ya vikwazo ili kukwamisha mchakato huu, huku mkisema Katiba mpya ni SERA YENU...
 19. MUSSA ALLAN

  Litizamwe upya tatizo la ajira kwa vijana - R.I.P Justin Kalikawe!

  JUSTIN KALIKAWE, Aliwahi kusema hivi: Litizamwe upya tatizo la ajira kwa ajira kwa vijana, Kwani sasa limekuwa la muda mrefu na sasa limezua kasheshe kwenye jamii yetu, Kasheshe yenyewe ni Wamachinga, kuhangaika mitaani, kupambana na vyombo na vyombo vya dola. Laiti pembejeo za kilimo...
 20. MUSSA ALLAN

  CHADEMA haiweki mgombea JIMBO la KIEMBESAMAKI?

  Ndugu wanajamvi! Kutokana na kuachishwa uanachama Ndugu Mansoor Yussuf Himid aliyekuwa muwakilishi wa jimbo la KIEMBESAMAKI, JIMBO hilo li wazi kwa sasa. na CCM tayari wameshamteua ndugu Mahmood Thabit Kombo kuwa mgombea ubunge jimbo la kiembesamaki. Vipi watani wetu wa jadi bado hawajateua mtu...
Top Bottom