Search results

 1. Xuma

  Mimi na familia yangu tunalihama kanisa Katoliki rasmi pia nakusudia kumuandikia papa barua kulishtaki Kanisa Katoliki Tanzania

  Hili Kanisa (Katoliki) nafikiri wana namna zao zakudeal na ishue zinazowapa mushkeli iwe kikanisa au kijamii. Hawawezi kufanya kitu kwa vile tu watu wanataka kifanyike hivo nafikiri something is cooking in there tusubiri tuone. Mie nasubiri tu WARAKA WA UCHAGUZI 2020.
 2. Xuma

  Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

  Letters from a Stoic "Trusting everyone is as much a fault as trusting no one (though I must call the first the worthier and the second the safe behaviour)"
 3. Xuma

  Benki ya Dunia: Vikwazo 12 vya kufanya biashara Tanzania

  ukiangalia vigezo vinavyotumika kuzigrade nchi sio deal sana kuwa namba za chini.
 4. Xuma

  Sasa mtaamini waafrika si Binadamu kamili. Burning and Looting

  Wanakosea Shoprite ni ya Botswana sio South Africa.
 5. Xuma

  Sababu za Watanzania wengi kufurahia kukamatwa kwa ndege ya ATCL nchini Afrika Kusini

  Waliidondosha fastjet toka mawinguni mpaka ardhini sasa sijui wao wanadondoka wapi!
 6. Xuma

  Sababu za Watanzania wengi kufurahia kukamatwa kwa ndege ya ATCL nchini Afrika Kusini

  Aisee mi sifurahii kwani niko huku Afrika Kusini nilikuja na hii ndege na nilikata tiketi ya return siku za kukaa huku zimeisha bado ka siku 6 tu na nauli ya kurudi huko sina. Nyie mlio nyumbani mwambieni mzee alipe deni tu.
 7. Xuma

  Nimeamini Rais Magufuli anakubalika sana huku mtaani, mitandaoni ni kelele za wachache

  Matokeo ya kupiga marufu vyama vya upinzani kufanya siasa. Jamaa alicheza aisee kama Pele.
 8. Xuma

  Watuhumiwa wa biashara kongwe zaidi duniani waanikwa

  Hamna hata jina moja la kihaya na hizo sura hamna kabisa.
 9. Xuma

  Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

  Neno la Wiki- Sifongo 24 Machi 2017 Wiki hii tunaangazia neno “Sifongo” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania. Bwana Sigalla anasema kwamba msamiati huu unafahamika kutokana na kuandikwa sana katika vitabu takatifu...
 10. Xuma

  Mchungaji afichua jinsi watumishi feki wanavyopata nguvu ya kutenda miujiza na utajiri

  Inatisha sana hii. Iwe funzo kwa wanaotegemea aina hii ya Wachungaji. Ila pia isije kuwa script ya Movie za Kinigeria.
 11. Xuma

  Rais Magufuli azindua ghala na mitambo ya gas ya LPG ya Taifa Gas Tanzania Ltd

  Alafu Rostam ndo M/kiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taifa Gasi!!!!:confused::confused::confused:😤
 12. Xuma

  Nisamehe Baba yangu, watoto wengi wanaamini Mama hajawahi kukosea

  Kabisa awe makini alitafakari hili kwa kina asije jutia hapo baadae. Ninakumbuka majirani zangu sehemu flani tofauti na baba wao walimchukia mama yao eti alisababisha kifo cha baba yao kwa sababu mama yao alikuwa na mwanaume mwingine (kumbe haikuwa kweli na mzee wao alikufa kwa ajali tu). Jamaa...
 13. Xuma

  Wanakagera ebu tuzungumzie kidogo kuhusu hifadhi ya Taifa BULIGI ambayo kwa uelewa wangu ninajua kuwa ipo wilaya ya biharamulo

  Ùū Hapa kitu ni kuwa BURIGI sio BULIGI kieneo iko katka wilaya ya Biharamulo na toka enzi za wakoloni makao makuu na ofisi za hifadhi ziko Biharamulo mjini. Sasa huoni tatizo kuhamisha something existing kama hicho? Na ukweli haileti mantic Burigi kuwa Chato.
 14. Xuma

  Halima Mdee afanyiwa upasuaji na kutolewa uvimbe tumboni, alazwa Agha Khan

  Kweli kabisa nina shemeji yangu ana watoto 3, ila nae kafanyiwa hiyo operesheni ya kutoa uvimbe kwenye tumbo la uzazi.
 15. Xuma

  Halima Mdee afanyiwa upasuaji na kutolewa uvimbe tumboni, alazwa Agha Khan

  Hivi huko Ulaya si kuna makampeni mengi ya hao wazungu kuzaa make wanapungua kwa kasi ya ajabu. Alafu ukute hawa ndo wahamasishaji wakuu.
 16. Xuma

  Kipi kinafanya wasomali wagombane?

  Tatizo kule kwao wanabaguana KIKOO/KIKABILA. Machafuko yao ni kutokubaliana ukoo gani ushike hatamu za uongozi. Kilaa ukoo unataka kuwa juu.
 17. Xuma

  Tafakuri ya FaizaFoxy: CCM imetegwa ikategeka?

  Hapo umeambiwa changanya na za kwako sasa.
Top Bottom