Search results

 1. msnajo

  Mawakili wanena kuhusu Mfanyakazi wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kupinga tozo

  Ni wapi raisi ametukanwa sasa?! Nchi hii ina shida kubwa sana ya kufikiria!!!
 2. msnajo

  Halima Mdee: Serikali iache kukimbilia kukopa inadumaza akili

  Mbee Mdee anaongea nani atamsikiliza sasa?! Ndugai aliuliza akaishia kuondolewa kwenye uspika, itakua sembese mbunge wa covid 19?! Huna Chama, huna muwakilishi, sasa nani atakusikiliza? Bora akae tu kimya, watu wamsahau.
 3. msnajo

  The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

  Hao unaowaona waongo ndo ma-genius wa kuandika habari duniani mkuu! Wewe habari zako hufiki hata robo ya Kabendera, ndo maana uliona vema kumchongea. Habari za hao New York Times zinasomwa dunia nzima. Wewe zinasomwa Jf, tena watu hata hawamalizi kusoma maana hazina mashiko, umekuwa bias na...
 4. msnajo

  Hii itakuwa awamu ngumu ya kidiplomasia

  Marafiki zetu wakubwa ni Rwanda na Burundi mkuu! So tuchape kazi
 5. msnajo

  Uchaguzi 2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

  Hujui madhara yake wewe dogo! Pale bungeni kuna kamati tatu zilikuwepo na zilikua na msaada kutoka kwa mabeberu takriban Trillion 2 kwa mwaka! Kamati zile zilitokana na uwepo wa upinzani, leo zimefutika na kwa maana hiyo Trillion 2 imeyeyuka! Usifurahie kila kitu, vingine jaribu ku-digest tu...
 6. msnajo

  Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

  Atajulia wapi sasa?? Hao tulivyoathirika....!!!
 7. msnajo

  Uchaguzi 2020 Askofu Bagonza: Ujumbe kwa vyombo vya Ulinzi

  Mkuu utakua una tatizo! Mbona umejibu bila kusoma kilichoandikwa, au mbona umejibu tofauti na mada????!
 8. msnajo

  Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

  Changia mada acha mahaba, hizo ni tabia za kimalaya!! We ndo mzima wakati huelewi hata unachoandika??
 9. msnajo

  Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

  Mkuu ungetakiwa uandike kuhusu mada iliyopo hewani..! Sasa hicho ulichoandika umechangia nini kwenye mada??! Acha mahaba
 10. msnajo

  Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

  Ni watanzania wachache sana wanaomwelewa John! Ni mwongo, hakuna dunia hii aisee! Kinachonishangaza mimi, kwa nini watz wanadanganyika namna hii? Mbona ccm wanatuchukulia kuwa ni wajinga kiasi hicho??
 11. msnajo

  Nampenda lakini hana shape wala kalio, nifanyaje?

  Huyo jamaa ni kinda, wala haelewi anachotaka kabisa. Soma majibu yake vizuri mkuu
 12. msnajo

  Nampenda lakini hana shape wala kalio, nifanyaje?

  Hahahahaaa! Mkuu asante sana
 13. msnajo

  Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

  Mungu akusamehe sana na ikiwezekana akurehemu! wenzio wanatafuta ndoa hadi kwa waganga wa kienyeji, ila hamna kitu. Kwangu mimi wewe ndo una matatizo wala sio yeye! Kama uliuona hana harufu nzuri, ulikubali akuoe ili nini, kwa nini umpotezee muda na gharama za kukuandaa kuwa mke, leo baada ya...
 14. msnajo

  Oktoba 28 ni mashindano kati ya Ukweli na Ubatili. Wanaojielewa, kujitambua na kutaka maendeleo ya kweli, watachagua ukweli. Wewe upo kundi gani?

  Mkuu Paskal salaam sana !!! Andiko lako umeahidi kuwa unaongea reality! Ila hadi mwisho nimeona unafiki na uzandiki (hypocrisy ). Mkuu uwe na aibu, na unapoandika jaribu kuwafikiria 60 millions ya watanzania! Usiandike kama unaandikia ukoo wako! Kwa Mtu mwelewa, Paskal hakuna unachokitafuta...
 15. msnajo

  Uchaguzi 2020 Gwajima, dharau hizi hutafika popote

  Uzuri ni kwamba Kawe hamna Waikiki wa Gwajiboy! Waumini wake wanatoka nje ya Kawe!! Watu wa Kawe sio mafala Kama anavyofikiri
Top Bottom