Search results

 1. M

  SoC 2021 Mauaji yanayohusisha wivu wa kimapenzi yanaongezeka Tanzania. Sababu, madhara na suluhisho kupunguza na kutokomeza

  Hapa kuna kitu hakiko sawa.............Ustawi wa Jamii..kila mwaka wanatoa wahitimu wa ngazi mbalimbali katika fani hii je hawa wanaisaidiaje jamii maana; 1. Rate ya divorce inaendelea kuongezeka kwa kasi (hata wanaojitajidi kuipunguza ni kina Dr. Chriss Mauki na wengineo - ambao wao wanaifanya...
 2. M

  Is She The Worst President Ever(Tz)?

  .........And that too leaves a very slim chance for a female to be elected as the so called Makamu wa Rais............ Sad
 3. M

  Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

  Amkeni amkeni wameanza tena. Maonyesho ya Saba ya Utafiti na Ubunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yameanza jana 20th April, 2022 kwa ngazi ya Vitengo (Colleges, Institutes, Directorates, Schools na Library). Yanatarejiwa kumalizika kesho Tarehe 24 April, 2022. Tujongee tukajifunze na kujionea
 4. M

  Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

  Hii ya kubadili majina inafikirisha........................ Hayati Dr. Pombe nilitamani sana asingekufa angekuwa hai hata kwenye wheelchair ili ashuhudie alivyoheshimiwa kwa uwoga unzi za kuketi kwake.
 5. M

  Mitaji kwa wahitimu chuo kikuu

  Mtaji unamanisha mtaji wa biashara au wa kuanzia maisha? Maana najiuliza anayegraduate masomo ya Diplomatic and Military History au Political Science au Philosophy and Ethics huo mtaji atajiajiri katika nini ilhali elimu ya ujasiriamali hana??
 6. M

  Askofu Mwamakula: Polepole ametahadharisha tusipokuwa makini, Serikali inaweza 'kutekwa nyara' na kubaki kama 'mwanasesere'

  Na nyie mnaomlaumu sasa hivi nyamazeni bwana tuendelee kufaudu (kufaidi) vita ya kunguru......... hahahaha tamthilia inaendelea kuwa tamu sana hii............. Tutafutieni mwingine mropokaji ambaye akipokonywa tonge ataongeza safu ya Team Slowslow
 7. M

  Kunguru kunidonyoa kichwani

  Mkuu nimecheka sana ila NIMEKUKUBALI. Mtoa thread...............Ndoto zote zote unazosoma PLEASE piga goti omba majibu kwa MUNGU (Kama unaamini yupo) yeye ndio atakupa majibu sahihi ya ndoto yako.
 8. M

  Kusoma Masters na PhD UDSM ni kutafuta ugonjwa wa moyo

  No Mkuu.......Soma kwa Malengo....... Usisome kwa kukariri au kwa sababu flani amesoma............Kama moja inakutosha INATOSHA. Usimbeze mwenzako kwa kutokusoma MA.
 9. M

  Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor

  This should make everyone think............ What is the essence of having Universities teaching leadership?........... Does it mean we do not have any young upcoming, ambitious and committed students or graduates who are anticipating to be future leaders?? why sticking to the ones who already...
 10. M

  Kusoma Masters na PhD UDSM ni kutafuta ugonjwa wa moyo

  Mkuu huyu hajui kuwa wakati wowote ni wakati wa chai Boss?............. Alikosea kumjaji kwa urahibu wake wa chai bana......... lazima hapa tumempoteza one of the greatest thinker (perhaps a prospect scientist/sociologist/psychologist au policy, political analyst)..... - Yaani yeye angeweza kuwa...
 11. M

  Kusoma Masters na PhD UDSM ni kutafuta ugonjwa wa moyo

  Mh ni Chuo gani hiki? Maana kama ulisoma kwa Coursework ni wazi kuwa ili Proposal yako iwe tayari kupresentiwa katika ngazi mbalimbali ni lazima comments za Supervisor wako zihusike...........Ila kama ni kwa Thesis pia proposal hupitia hatua ambazo comments za supervisor wako zinabeba uzito na...
 12. M

  Rais Samia afunga mjadala wa machinga; ataka wapangwe vyema bila uonevu

  Hivi nchi za wenzetu hawanaga wamachinga? Kwa mliobahatika kutoka nje ya nchi hii naomba mnisaidie mie mwenzenu au nao bado wanakimbizana nao kama huku?
 13. M

  Medard Kalemani kazi nzuri aliyoifanya nishati anaondolewa ili Makamba aingie kumalizia kiulaini na sifa ziwe zake kuelekea Urais 2030

  Kama inakuja inatoka lakini naona kuna ukweli kwa mbali......... Hivi Mh. Ridhi hajafuzu kugombea 2030 au tusubirie kupokezana kijiti 2040?
 14. M

  Mbona kama Sirro anai-provoke familia ya Hamza?

  Ajabu walipokuwa wanampokea kama Mwanakada wao hawakuliona kosa la familia (Wazazi). Amekosea akiri tu amekosea pengine lilimtoka bahati mbaya kutokana na uchungu wa wale polisi wengine but hakuwa right kwa alichokisema.
 15. M

  Mbona kama Sirro anai-provoke familia ya Hamza?

  Tabia ya mtu ni ya kwake binafsi kwa nini walaumiwe wazazi waliomleta duniani? Unless amefanya research ya kina kuona kama malezi yake yameinfluence tabia aliyoionyesha. Wazazi wengi huumizwa sana pale wanapoona watoto wao wanakengeuka. Tuwege na akiba ya maneno..ana watoto na pengine wajukuu.
 16. M

  TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

  Warumi? Dah RIP Mkuu. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
 17. M

  Nabii Suguye: Kuna viongozi watatu Wanamhujumu Rais Samia na kama viongozi hao wasipotubu Watakufa!

  I see............. najaribu kuunganisha kiunganisho cha utabiri na waumini waliotajwa kuwa wanaabudu katika Kanisa la Nabii huyo.
 18. M

  #COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

  Mh huyu mama mh Kazi tunayo. Mwanamke anafikia hatua ya kutangaza umahiri/urijali wa mumewe hadharani............... Maadili yetu yako wapi? Why hakumuacha/mshawishi mumewe amsemee katika hili?.......... kwani ni lazima kutumia nguvu kubwa namna hii kuhamasisha chanjo?............... !
 19. M

  #COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

  Tanzania hatujafikia kiwango hicho cha demokrasia na hata uelewa wa siasa katika jamii bado sana tusijeshangaa mume wa Gwajima (Dr) akimnunia mkewe (Kama sio kumtaliki), wakwe zake Dr. kama wapo wataacha laana za kufa mtu kwa kumfunga kaka/mtoto wao............ (Kama akifungwa) ........ Kopo...
 20. M

  TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

  Kifo hakizoeleki awe mzee au mtoto kifo hakizoeleki. Ulale pema Mh. Mramba. Mwendo umeumaliza.
Top Bottom