Search results

 1. Ndechumia

  mama mkwe

  Mama mkwe anataka Kuja kwangu kwa ajili ya likizo ya uzazi , najisikia Vibaya maana Nimepanga nyumba vyumba 2 tu..nitawezaje kumtosa kistaarabu isilete hisia mbaya. Ushauri wenu tafadhali.
 2. Ndechumia

  Sio mjamzito hedhi imekata

  Wadau, wataalam Nini chanzo za kutokupata hedhi ili hali mtu sio mjamzito? aliwahi kuambiwa ana hormonal imbalance akatumia dawa hedhi zikarudi na kukata yapata kama miez 5 hivi. dada ana miaka 27, hajawahi kuzaa na hajawahi kutoa mimba ( kwa maelezo yake) Je bila mtu kupata hedhi anaweza...
 3. Ndechumia

  Msaada, Tafadhal Naombeni list ya vyuo vya kilimo hapa tanzania vinavyotoa diploma

  Wakuu Mimi nimemaliza chuo kwa ngazi ya cheti (certificate in general agriculture). Nataka kujiunga na chuo kwa ajili ya diploma mwaka huu 2014/15, ila sijui vyuo vinavyotoa hiyo elimu. Naombeni mwenye kujua chuo cha kilimo ama mifugo ambacho naweza enda kujiendeleza nitashukuru. Naomben na...
 4. Ndechumia

  msaada wa gharama ahlisi ya hii gari

  Wana bodi heshima yenu, najua hapa ndo kwenyewe, ni kama vile kwenda TRA, bandarin nk kupata taarifa za kina. Nataka niagize gar used toka Jap, nimejaribu kuangalia angalia nikapenda gar (RAV 4) hii yenye sifa zifuatazo. Ref No BF128876 Location YOKOHAMA Mileage 105,910 Model Code...
 5. Ndechumia

  Interview chuo IFM

  Wakuu eti zile nafasi za ajira chuo cha IFM zilizotangazwa na tume ya ajira mwez may mwaka huu wameutwa kwenye intview wk ijayo tar 30? Nimepata taarifa kutoka katika chanzo ambacho sio cha kuaminika kivile, kama kuna ukweli naomba kujulishwa waungwana.
 6. Ndechumia

  Natafuta mtu anaeuza LCD au Plasma TV

  Wakuu natafuta mtu mwenye Plasma au LCD TV ichi kuanzia 32-48. napendelea iwe either Sony, samsung, sinsung, panasonic, LG. (sina utaalam sana na hiki HD) kiwepo, wataalam naamin watanielimisha. Najua zipo madukani ila bajet yangu haitoshi kwenda huko. karibuni tufanye biashara.
 7. Ndechumia

  jf imenitoa, shukrani

  Wadau nashukuru sana jf imenitoa, nimepata kazi kupitia mojawapo ya tangazo nililoliona humu, nikaitupia sasa nimelamba ajira, sio kazi rahisi coz nimetupia apllication 83 online, 31 za kupitia hardcopy (posta). kati ya hizo application zipatazo 114 nimeitwa intv 5 tu, 1-online, 4 nilituma...
 8. Ndechumia

  natafuta nyumba ya kupanga Tengeru au USA river Arusha

  Wadau, nimepata kibarua huko Arusha nahitaji msaada wenu niweze kupata makazi ya kuishi, manake kuishi hotelini gharama zitanishinda. Nahitaji nyumba yenye Chuma 1 cha kulala(master) sebule, store, jiko bajeti nimeshindwa coz sijui bei za nyumba huko geneva ya afrika, nitashukuru kama nitapata...
 9. Ndechumia

  kama kiongozi ukistaaf ndo hivi bora ujiari

  Wajaamen kweli magamba hawana shukuran au wanamagamba wanapopewa dhamana huwa wanajisahau wakidhani wataendelea kula jasho la wenzao milele. weekendi hii nimekutana na aliekuwa mheshimiwa STEVEN MASHISHANGA dah! utamwonea huruma, anakula tope kama hana akili nzuri akiwa kavaa yeboyebo bila...
 10. Ndechumia

  msaada: kidato cha tano wanaanza masomo lini?

  Wa jf, mtot wa sister amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule za serikali, (TANGA SEC) hajapata barua ya mwaliko/maelezo( Instruction letter). Kuna mwenye kujua hizi shule zinaanza masomo lini? Natanguliza shukran, Ndechumia!!!!!
 11. Ndechumia

  Hili kwenye mahusiano linakupa picha gani?

  Heshima zenu wana MMU, Mi kuna jambo huwa linanipa shida sana, Hivi inapotokea unampigia simu mpenzi/mchumba/mume/mke au mtu yeyote ambae unamuheshimu ghafla katikati ya mazungumzo yenu unashangaa anakuwa anaongea na watu wengine wakati bado upo online, alaf anarud kuendelea na mazungumzo yenu...
 12. Ndechumia

  msaada tafadhali simu samsung SGH T 929

  Wataalam naomba msaada kama hii kitu inawezekana au la. Nina samsung T 929 Nilikuwa nahitaji kusikiliza redio za hapa bongo(free) ila nahisi software haipo, kama kuna jinsi yeyote ya kuweza kufanya niwe napata radio stations nitashukuru wataalamu wangu. nawakilisha wadau
 13. Ndechumia

  T-Mobile Icon zimegoma.

  Wadau, Bro wangu kanipa sim yake aina ya T-Mobile baada ya kuona kuwa imemzingua. Simu ni tachi skreeni. Icon zote za upanda wa kushoto hazi respondi, yy anadai kuwa aliiweka karibia na Tv yake kwa hiyo imeharibiwa na magnet, sasa wadau nataka niipatie ufumbuzi ili niachane na haka ka Tekno cha...
 14. Ndechumia

  Nelson-Mandela AIST Arusha.

  Wadau salam zenyu bana!!!!!!!! Hivi jaman zile nafas za kazi kibao ambazo zilitangazwa na Hiki chuo arusha watu washaanza mzigo nini? naombeni mwenye kujua anijuze nawakilisha
 15. Ndechumia

  mshahara /kipato kwenye ndoa.

  Wajamen kuna kisa kimemtokea rafiki yangu nikabaki naduwaa!!! Kuna mdada tunafahamiana nae anafanya kazi katika Taasisi fulan hapa nchini, ameolewa na ndoa yao ina kama miaka 7 hivi. Mimi kwa mtazamo wangu watu wanapokuwa kwenye ndoa wanakuwa wanawekana wazi vipato vyao ili kuweza kupanga...
 16. Ndechumia

  Tumefahamiana chini ya miezi 2,Nikajitambulishe!!!!!!

  Wadau heshima zenu, Kuna dada tumefahamiana kama miezi miwil hivi, tumekuwa tukichati na kubadilishana mawazo. Mi mwanzon nikawa namvutia kasi, ila yy ndo akaanza kuniita mpenzi nikajua basi huyu kashanasa, Mi sikuona sababu ya kumkatalia coz hata mm kimoyomoyo nilikuwa nimevutiwa nae. Wakati...
 17. Ndechumia

  Mshahara wa skeli PUSS 13

  Heshima zenu Jf na wapenzi wa jukwaa letu la kujitafitia ajira. Kuna kazi nimeona imetangazwa yenye ngazi ya mshahara PUSS 13-14 sasa wadau naombeni mnijuze hiyo ni kama shs ngapi za TZ. hiii itanisaidia kunipa mzuka wa kuomba. natanguliza shukrani zangu
 18. Ndechumia

  Shukrani MMU zoezi limezaa matunda

  wana jf, juz nilikuwa jmos naliomba ushauri kuhusu ku-divert zawad kutoka kwa msichana ambae nilikuwa na mpango wa kuwa na mahusiano nae kwenda kwa kifaa kipya ambacho nimekipata hv karibuni. Wana jf weng waliniunga mkono wakiniambia kuwa hiyo zawad ambayo ni gaun km bado lipo ktk hali nzur...
 19. Ndechumia

  je kuna ubaya ku divert zawad ya mpenz wa zaman kupeleka makao mapya?

  habar zenyu bana, wandugu kuna she flan nilimzimikia km miez 8 hv iliyopita, nikiwa ktk harakat za kumwonyesha namjal baada ya kutoka nae out km mara 3 hv, nilisafir kwenda mkoan nilipozaliwa wakat wa pasaka. Wakat wa kurud ktk eneo langu la tukio nikamwambia huyo mpenz wangu mtarajiwa nimletee...
 20. Ndechumia

  Uncle anamtaka kimapenzi

  habar zunyu baana. Dunia imefikia kubaya! Kuna dada mmoja rafk yangu huwa tunaongea mambo mbali2. Jana kaniita akiomba ushaur akiwa hajui la kufanya. Dada ni mdogo ndo amemaliza f4 mwaka huu, mjomba wake ana km 45 yrs, na amekuwa akimtaka huyo dada tangia akiwa f1, kila akirudi likizo anakuwa...
Top Bottom