Search results

 1. Shayu

  Bila itikadi Imara CCM haing'oki

  Kwanini tunataka kuiondosha CCM ? Hili ni swali ambalo napenda kujiuliza na pengine wananchi Wengine makini wangependa kueleweshwa hadi kuelewa pasipo kuweka propaganda zisizo na maana, Ili watu makini waweze kujitolea maisha yao kwa ajili ya jambo fulani ambalo lenye maslahi kwa taifa...
 2. Shayu

  Tutakuwa tunakosea kama tutampeleka mtu Ikulu kisa ni mwanamke au mwanaume

  Kwa akili zetu tunatengeneza baadae ya taifa hili, ili ndio jambo la msingi tunalopaswa kulitambua, Baadae ya taifa hili itategemea mwelekeo wa fikra zetu. kila wakati lazima tutambue tutavuna tunachopanda. Mawazo yetu na fikra zetu ni mbegu. Na mwelekeo wa fikra zetu ndio utakaoamua destiny...
 3. Shayu

  We must always let this truth sink deep in our consciousness

  We must always remember this truth, we must always let this truth sink deep in our consciousness; We will build our nation according to our own thinking, it depend on standard of our thoughts. Nothing more nothing less. Either we are fool or wise, intelligent or not. We will build our country...
 4. Shayu

  Kama vile uwepo wa hospitali unaonyesha uwepo wa magonjwa, uwepo wa polisi ni ishara ya ukosefu wa amani na utulivu

  Kama vile uwepo wa hospitali unaonyesha uwepo wa magonjwa, uwepo wa polisi ni ishara ya ukosefu wa amani na utulivu, Wingi wa polisi katika nchi ni ishara ya amani ndogo zaidi, level za ukosefu wa amani zinatofautiana, Wenye amani hawahitaji polisi na mahakama. Amani tuliyonayo inayolindwa kwa...
 5. Shayu

  Ukosefu wa upendo chanzo ukosefu wa amani na si ukosefu wa haki

  Hakuna amani pasipo upendo. Upendo ni mama wa amani kama watu wanataka amani, wajifunze kupenda. Upendo haudhuru unalinda. Ukosefu wa upendo husababisha vurugu na fujo duniani. Upendo huheshimu wengine. Ni ukosefu wa upendo sio haki ndio hupoteza amani. Kwahiyo dunia lazima ifikirie mara mbili...
 6. Shayu

  Dhana ya umaskini

  Kiasili hakuna kitu kinachoitwa umaskini. Haukuwepo dunia ilipoumbwa. Umaskini ni zao la akili za binadamu. Ni zao la gunduzi za binadamu. Kwenye asili hakuna umaskini. Ni sawa sawa na kusema kwamba kuna pundamilia maskini, simba maskini au kondoo maskini. Lakini kwakuwa binadamu anafikiri...
 7. Shayu

  Tunahitaji viongozi wenye maono

  Swali jingine muhimu ambalo linaweza kuwa mwongozo ni kujua kwanini tunaelimisha watu wetu, Kama lile swali la mwanzo nililouliza kwanini sisi ni taifa? Ni swali la kimsingi katika kutengeneza agenda ya nchi. Kwanini sisi ni taifa? tuko pamoja kwa malengo gani? We must define ourselves to...
 8. Shayu

  Why we are a Nation?

  This is the soul searching question Why we are a nation? And we come together for what purpose? And do we fulfil that purpose? Or we become a nation accidentally and we need to search for our purpose? Is our purpose is to eliminate poverty? Ikiondoka je uwepo wetu umeondoka?
 9. Shayu

  Kiongozi vs Mtawala

  Tofauti kati ya mtawala na kiongozi iko katika malengo yao ya kutafuta, kuchukua na kuyatumia madaraka. Hiki ndio kiini cha uongozi na utawala. Kila kitu tunachokiona katika dunia kiwe kizuri au kibaya, kimetokana na malengo na dhamira. Kwahiyo kuna dhamira mbaya na nzuri. Inategemea...
 10. Shayu

  Hakuna taifa litakalo kua imara pasipo stable moral foundation

  Haijalishi ukubwa wa harusi uliyofanya, kitu cha muhimu ni unachokwenda kukijenga baada ya harusi, baada ya watu wote kuondoka na kuwaacha peke yenu mwende nyumbani, mkaanzishe maisha yenu. hiko ndicho cha muhimu na ndicho kinachotakiwa kupewa umakini mkubwa. Sio kwako tu hata kwa taifa. Kwakuwa...
 11. Shayu

  Umaskini hakuwepo umeletwa na binadamu wenyewe.

  Kiasili hakuna kitu kinachoitwa umaskini. Haukuwepo dunia ilipoumbwa. Umaskini ni zao la akili za binadamu. Ni zao la gunduzi za binadamu. Kwenye asili hakuna umaskini. Ni sawa sawa na kusema kwamba kuna pundamilia maskini, simba maskini au kondoo maskini. Lakini kwakuwa binadamu anafikiri...
 12. Shayu

  Nothing is impossible for those who believe

  Kinachototuua Afrika ni uvivu WA FIKRA sio Uvivu wa mwili. Tatizo letu lipo hapa. Ni wepesi sana wa kuongea kuliko kufikiri . Tunachukulia kila kitu kirahisi rahisi na mara nyingi hatuna maono ya mbali. Tunaona hapa karibu sana. We live only for bread! Kila wakati tumekuwa watu wa kupokea...
 13. Shayu

  Bila Umoja hakuna uhuru, hakuna maendeleo

  Tokea enzi za utumwa mpaka sasa bado tuna changamoto nyingi sana tunakabiliana nazo kama taifa na kama watu weusi. Sababu ambazo zilitupelekea sisi kutaliwa nyingi bado tunazo., tunaishi na kuzilea. Jitihada tunazo zifanya sio za kiwango kikubwa cha kuondokana na shida hizo na changamoto hizo...
 14. Shayu

  Chaguzi tunazofanya

  Mwenye busara hutumia hekima kwanza kabla ya nguvu. Faida ya kutumia hekima kabla ya nguvu uwapa ufahamu wale wanaotakiwa nguvu itumike kwao ili wajielewe. Na kujielewa ni jambo ambalo taifa lolote linahitaji kwa watu wake. Kuongoza ni kufanya watu wako wajielewe huwezi kuongoza watu...
 15. Shayu

  Lakini je ubaya unatoka wapi? Kwa shetani?

  Uwepo wa polisi, mahakama, jeshi na majela, ni ushahidi kwamba ubaya upo. Lakini je ubaya unatoka wapi? Kwa shetani? Ukweli ni kwamba ubaya tumeutengeneza wenyewe na tunauwezo wa kuuondoa. Au tunadhani hii ni life style na sio problem? Do you think tumeumbiwa ubaya? Unadhani ni sahihi kila...
 16. Shayu

  Fikra

  Hata mbwa anaweza kufundishwa na kufanya baadhi ya mambo, binadamu anapaswa kuwa juu ya kufundishwa. ANAWAJIBIKA kwa kutumia akili yake mwenyewe kuzalisha maarifa sio kupokea tu maarifa. Anayepokea tu maarifa pasipo kuzalisha maarifa bado ni mfungwa. Ana ufungwa ule ule ambao anao mbwa...
 17. Shayu

  Taifa hujengwa kwanza katika mahusiano ya watu. Na mahusiano hayo yanapobomoka ndio mwanzo wa vita, vurugu na fujo

  Wakati mwingine tunafikiri hasi kuhusu sisi wenyewe. Hii ni hatari sana kwetu. Tukifikiri hasi kuhusu sisi wenyewe tunazuia ukuaji wetu na tunajidumaza. Pengine tunapaswa kukaa na kujitafakari kwa kina tunajichukuliaje na ni kweli hivyo tunavyojichukulia ndivyo tulivyo? au mawazo yetu...
 18. Shayu

  Kuendelea kwa taifa lolote ni kujitegemea kwake, huwezi kujitawala kama hujitegemei

  Maendeleo yote ya binadamu yametokana na gunduzi alizofanya, kwahiyo tunapozungumzia maendeleo ya binadamu hatuwezi kuepuka kuongelea gunduzi alizofanya na ukuaji wa kiakili wa jamii husika. Huu ugunduzi na uzalishaji mali ndio ulikuwa chimbuko la maendeleo na biashara katika jamii nyingi...
 19. Shayu

  Kuhusu ukweli

  Wale wanaopenda ukweli hawaangalii nani kauongea, ana umaarufu kiasi gani, ana cheo kiasi gani au ana kiasi gani katika akaunti yake benki. Ukweli ni ukweli hata ukiongewa na mtu mwenye viraka kwenye nguo zake una baki kuwa ukweli. Ingawaje watu wanadharau maneno yatokayo kinywani mwa mtu asiye...
 20. Shayu

  Kiu Ya uzalendo/ kitabu kipo sokoni

  Karibuni wadau kwa hiki kinachoitwa kiu ya uzalendo chenye mchanganyiko wa mada mbalimbali za kisiasa na kijamii. Ili tupate kuelimishana.
Top Bottom