Search results

 1. Makindi N

  Kunani MORUWASA

  MORUWASA ndio wenye jukumu la kusambaza maji safi katika Manispaa ya Morogoro kwa kutumia vyanzo mbali mbali vya maji vinavyopatikana. Takribani wiki mbili na zaidi sasa maji tunayosambaziwa wakazi wa Kihonda (ninakoishi - sijui maeneo mengine ya Morogoro - japo wengi kutoka maeneo mengine...
 2. Makindi N

  Je, Apple inaweza zidi thamani ya Tanzania japo we're rich in natural resources?

  Apple Is Now Worth A Staggering $500 Billion Apple (AAPL) crossed an amazing milestone in after-market trading yesterday, when its market capitalization exceeded $500 billion for the first time. To put this in perspective, the tech juggernaut is now more valuable than the gross domestic...
 3. Makindi N

  Wanahistoria mtujuze ktk uvumbuzi huu........

  Closest Human Ancestor May Rewrite Steps in Our Evolution - Yahoo! News
 4. Makindi N

  Tanzania ni full Mitumba...........

  Unakuta mtu ni full mitumba, "kawoshi - mtumba, shati, suruali, bukta ya ndani, chupi, soksi, saa, viatu, shoe lace, miwani, cheni, kofia, leso... ni mitumba. Nywele kanyoa kwa mashine ya mtumba. Kalalia shuka ya mitumba, kitanda - mtumba, carpet chumbani mtumba, mto, foronya mitumba. Vitabu -...
 5. Makindi N

  Mimba za siku hizi

  Jumapili, katika pitia magazeti... kuna mtu aliandika habari hii ya kufikirika kidogo kuhusiana na mimba za hawa akina dada/wanawake/wasichana hususani walio wengi... Kiufupi ni kwamba, zamani mwanamke akiwa mjamzito utasikia kila mara au katika siku lazima utasikia "nataka ndimu, udongo...
 6. Makindi N

  JK in USA

  While Kikwete was in USA (on a state visit), he saw a building with no power. He asked Obama, "I thought there's no power problem in the US"?. Obama replied, "It's the Tanzanian Embassy".
 7. Makindi N

  Strokes are rising fast among young, middle-aged

  Strokes are rising fast among young, middle-aged Strokes are rising dramatically among young and middle-aged Americans while dropping in older people, a sign that the obesity epidemic may be starting to shift the age burden of the disease. The numbers, reported Wednesday at an American...
 8. Makindi N

  Kwanini PILIPILI hazioshwi sehemu za maakuli?

  Naombeni kuuliza, sijui ni mm tu ninae-experience hiyo kitu au uzee macho hayaoni....... Ukienda mgahawani, hotel (za uswazi na hadhi kidogo, sijui za hadhi za juu maana sijawahi enda huko), restaurant, cafeteria, bar, kwenye mishkaki viosks - kifupi sehemu za maakuli, PILIPILI kwanini hawaoshi...
 9. Makindi N

  Hivi salaam za mwaka mpya za Kikwete zililenga nini?

  Petrol/Diesel bei juu, umeme (18%) increase - bili ilivyopanda kana kwamba unakiwanda cha kufufua umeme hapo kwako, kodi nyumba juu (nimepandishiwa), mchele kilo kana kwamba unanunua jaruba, school fees nazo kana kwamba unanunua shule, soda nazo mia mia zimeongezeka. Yaani kifupi kwa njia moja...
 10. Makindi N

  Ufisadi wa ugawaji viwanja halmashauri ya Arusha - Burka Estate

  Jamani Burka Estate, lililokua shamba la Kahawa, limegawiwa. Sitaki kuhoji kama maamuzi ya kuligawa hilo shamba na kuwa ni makazi ni sahihi. Bali Halmashauri ya Mji wa Arusha, lilitangaza watu waombe ili wapewe viwanja. Form zilitolewa na Manispaa kwa TShs. 10,000/=. Zaidi ya watu elfu 30...
Top Bottom