Search results

 1. M

  Haya wale Wayukrein wa Buza njoo kuna jambo huku!!

  Kwa maneno sawa, kwa vitendo big no!
 2. M

  Haya wale Wayukrein wa Buza njoo kuna jambo huku!!

  Nan wa kumwogopa Russia kwa ile performance? Russia Putin alisema atakayeingilia Vita will be playing with fire...mpaka sasa mbona tumeona uingiliwaji wa wazi wazi na hamna kilichofanyika?
 3. M

  Haya wale Wayukrein wa Buza njoo kuna jambo huku!!

  Hayo maeneo ya pro Russian hajayakomboa ila I am sure Russia will not manage them!
 4. M

  Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Mwakani Elon Musk ataharibu biashara ya Internet kwa mitandao ya simu

  Ukraine kwa sasa wanatumia hii huduma ila ni ghali kuliko bundle la kawaida
 5. M

  Anaelawiti watoto adhabu iwe kuhasiwa, viboko 180 na abandikwe mhuri wa moto kwenye paji la uso

  1.Kuhasiwa 2. Chata usoni 3. Kupigwa marufuku kusafiri nje ya wilaya aliyozaliwa 4. Forced relocation Haya yaambatane naye
 6. M

  Dokezo Vibaka na mateja wanatapeli watu karibu kabisa na kituo kikuu cha Polisi Central Arusha hii ni aibu sana

  Kuna vinjia vya watembea kwa nguu, chocho kutokea shule ya msingi, hii njia inaamba amba na bonde la huo msitu, ni shortcut muhimu sana
 7. M

  Bado tunapigwa mikataba ya Barrick

  Dhamira ya lile jizi la 1.5 tril ilikuwa kupewa 10% Huwezi kumdai myu milioni akupe buku uridhike...fungilia mbali mgodi ila bcs maguu was so corrupt sitaki sema zaidi
 8. M

  Dokezo Vibaka na mateja wanatapeli watu karibu kabisa na kituo kikuu cha Polisi Central Arusha hii ni aibu sana

  Pana utata sana lile eneo Kwan ni mlangoni mwa kituo kikuucha polisi jambo ambalo linawachanganya wengi
 9. M

  Dokezo Vibaka na mateja wanatapeli watu karibu kabisa na kituo kikuu cha Polisi Central Arusha hii ni aibu sana

  Kipong imechafua sana like eneo hasa ukipita njia ya msituni a lot of plastics zinatiririka kwenda bondeni. Wake vijana hada yule mrefu wanaokamata watu waondolewe pale.Wale ni wezi kwanin wanakamata watu wanaingia nao chocho za msituni? Kweli wadada watakuwa salama kwenye mikono ya wale jamaa...
 10. M

  Wakati tunafurahia kichekesho cha TRAB na TRAT tukumbuke trilioni 360 ni pesa nyingi sana

  Kweli unamdai mtu milioni 1,000,000 anakulipa 1,900 yaani 0.19% unakubali...magufoool lilikuwa kichaa lenye boardguards
 11. M

  Kwa AIBU hii ya TRAB na TRAT ya Mwigulu, yafuatayo yanawezekana kutokea

  Presidency is loading to this man... Namwona akila kiapo cha urais so suala la muda tu
 12. M

  Wakati tunafurahia kichekesho cha TRAB na TRAT tukumbuke trilioni 360 ni pesa nyingi sana

  Hivi unajua ukubwa wa hizi tuhuma? Unajua huko Tax revenue appeal board (TRAB) na Tax revenue appeal tribunal (TRAT) kuna wataalum wangapi ambao walitumika kushusha 360 tril to 700 bil? Haiwezekan 10% ilihusika kwani rais alisema ana uhakika na vyombo vya vyake
 13. M

  Wakati tunafurahia kichekesho cha TRAB na TRAT tukumbuke trilioni 360 ni pesa nyingi sana

  Yule mwizi mkuu aliyepiga 1.5 trillion! Tutaachaje kuamini alivuta 10% katika hii makenikia? Ndio maana East & southern Africa hatotokea corrupt leader Kama mwendazake
 14. M

  Nimefurahi kuona maandamano nchini Iran

  Kw nin umlazimishie mtu dini? Mwache mtu akutane na mkono wa MUNGU mwenyewe atajijua
 15. M

  Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi awaasa wanaoenda ukrane wasiogope kufa.

  Shida nchi za kidikteta hata wachungaji watamwimbia pambio dikteta, Umesahau maskai, pengo, upako wa mzee, kuhan mussa walivyokuwa wakimsifu kidketa uchwara?
 16. M

  Picha: Msafara wa Warusi wanaotoroka usaili jeshini

  Nachouliza Askari wa Russia anaulika au kukamatika vitani? Tunaambiwa duniani usicheze na Askari wa urussi.... Waende tu jeshin Ukraine hamna jeshi ni virembo tu vitawakumbatia
 17. M

  Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

  Ndio maana Prof Mruma no jitu la ajabu
 18. M

  Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

  Mwendazake anajua alivyokokotoa hiyo hesabu
 19. M

  Polisi yaua watatu kwa risasi Serengeti

  Kwa hiyo majambazi yalikuwa porini yakalengwa hukohuko porini...
Top Bottom