Search results

 1. fullcup

  Nimeitwa usaili tarehe 05, Nina mashaka na yafuatayo.

  Baada ya kuhangaika kwakipindi kirefu hatimae Sasa nimeitwa kwenye usaili DODOMA. Licha ya furaha hiyo Kuna Mambo naombeni msaada wanabodi. 1: Utofauti mdogo wa Majina Kati ya NIDA na vyeti vingine. NIDA jina limepunguzwa herufi yaani Kwa mfano badala ya kuandikwa WENGA limeandikwa WEGA, je...
 2. fullcup

  Nimekosa ajira za ualimu tena

  Ndugu zanguni nimekosa ajira tena! Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi! Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25! Serikali kweli walikaa...
 3. fullcup

  Namba za NIDA zitumike kuajiri walimu na wataalamu wa Afya

  Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani. Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
 4. fullcup

  Ndesambulo yuko wapi?

  Hili jina kwangu sio geni na Leo nimejikuta nalitamka wakati napumzika kwenye mti. Iko Hivi nimetoka shambani kuvuna alizeti Sasa wakati natua mzigo nikavuta pumzi nikawa naitoa taratibu na kusema " Ndesambulo" Sasa naomba wanabodi mnijuze huyu alikuwa au ni nani na yupo wapi anafanya nini...
 5. fullcup

  Anaempima huyu mama amuache amlize kusoma hotuba

  Hapa naangalia maadhimisho ya mei mosi kuna mama wa ATE hapa ni anatetemeka hatari. Jamani kama kuna kamati ipo kazini muachieni jamani mpaka huruma. Kwa tamaduni zakwetu tunaamini kunawatu wanampiga pini na matunguli pahali fulani mapangoni huko naombeni mumuacheeee. Hotuba nzuri ila msomaji...
 6. fullcup

  Wanaojitolea sehemu mbali mbali nchini kama wanataka ajira waache kujitolea

  Ili kufikia malengo yetu yakuishi kwakunufaika na elimu zetu ni lazima tufanye kazi na kulipwa kulingana na taaluma. Bora wakaajiriwa hata wachache lakini wanaolipwa kulingana na taaluma. Leo hata shule na sekta binafsi wanaajiri kwamishahara midogo kisa vijitamaa, tuache ili hata waajiri wapne...
 7. fullcup

  Wanaojitolea mashuleni waache mara moja la sivyo serikali haitaona umuhimu wa kuajiri.

  Serikali kwa miaka mitano mfurulizo haikuajiri na wala haioni umuhimu huo kutokana na matokeo bora mashuleni. Kuna shule zina walimu watatu wakuajiriwa na saba wakujitolea na zinafanya vema matokeo ya mitihani yataifa. Kutokana na ufaulu huo serikali haioni umuhimu wakuajiri wakati wanafikia...
 8. fullcup

  Yaitishwe maandamano ya amani nchi nzima kudai ajira

  Nawasalimu kwajina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kutokana na wimbi la vijana wasio na ajira kushamili nchini tunahitaji kuwa na maandamano ya wanavyuo kuidai ajira. Kundi pekee ambalo ni rahisi kuorganize ni wao tofauti na akina sisi tumetawanyika na kuchanganyikiwa, hivyo kabla nao...
 9. fullcup

  Tuliotoboa Ozone (kukesha) kwa kuangalia series tukutane hapa

  Maendeleo hayana chama...... Mitano tena..... Tunaisoma NAMBA...... Tanzania is green...... Tutaelewana tu acha tuoneshane Makali..... Sasa binafsi niliangalia series ya IRIS season 1 kwa muda mrefu zaidi katika historia yangu ya kuangalia video. Season hiyo nilianza kuangalia saa Tisa...
 10. fullcup

  Jambo la ajabu kuwahi kulifanya nikiwa peke yangu

  Mitano tano tena.. Au mnasemaje wadau.... Ngoja waje... Katika maisha kuna mambo ambayo tumewahi kufanya ambayo huenda ingekua mbele za watu tusingeyafanya. Mimi kuna mambo ambayo nimewahi kuyafanya nikiwa peke angu, baadhi ni kuopoa simu kwenye sink la choo. Hii ilikua mwaka 2013 wakati...
 11. fullcup

  TANZIA Member deo paul55 wa JamiiForums afariki dunia

  Huyu ni moja ya member tuliyekuwa naye humu kwa muda mrefu. Ni moja ya watu walionifanya niijue JF miaka ya 2013 huko ingawa yeye alichelewa kidogo kujiunga. Na kwa Mara ya mwisho kuonekana humu ni 28/11/2020 Anaitwa Deogratius Paul (30) mkazi wa Madibira Mbarali Mbeya, amefariki usiku wa...
 12. fullcup

  Maandamano ya CHADEMA yalishindwa hapa

  Poleni wanachama tajwa kwa yaliyowapata na hongeleni wengine kwa ushindi. Baada ya kushindwa uchaguzi chama tajwa kiliitisha maandamano yasiyo na kikomo. Maandamano hayo yalifeli kwasababu zifuatazo. 1: Makosa katika Uteuzi wa mawakala, CHADEMA waliteua makamanda wao yaani wale wafia chama...
 13. fullcup

  Madai ya wizi wa kura na kisa cha mashetani/majini

  Wanabodi poleni na mihangaiko ya kila siku na hongeleni kwa ushindi wa Bidden. Leo ningependa niwaletee kisa cha mapepo ninachokifananisha na madai ya wizi wa kura. Mwaka 2002 kulikua na mdada ambae alikua na mapepo mtaani tuliyaita mashetani. Kila siku jioni baada ya chakula cha usiku badala...
 14. fullcup

  Ajira za Ualimu zinatoka lini?

  Jamani kama kura zenu nimewapa tena bila kuwachanganyia. Naomba mniajiri sasa maana maombi nilituma tena licha ya kuwa na shahada niliomba kufundisha vidudu yaani shule ya msingi. Naomba msinicheleweshee sana jamani maana nitaenda kujimaliza kisaikolojia maana ninasongwa sana na mawazo...
 15. fullcup

  Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu 2020 ulikua Huru na Haki

  Mimi nilikua msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura. Mambo yafuatayo niliyoyaona katika kituo yanathibitisha hoja yangu. 1: Kufungua kituo Kituo kilifunguliwa SAA moja kamili na msimamizi wa kituo, ufunguzi ukishuhudiwa na mawakala wa CCM na CHADEMA. Mabox yalifunguliwa na kuonekana...
 16. fullcup

  Uchaguzi wa Marekani sio wa Kidemokrasia

  Habari wanabodi, Ifike wakati tusipelekeshwe kama mbweha, wao kila siku Tanzania hivi mara Tanzania vile ilimradi taflani. Mimi nasema uchaguzi wa Marekani sio wa kidemokrasia kabisaaa. Yaani eti kesho 3rd Nov 2020 wanapiga kura wavuja jasho woote na siku nyingine wanapiga mabwanyenye sijui...
 17. fullcup

  Nisubiri ajira za ualimu za Dkt. Magufuli?

  Wanabodi, Hamjambo wote, Kampeni zinaendaje, Muwazima wote? Back to mada, Mimi ni mhanga wa tatizo la ajira za awamu ya tano maana nimehitimu miaka minne iliyopita katika fani ya ualimu masomo ni kiswahili na history. Sasa majuzi kati serikali ilitangaza ajira elf 13 nami nikatuma kujaribu...
 18. fullcup

  Hizi ajira za ualimu zitaongeza hasira tu dhidi ya Serikali

  Wanajamvi habarini na poleni kwa mihangaiko. Nirudi kwenye mada Wiki jana waziri mwenye dhamana ya ajira za tamisemi alitoa tamko juu ya waliosomea ualimu. Nasema ni tamko kwasababu hakuwa coordinated na watumishi wake. Juma tatu siku ya kuanza kutuma maombi wafanyakazi wa ofisi husika ndo...
 19. fullcup

  Wanaume tunahuruma sana

  Watuuu! Mukuje mukuje niwape story yangu NILITONGOZWA, NIKAKUBALI NA KUPEWA CHAKULA Kuna mhubiri mmoja alisema wanawake walipewa moyo mgumu mno yaani anaweza kutongozwa lakini akakataa. Yaani wanawake wanajitahidi sana ingawa wachache mnawala kimasihara. Juzi wakati nipo mafinga nilikutana na...
 20. fullcup

  Maajabu ya mazishi ya Kisukuma

  Habari za muda huu Poleni na pilika za uchaguzi mkuu na mambo mengine yanayifanana nayo. Leo asubuhi nimepigiwa sim kuwa kuna msiba kijijini 50 km toka main road ya Mbeya - Dar. Tumefika na kujumuika katika kuchimba kaburi ili tumpumzishe mpendwa wetu. Kaburi limechimbwa na mazishi...
Top Bottom