Search results


 1. S

  Inahitajika TV card

  inahitajika , TV card. Nitafute kwa 0715098873
 2. S

  Nahitaji simu aina ya HTC disire 320

  Habari Ninahitaji simu, htc disire 320: Bjeti nina laki 1
 3. S

  kununua mkopo! Toka CRDB kwenda NMB

  naomba kuuliza ! CRDB walinikopesha milioni saba! NMB walinikopesha laki saba! CRDB namaliza mwakani mwezi wa nne kulipa mkopo wao. Hivyo wananidai milioni mbili na laki mbili na sitini elfu. NMB wao wananidai laki mbili na thamanini ivi. Sasa nataka NMB wanunue mkopo wangu toka CRDB kisha...
 4. S

  simu yangu Aina ya HTC disire 320

  ndugu , naombeni msaada ! Nina simu yangu aina hiyo tajwa. Inanisumbua. Ukiiwasha inawaka ila haidisplay, inakaa sekunde kama tano inajizima na kurestart .muda mwingine inadisplay na kuitumia ila haizidi sekunda tano inazima na kurestart yenyewe na ikirestart haionyeshi kwenye kioo inaandika tu...
 5. S

  Tatizo la meno

  ndugu nimeng'oa meno mara nne licha ya kufanya dental clinin kila baada ya miezi mitatu lakini bado meno yananisumbua. Yanauma. Sitaki kun'goa tena naombeni mniambie ni dawa gani inatanisaidia kufanya meno yangu yasiume. Iwe dawa ya kisuna au ya kihospitali nitainunua kwa gharama yoyote. Naomba...
 6. S

  Wadau wa kutengeneza simu.

  simu yangu ya htc disire 320 muda mwingine inawaka na kutumia bila shida ila kuna muda inawaka na kurestart. Na ukiizima ukiweka chaji inajiwasha. Nafanyaje? Hili tatizo liishe.
 7. S

  wNahitaji betri ya Simu aina ya HTC DISIRE 320

  kama heading inavyo hitaji. Inahitajika hiyo betri ya HTC Disire 320
 8. S

  Nahitaji Betri ya Simu aina ya HTC

  nahitaji betri ya simu aina ya HTC DISIRE 320
 9. S

  Nahitaji mke

  Sifa Awe mcha mungu Awe amehifadhi Quran yote au hata juzuu moja Akili timamu Asiyependa makuu. Anayejua kulea watoto wamjue Allah Miaka 23;24;25; 0714205255
 10. S

  msaaada Jamani

  nimenunua umeme wa buku tano lakini nikiweka token kwenye mita ,mita inaandika reject au error 6 nisaidieni nifanyeje maana mwenzenu leo huenda nikalala giza.
 11. S

  Napenda Movie series ya maana

  Nambie kama wwe ni mdau movie gani maskini sana nitainjoy kuicheki Sent using Jamii Forums mobile app
 12. S

  Vifaranga vyangu vyaniliza

  naomba msaada jamani vifaranga vyangu vinakunja na kishusha koti baada ya wiki mbili na kufa.Nafanyaje au niwanyanganye mama yao Sent using Jamii Forums mobile app
 13. S

  Nasumbuliwa na meno ni aina gani ya dawa nitumie

  Ni dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
 14. S

  KWA ALAMA HIZI NAWEZA SOMA ACCOUNTANCY CHUO GANI?

  MATH -D COMMERCE- B B/KEEPING --D
 15. S

  Naomba msaada kutoka kwa daktari

  Anasumbuliwa na tumbo baada ya kujalibu kutoa mimba ya mwezi mmoja kwa kutumia dawa ambazo mbili unameza nyingine unaweka chini ya uke karibu na kizazi. Afanyaje?
 16. S

  Msaada wa chuo kinachotoa kozi hii

  Napenda kujua ni Chuo gani wanatoa master ya Enviromental disaster and Management. Nisaidieni
 17. S

  Nimekubali swaga, pamoja wadau

  Napenda up to date issues
 18. S

  Swali: Vibali ya ajira TAMISEMI

  Napenda kuuliza vipi kuhusu vibali Maalumu vya kubadilisha vituo vya kazi toka TAMISEMI, vinatoka kwa batch nini? Maana naona mahimahi ya wale waliomba mwezi wa Tatu, vipi kuhusu wa mwezi wa Tano?