Search results


 1. kyatamato

  Profesor Joseph Haule kumbe aliona mbali ..

  Nimekumbuka baada ya kusiliza nyimbo mbili alizoimbaga zamani kidogo ..Kuna wimbo aliimba unaitwa ..Ndio Mzee.. Na ule sio mzee...nimezikumbuka sana naomba wadau msikilize hizo nyimbo ..nataka niziweke hapa ila nimeshindwa
 2. kyatamato

  Muziki wa Darassa umevunja ndoa

  Rafiki yangu amekaa sana Uganda..na sio mpenzi sana wa kusikiliza Muziki ..sasa karudi bongo..kakuta watu wanacheza Muziki ..kwenye bar ..baada ya kuusikiliza vizuri akamwambia counter auweke repeat..na akaudhamini kwa bia 5.na jamaa hakuongea mengi akabonyeza kitufe cha kurudia Muziki ..mimi...
 3. kyatamato

  Kitambo Shuleni..

  *Kitambo Shuleni* John ana miaka 10 pungufu ya baba yake, mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya John. Tafuta umri wa: 1. John 2. Baba 3. Mama ```Hili swali nilikua naliruka... sio kwamba nilikua siliwezi, ni basi tu sipendi kuingilia mambo ya familia za watu```
 4. kyatamato

  Mashine za kuweka Token/coins

  Nisaidieni hapa kuhusu hizi machine za wachina za kudumbikiza token/coins .. mfano ukidumbukiza coin ya mia mbili unakuta inatoa Tsh. 30,000/- .. ila me nikiweka coin za Tsh. 2,000/- Naweza ambulia sh.. 600 au nikatoka kapa .. je hapo kuna setting ya machine au?? au nifanyeje na Mimi niweze...
 5. kyatamato

  Kuhusu DSTV

  Naomba kujuzwa bei ya kununua kifurushi cha Dstv premium sababu nasikia imepanda kutoka 199,000/-... anaejua anijuze yafadhali
 6. kyatamato

  Nipo Dodoma, hivi vitu nitavipataje?

  Habari, Nataka kufungua biashara ya kuuza saa, cheni, heren, bangili, lakini sijui sehemu ya kununua kwa jumla ili mimi niuze leja leja.. shukran kwa atakaye nisaidia.
 7. kyatamato

  Salama Jabir alipata kigezo gani kuwa Judge?

  Naomba nijue wadau, Hivi huyu Salama Jabir je anajua kuimba? Au walitumia kigezo gani cha kuwa judge kwenye BSS? Hivi anamwanaume huyu, au ana mtoto? Maana amenikata kwenye usahili wa BSS
 8. kyatamato

  Airtel wananitoa stress nikisikiliza hili Tangazo...

  Duh…!! duka limejaa.. hapa nitapata kila kitu, Mangi: - Karibu mdogo wangu nikusaidie nini??.. Mteja.. - hiyo feni shi. ngapi?? Mangi - hiyo pangaboy sh. 55,000/- Mteja - Panga…?!! Mteja - na hiyo body spry Mangi - 6500/- Mteja- unaandika lakini???!! Mangi - si ndo hapa...
 9. kyatamato

  Vifaa wanavyotumia kutengenezea Movie (action)

  wakuu nisaidieni ,, vifaa wanavyotumia kuchezea movies zao hasa Holywood unakuta wanatumia slaa nzito, vifaru, n.k.. je?? hivi vifaa wanapewa na nani??
 10. kyatamato

  Hapa pananishinda

  Nashindwa jinsi ya kuunganisha Enternet kwenye computer kwa kutumia sim naomba msaada wenu
 11. kyatamato

  Nimalizieni ubishi kuhusu mpira wa kurushwa

  Wana sport, nisaidieni kwa hili swala hivi, mpira wa kurushwa , ukirushwa moja kwa moja golini bila kuguswa na mchezaji yeyote na ukatinga nyavuni inakuwa Goli au sio Goli???? make kuna utata Hapa…
 12. kyatamato

  Natumia Tecno R7

  naomba msaada , natumia tecno R7 ila nashindwa jinsi ya kuweka picha (atachiments) nifanyeje ili na mimi niweze kushare picha humu jamvini??
 13. kyatamato

  Natumia kingamuzi cha Azam

  leo kuna fainali ya copa Amerika ..je? ni chanel ipi itarusha mechi live??.. msaada jamani
 14. kyatamato

  Wananchi wa Tanzania Wilaya ya Chamwino Dodoma

  Nimeshangaa hawa wakazi wa wilaya ya chamwino mkoani Dodoma kutokujitokeza katika zoezi la uwandikishaji wa daftari la kudumu ... mpaka sasa inaelekea siku ya nne wamejiandikisha 68 tu. Wengi wao wakigoma wakisema eti zile mashine za BVR ni za kifrimason, na kwa utafiti kati ya 68...
 15. kyatamato

  Haya maneno huwa yananitatiza

  Jamani haya maneno nikisikia mtu anayatamka au kuyasoma sehem yananitatizaga… - Nyani haoni kundule -Zimwi likujualo halikuri likakwisha jamani msaada jamani…
 16. kyatamato

  jinsi ya kubadilisha subtitle kwenye chanel za kingamuzi

  Habari.. naombeni msaada jinsi ya kubadilisha subtitle kwenye chanel mfano kuna chanel inaitwa Mbc 2 hawa wanaweka muvie nzuri ila tatizo subtitle zao zipo kwa rugha ya kiarabu…