Search results


 1. Pendael laizer

  Arusha daladala ngaramtoni za fanyakazi wakati wenzio wagoma!!!!!!!?

  kufuatia mgomo wa Arusha wa daladala! Hiace za ngara zimeonekana mtaani toka asubuhi zikifanya kazi, ingawa asbh kuliripitiwa kuwapo kwa fujo kidogo hadi maaskari walivyosambaa mtaani hali ikawa shwari, kufuatia hali hiyo Coaster za Moshi_Arusha zimelazimika kupakia abiria kwa bei ya 2500 tsh...
 2. Pendael laizer

  Musa Mkanga anaongea kupitia radio moja hapa Arusha

  Musa mkanga ambaye ni mmoja kati ya wale waliofungua kesi kupinga lema kushinda uchaguzi jimbo la Arusha mjini. Jamaa anafafanua jinsi alivyoshinda kesi na furaha aliyonayo kushinda kesi yake.
 3. Pendael laizer

  Mgomo wa madaktari unahusishwa na udini

  Mgomo wa madaktari uliomalizika hapo juma na unaoendeleo hata leo wahusishwa na udini kuwa eti Dr haji mponda anashinikizwa kujiuzulu maana ni muislam na wanasema hawa wanaharakati hawafai maana wanaibua mambo katika sekta ambazo waislam wamezishkilia na wanadai kuwa watakuja hata kumshinikiza...
 4. Pendael laizer

  Mwisho wa CCM umefika

  Kwa hali halisi ya nchi inavyoelekea nafkiri mwisho wa hich chama cha mafsadi (majambazi) umefka hali ni mbaya sana wakati mshua hajawai kutoa maamuzi yeyote