Search results


 1. N

  Je kuna uhusiano wowote kati ya kichefuchefu kwa mwanaume na ujauzito wa mwanamke?

  Habari wakuu husikeni na mada apo juu kwa takriban wiki mbili au tatu zilizopita nimeruka majoka na shemeji yenu she is 19 yrs old mm 23 sasa leo wadau nipo mazingira ya ofisini kwangu nikasema ngoja nikafungue kinywa.Nikaenda kunywa supu ya utumbo ghafla kabla ata sijamaliza kula supu tupu...
 2. N

  Habari wakuu ninahitaji simu kati ya izi samsung galaxy s6edge,6edge+au s7/7edge used.

  Kama tittle ya thread apo juu wakuu naitaji simu used kati ya samsung galaxy s6edge na s6edge+ au samsung galaxy s7 au s7edge.aliyenayo anichek 0655073009
 3. N

  Msaada wakuu samsung galaxy s6 edge plus

  Wakuu habari za mchana samahani kwa kuwasumbua ni hivi katika pilikapilika za eid mosi mnamo jumatatu nimeangusha simu yangu samsung galaxy s6edge plus.Nataka nijue je kuna uwezekano wa kuipata manake hata sijui sina hata miezi sita tangu ninunue.
 4. N

  Dawa na ushauri wa tatizo hili wakuu

  Habari waungwana poleni na mihangaiko ya kutafuta ridhiki.Ngoja niende katika mada husika na nimekuja hapa jf kupata upembuzi wa jambo hili linamkabili dada yangu kwa majuma kadhaa ana vidonda mguu wa kulia vimejaa kweli na vina weusi kiasi.Naomba kujua tiba ya tatizo lake sababu hapa jf kuna...
 5. N

  Voda kwa kubadili gia angani hatari sana

  Wakuu wa nchi habari zenu natumai mu wazima,aidha niwape pole kwa shughuri nzito za ujenzi wa taifa letu.Ndugu zangu nina malalamiko kuhusu mtandao wetu pendwa wa vodacom hawa jamaa nawakubali kwa speed yao ya intanet but now nafikiria kuwakimbia kabisaa nisirudi nyuma kwani wamezidi kutunyonya...
 6. N

  Msaada; kwa anayejua bei za mageti ya fremu

  Habari wakuu, Nimebahatika kujenga kaofisi kangu sasa nina shida na geti la kushusha na kupandisha la futi 5 kwa 6 au futi 6 kwa 6.
 7. N

  MWANAUME WA MKOANI AKILIMA.

  wa mikoani mpoo
 8. N

  Hataki kuolewa na mimi msaada tafadhari

  Habari wakuu, Ni hivi nina msichana wangu wa kitambo kidogo na mimi ndio nilimtoaga usichana sasa alihama mitaa yetu kuna mahali anaishi. Sasa kipindi hiki nimempa ofa ya ndoa amegoma kuishi na mimi na nadhani hata tabia zake ni za ajabu kwani avai nguo za stara mimi nilitaka nimbadilishe but...
 9. N

  Samsung galaxy note3

  Habari wakuu natumai mwaendelea vyema na shughuri ya kujenga taifa letu ni ivi wakuu naomba msaada wa apps aina mbalimbali na games za kijanja niinjoy hii simu natanguliza shukrani wakuu
 10. N

  WAKUU MSAADA WA KUAPDATE HUAWEI P7 TO LOLLYPOP OS

  Wakuu nina huawei p7 os kitkat nataka mnisaidie iwe os 5.1.1 lollypop nashindwa wakuu
 11. N

  Mtihani kapata zero. Je asomee fani gani?

  Habari wakuu katika jukwaa la elimu, Nina shida moja nina mdogo wangu wa kike amefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana matokeo yametoka amepata zero sasa amekaa home lakini sasa ivi anajutia na anaomba asome sasa nishaurini kutokana na matokeo yake asome fani gani au arudie mtihani na kama...
 12. N

  MSAADA WAKUU SIMU YANGU INADOWNLOAD

  Wakuu nina tatzo na simu yangu huwa inadownload apps za apus kila nikifungua phone browser tatizo hili linapelekea simu yangu kuisha kifurush cha intanet mara kwa mara msaada wakuu tafadhari
 13. N

  Msaada wakuu pikipiki

  Jaman nina tatzo pikipiki yangu ni honda cc 70 tatizo haina nguvu na plagi inavuja mafuta msaada wakuu
 14. N

  Msaada wa kudownload video kwenye simu tecno h6

  habar great thinkers kama title inavojieleza msaada tafazar jinsi ya kuweka application ya kupakua video za aina zote
 15. N

  Msaada wa kudownload video kwenye simu tecno h6

  habar great thinkers kama title inavojieleza msaada tafazar jinsi ya kuweka application ya kupakua video za aina zote
 16. N

  Nitawezaje kutazama mpira online?

  Wadau wa JamiiForums naomba mnijuze au mnipe wavuti wa kutazama online football especiaally uefa leo. Natanguliza shukrani zangu kwenu greats thinkers.
 17. N

  Website za kutazama UEFA Champions League

  Jamani kama mnavojua leo ni UEFA Champions League tulio wengi tunapenda mechi za Ulaya tatizo DStv hatuna na gharama kubwa kulipia. Mwenye kujua websites yenye kuonyesha live mpira msaada tafadhali na mechi ndo saa 2245:smile-big::smile-big: