Search results


 1. L

  Shamba lenye Title deed Linauzwa Moshi

  Shamba lenye ukubwa wa aka 14 ... 7km form moshi town .... 3km from moshi dar road along Pumwani suburb .... mkonga ward ..... flat land ... very fertile for maize sunflower cultivation and kilimo kwanza ... water table is around 35-30 meters deep ... maji ya bomba yapo 400 meters away from...
 2. L

  Matumizi ya Over Drive Kwenye Gari automatic

  wakuu ni nini hasa matumizi ya Over Drive kwenye gari yenye automatic gear (transmition), je hutumika wakati gani haswa yaani ni wakati gani na speed gani inatakiwa iwe on au off ..... what are the pros and cons ahsanteni
 3. L

  I need an Investment consultant

  Rejea Kichwa cha topic hii : I need an investment consultant Industry: Real estate Type of Project: Development of Serviced Apartments or 'Apart Hotel' Location of the project : Arusha city center Job descriptions/ Terms of References: Project Appraisal, Preparation of Business Plan...
 4. L

  Tofauti ya Lamb na Mutton

  tofauti ya lamb na mutton mfano utatofautishaje lamb curry na mutton curry
 5. L

  Toyota Hiace Super custom- For you

  :biggrin:
 6. L

  Have you ever been a Victim of online business?

  Jf katika generation au zama hizi biashara nyingi sana zinafanyika kwa njia ya mtandao na hujulikana kama online business/e-commerce kuna shopping carts, shopping baskests, online orders na nyenzo nyingi kupitia mitandao mingi duniani, in reality na kwa experience iliyokukuta wewe je...
 7. L

  Greatest 2012 wishes - JF entrepreneurs

  i wish the US$ to trade as low as 1450 against TZS and let our tax policies to be reviewed in favour of promoting business community to trade more and pay respective lucrative taxes pia nina wish mabenki na taasisi za kifedha zitengeneze mazingira mazuri ya ukopeshaji kwa kutoa masharti...
 8. L

  Nyama Pori

  Katika kipindi hiki cha sikuku za xmass na mwaka mpya nimepata hamu kubwa sana ya kula nyama ya wanyama wa porini kama pofu, swala, ngiri, twiga, nyati, kongoni, ndezi, mamba, mbuni n.k anayefahamu wapi nyama hizi zinapatikana either iliyotayarishwa au mbichi atujuze i wish you a...
 9. L

  US Federal Reserve & other banks - dollar to trade cheaper

  The U.S. Federal Reserve, acting with five other central banks, took steps Wednesday to boost the troubled global financial system by making it cheaper for banks to trade in U.S. dollars. The Fed --along with central banks of the eurozone, England, Japan, Switzerland and Canada --announced a...
 10. L

  Dawa ya Nyongo nyingi

  mwenye msaada wa kujua kinachosababisha nyongo kuwa nyingi na dawa ya kupunguza nyongo mwilini huwa inatokea kuitapika asubuhi na hutoka nyingi sana natanguliza shukrani
 11. L

  inbox na maspam ya kichina

  wataalam mimi inbox ya e-mail yangu inashambuliwa sana kwa kuingia mails za kichina nyingi , yapata hata mail 60 kwa siku naomba ushauri nifanyeje kuzuia hii hali asanteni mfano wa hizo mails ni hapa chini ≪二階&#22530...
 12. L

  JF Businesss Ideas Competition

  Wana JF Nimekua nikipitia jukwaa hili la businesss and economy na kukutana na mawazo mazuri sana ya biashara kutoka kwa members wengi Naomba nitoe wazo la kuanzishwa kwa mashindano ya mawazo mazuri ya biashara kwa members wa JF Mashindano haya yanaweza kuratibiwa kwa ushirikiano na...
 13. L

  Biashara gani Pasua kichwa....!!!!?

  Wakuu ili tuweze kuwa makini na aina za biashara pale tunapotaka kuwekeza na kufanya biashara ninaomba angalau tujuzane biashara gani ni pasua kichwa (biashara kichaa) yaani katika makundi haya: hutumia muda mwingi, usumbufu mkubwa, risk kubwa na pia faida hupatikana kidogo .... hii ni katika...
 14. L

  Laptop keyboard Problem

  wana jf naomba msaada kwani nikiwa na type inatoke namba 3 na kujityp3e yenyewe mara nyingi bila kusimama ... mp3aka nitumie backsp3ace ndio inarudi lakini hujirudia tena ..... ninapo press no.3 button haitoi kitu na ninapo bonyeza no. 1 button number moja huandika na kufuatiwa na number...
 15. L

  Kilimo cha tunda aina ya Pesheni: Utaalam na Masoko

  Heshima kwanza Wakuu, nina shamba eneo la Makaa Yamu, Kirua Vunjo, wilaya ya Moshi vijijini lenye ukubwa wa ekari kumi na sita 16 (limepimwa na hati miliki) Shamba lipo kilometer nne kutoka barabara kuu iendayo Dar es salaam na Mombasa.Shamba hili lipo eneo la ukanda wa tambarare Kusini...
 16. L

  TANESCO KUHUJUMU ITV NA WATANZANIa?

  mods anachezea kazi yenu huyu ...merge this thread again and punish him
 17. L

  Pinda Bungeni - Taarifa ya Mabomu kulipuka, Bunge laahirishwa

  Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda anatoa taarifa bungeni kuhusu milipuko ya mabomu Gongo la Mboto Azungumzia takriba watu 19 wafariki Raisi kukutana na baraza la usalama la taifa Bunge laahirishwa ..sababu ya hofu kubwa kwa wabunge
 18. L

  Fursa kwa Wafanyabiashara wa mbao - Tanzania Wood Industry Business Challenge

  Wana JF ambao wapo katika sector hii ya mbao , magogo, nguzo za miti, bidhaa za mbao kama furniture na vyote vinavyoendena na bidhaa misitu Hii ni fursa itakayoshindanisha michanganuo ya biashara (Business Plan Competition) na baadae fursa mbali mbali zitapatikana kama vile finance for...
 19. L

  Kupanda kwa bei ya bia

  Tanzania Breweries Limited (TBL) wametangaza kwamba kuanzia tarehe 14 february 2011 bei za bia wanazotengeneza itapanda.... wakielezea sababu mbali mbali nyingi zikiwa ni kupanda kwa gharama za uzalishaji.... Brands za TBL ni pamoja na Safari Lager, Kilimanjaro Lager, Castle Lager, Castle...
 20. L

  Inasikitisha..Je waujua Ukweli juu ya Adhabu ya Kifo… “Abolish Capital Punishment”

  Nchi yetu ya Tanzania bado ina adhabu ya kifo .. Je nchi yetu na wananchi tunajua ukweli wowote juu ya ndugu zetu waliokosa na badala ya kuwarekebisha ili warudi kundini lakini tukatumia sheria zisizofaa na kuwahukumu kwa kuondoa maisha yao hapa hapa duniani...? wangapi wameshanyongwa hapa...