Search results


 1. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Naamini kwamba watu waweza kutana popote wakapendana na hata kuoana. Thank u though
 2. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Asante nitafanya hivyo
 3. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Hajaoa, ila ana wanawake karibu watatu wengine na wala hajali
 4. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  You know nothing abt me na wala sijayapitia hayo unayoyasema mpendwa. Don't try to be a mind reader
 5. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Mdogo sana ww nahitaji from 30-40yrs, check kwa thread
 6. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Inshaallah amina
 7. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Naamini kwenye ndoa, Na ndio maana at that age nimekua na mahusiano na mtu mmoja tu na ambaye tulikua kwenye mipango ya kuja kuishi pamoja. Bahati mbaya yametokea yalotokea ndio hivyo tena. Sasa Hata kama nitapata mtu hapa ajue lengo ninini. Sina haja ya just kusleep around then mnamwagana...
 8. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Msigombane jamani pls nawaomba, let's concentrate on thread pls
 9. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Nilishakuwaga na mchumba mpendwa but mwenzangu currently anaonekana kama bado hayuko ready kusettle. Na labda kwavile sikua/siwezi kuwa na more than one guy at a time so sijaweza kumreplace that much quick
 10. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Ukiniona hutojua kama Nina thirty hahahaaa. Its like 23-26
 11. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  U'positive unakutisha vp mkuu? It's just a name na kiukweli huwa sipanick in whatever situation, naamini ku'deal na issue zote kwa utulivu and mostly nipo na positive mind when comes to dealing wth any situation
 12. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Dini kwangu ana'matter mpendwa, nahitaji familia ambayo itakua na mlingano kwenye suala la imani pls
 13. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Nimeweka email address kwenye thread, nitatoa namba later kwa ambaye tutakubaliana. So mean time tuwasiliane kwa email hiyo.
 14. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  My age and carreer took me off, sijui hata pakuanzia mpendwa. I had just one guy in my life ambaye nimedumu nae muda mrefu kdg and familia zetu zilikua zinajua but amenibadilikia sana hivi karibuni and nimejitahidi kumvumilia na kuona how we can work out but seems impossible na labda Mungu...
 15. P

  Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

  Habari za humu wapendwa. Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu. Sifa za mwanaume:- 1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu 2. Kabila lolote 3. Mwenye kujitambua na aliye...