Search results


 1. othuman dan fodio

  Kuwa na mtoto wa kiume ndio uanaume

  Zipo familia nyingi zimejikuta ktk hali ya sintofahamu na migogoro isiyokwisha kwa sababu ya kukosekana kwa mtoto jinsia ya kiume hapa sizungumzii zile familia ambazo hazijabarikiwa kuwa na mtoto kabisa. Wanaume wengine wameamu kwenda mbali zaidi hata kutoka nje ya ndoa zao ilimradi tu mtoto...
 2. othuman dan fodio

  Swali: Walimu wanahamishiwa shule za msingi watakuwa chini ya afisa elimu wa msingi au sekondari?

  Habari wanamember wenzangu, kwa siku za hivi karibuni katika sekta ya elimu kumekuwa na utekelezaji wa agizo la wizara ya elimu/Tamisemi kama sikosei la kuhamisha baadhi ya walimu wa sekondari hasa wale wa masomo ya sanaa (arts) kwenda kufundisha shule ya msingi. sasa swali langu ni hili: hawa...
 3. othuman dan fodio

  Diamond karanga zinatengenezwaje?

  Wanajamvi, anayejua materials yaliyotumika kutengenezea diamond karanga aje atueleze hapa.
 4. othuman dan fodio

  Kurudishwa kazini.

  Je ni stahili gani mtumishi wa umma anapaswa kupewa na mwajiri wake pindi anaporejeshwa kazini baada ya kushinda rufaa yake?