Search results

 1. kalovha

  Natafuta uzoefu wa matumizi ya CCTV CAMERA

  Habari poleni na majukumu ya kazi katika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Naenda straight to the point nimekuwa nikijifunza mtandaoni hususani education platforms Kama udemy,skillshare na courseweb kupata basics ya knowledge ya kuinstall na kufunga CCTV CAMERA. Ila practical bado siko vizuri...
 2. kalovha

  Nashukuru ushauri wa JF nimepata mtoto wa kike

  Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba. Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata...
 3. kalovha

  Msaada: Kupata Idea nzuri kwa ajili ya Title project

  Habari za asubuhi, naenda straight to the point Niko mwaka wa mwisho nachukua Multimedia Technology and Animation. Nilikuwa naomba kupata idea nzuri ambayo inaweza ikawa tatizo katika jamii yetu ya sasa. Ili niwe kudemostrate kwa kutumia 2DAnimation au Content Development maana niliweza...
 4. kalovha

  Mbona walinzi wa viongozi Bara la Afrika wana vitambi?

  HABARI wana jukwaa natumai watu ni wazima wa afya na mko tiyari kabisa kuchagua kiongozi bora kwa manufaa ya Taifa letu la uchumi wa kati. Bila kuwachosha naenda to the main topic on hand nimekuwa nikifuatilia walinzi wa maraisi mbali mbali duniani haswa bara la Afrika maana nami nina ndoto ya...
 5. kalovha

  Niko njia panda, ushauri unahitajika

  Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya. Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi...
 6. kalovha

  Mazoezi bila mpangilio yanaweza kukuondoa uhai aisee!

  Habari ya Jumapili wanajukwaa pendwa kabisa, Natumaini wote ni wazima wa afya. Naenda Straight to the topic. Mimi kijana ambaye napenda sana mazoezi hasa ya body workout. Yaani ni mazoezi ya pushups, pelvic floor muscles, squash, na jumping jacks hasa pushups napenda sana lakini sipendi na...
 7. kalovha

  Online loss report form ina shida gani?

  Habari wanajukwaa natumaini wote ni wazima wa afya. Poleni na mihangaiko ya shughuli za kujenga taifa. Naenda direct to the topic. Majuzi niliweza kupoteza ATM card yangu ya Bank fulani hivi, ndipo nilipoenda bank nikaambiwa nikachukue loss report. Nikaenda central police station nikaambiwa...
 8. kalovha

  Hivi hii Spin to win imekaaje?

  HABARI ya jioni poleni na kazi na majukumu ya hapa na pale,naenda straight to the point Kwenye website ya parimatch kuna hii option ya Spin to win nimejaribu mara kadhaa kucheza huu mchezo naona graph ya fedha mara ipande mara ishuke,hebu wale wadau wa mahesabu ya bahati nasibu (probability)...
 9. kalovha

  Nawezaje kupata self confidence?

  Habari ya Jumapili, Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama una changamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto. Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa...
 10. kalovha

  Hivi suala la mtoto kukopesha mzazi limekaaje?

  Habari wanajukwaa kongwe kabisa, Poleni na majukumu ya hapa na pale pia tusijisahau kuwa Adui yetu COVID-19 bado yupo, hivyo wazungu wanasema "Healthy is the new wealth" hivyo Afya ni mtaji wa kila mtu. Naenda straight to the point. Ni hivi: Mimi na mzee wangu ni mstaafu sasa ni miaka mitatu...
 11. kalovha

  Inawezekana mtu aliesoma sayansi advanced kusomea Sheria chuoni

  Habari wanajukwaa pia hongereni na sikukuu ya Eid Mubarak pia tuendeleee kuchukua tahadhari Kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni pia usisahau kuvaa barakoa uendapo kwenye highly populated areas. Naenda straight to the point Mimi bado mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo Fulani hapa nchini...
 12. kalovha

  Settings za kuona jina la Mtandao wa Simu unapopiga simu

  Habari poleni na majukumu Naenda straight to the point, hivi Kwa watumiaji wa android hivi ili niweze kujua I'd ya mtandao wa simu Kwa mtu ninaye mpigia mfano, Vodacom, Tigo, nk sababu zamani ilikuwa inatokea kwenye simu yangu Samsung galaxy A10s. Sasa hivi naona jina tu la mtu na neno...
 13. kalovha

  Mwanamke akinikataa namchukia automatically

  Habari wanajukwaa kongwe kabisa la JF, ingawa bado tunachangamoto ya kirusi hiki hatari kabisa cha COVID-19 lakini tuendeleee kunawa mikono mara kwa mara. Ni muda wa mwaka na nusu sasa mimi kama expert member wa JF sijaweza kupost Uzi hasa katika jukwaa hili. Naenda straight to the point, mimi...
 14. kalovha

  "Samsung galaxy A10s inakataa kulog in

  Habari wapendwa natumaini mnaendelea vizuri Naenda straight to the point Nina simu Aina ya Samsung galaxy A10s, cha ajabu nikiingia kwenye account yangu kulogin hasa account yangu ya matokeo ya chuo Google Chrome, au browser nyingine kama opera mini.zote zinakataa inaniambia kuwa incorrect...
 15. kalovha

  Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo la video kuscratch kwenye laptop

  Habari wapendwa natumaini mnaendelea vizuri pamoja na challenges za kirusi hiki kinachotesa ulimwengu mzima COVID-19 , Pia ndugu zangu waislamu mnaoendelea na mfungo nawaombea pia. Naenda straight to the point nina PC aina ya HP Kwa kipindi hiki niliamua kujipa lock down mwenyewe Kwa...
 16. kalovha

  Changamoto ya kupata sehemu ya kufanya field

  Habari poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Mimi ni mwanafunzi wa undergraduate wa mwaka wa pili nachukua course ya BSc MTA (Multimedia Technology and Animation). Nipo likizo tumepewa jukumu la kuomba field kwenye organisation mbalimbali. Nipo Dar es salaam ila ni mgeni kabisa hasa pa kuanzia...
 17. kalovha

  Zero confidence ya kwenda kwenye machimbo

  Habari poleni na majukumu,ya ujenzi wa taifa .Naenda straight to the point kwamba Mimi ni kijana miaka ishirini na nne lakini nimekuwa kila nikaaproach mwanamke sometimes nakataliwa sometimes nakubaliwa ila SASA kila nikiomba kile kitendo(unyumba) naishia kupigwa calendar kila siku Niko DODOMA...
 18. kalovha

  Naomba kujua kuhusu charges kati ya ATM na bank teller

  Habari wanajukwaa wakubwa shikamo wadogo zangu marahaba. Naenda straight to the topic. Niko na ndugu yangu tunabishana eti, ATM ndio Kuna charges ndogo kwa NMB Ni 950, na kwa bank teller kwa uzoefu wangu nilioulizia watu kwa bank ya nmb Ni 6500 Tsh. Naomba nyie mchango wenu kumaliza ubishi...
 19. kalovha

  Mwanaume ili upendwe lazima

  Habari wanajukwaa, wale wa bongo Dar es salaam poleni na mvua za kifurushi cha buku jero. Naenda straight to the topic kwamba mwanaume lazima uwe una vitu vifuatavyo(PCM), POSITION, CAR, MONEY, Mimi ni victim mkubwa wa vibuti najibiwa majibu Kama (sorry Sina HISIA na wewe), ila ndipo nikafanya...
 20. kalovha

  Mwenye hii nukuu au quote msaada please!!

  Hello wanajukwaa,poleni na majukumu naenda straight to the point Mimi Ni mpenzi Sana wa nukuu(quotes).zimekuwa zikinisaidia katika changamoto nyingi hasa za kielimu,kimaisha,mfano "money speaks one language if you save me today I will save you tomorrow"...nilikuwa naomba kama mtu ana picha ya...
Top Bottom