Search results

 1. Genecandy

  Msumbiji: Mafuta kuchotwa Baharini inawezekana vipi?

  Wakubwa salaam Kuna clip inasambaa kwa kasi kutoka Mozambique Mkoa wa cabo Delgado almaarufu kama Pemba wananchi wakichota kinachosemekana ni mafuta ukingoni mwa bahari Mi swali langu ni hii kitu inawezekana kweli? Yaani mafuta yachotwe bila kuchanganyika na maji naomba wajuzi watujuze jmn...
 2. Genecandy

  Naomba muongozo wa usafiri wa treni Mbeya - Dar es Salaam

  Heshima yenu wapendwa, Naomba msaada jmn Kwa wale walowahi kusafiri kwa tren; kwa mara ya kwanza nataka Kutumia usafiri wa tren Sasa sijui nianzie wapi niishie wapi kuanzia kwenye kukata tiketi;cjui madaraja yake; uzuri wake na changamoto zake pia ili nione kama naweza kumanage! Safari yenyewe...
 3. Genecandy

  Palma Msumbiji, kitovu cha mafuta na gesi haipo tena

  Waasi wameamua kumaliza kabisa sasa washaingia wilaya ya Palma ambapo ndo kitovu cha mafuta na Gas toka Juzi mpka sasa washachoma kila kitu cha serikali kambi ya jeshi ipo mikononi mwao kituo cha polisi pia hospital na offic zote za serikali zimetiwa moto Raia ambao hawakuwahi kukimbia...
 4. Genecandy

  Johnny Mad Dog movie

  Heshima yenu wakuu Niende moja kwa moja kwenye mada wapenda movie nawaomba hapa; nilikuwa ndani ya gari naenda mkoani ndo nikakutana na hii movie ya JOHNNY MAD DOG Sijawahi kuiona ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza ila nilipoaingalia ikanisisimua sana jinsi vijana wa Kiafrika walivyouvaa uhusika...
 5. Genecandy

  Namna gani ya kusafirisha mzigo Tanzania kwenda Zimbabwe

  Salama wakuu naomba kusaidiwa jmn anayefahamu namna gani naweza safirisha mzigo wa biashara Tanzania to Zimbabwe kwa kuutuma mzigo i mean natuma mzigo huku kuna mtu anaupokea Zimbabwe ni gari gani na wapi ntazipata kwa Dar!!msaada pse!!
 6. Genecandy

  Mamaz Mwanaume mwenye watoto na wanawake tofauti tofauti ungeishi naye vipi?

  Wakuu wasaalam, Issue inaanzia hapa wamekutana miaka kadhaa ilopita Binti no 4; ntatumia no ili kueleweka vzr akiwa ni single Maza wa mtoto mmoja wa kike kwa madai yake ni kwamba alibeba ujauzito akiwa shule na baba wa bintino 4 kwa hasira akataka kumfunga huyo kijana alompa mimba ikabidi...
 7. Genecandy

  Soko la kuku wa kienyeji

  Wakuu heshima yenu jamani naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimefatilia thread zinazohusu biashara ya kuku wa kienyeji kwa Dar sijapata majibu ya uhakika naombeni anayefahamu. Maana na mi mtaji wangu si wa kuku wengi sana hivyo nimeshindwa kuomba tenda mahotelini nahitaji...
 8. Genecandy

  Msaada wapendwa, biashara ya Ice Cream za Azam

  Heshima yenu wakuu naomba kuuliza jamani. Kuna mtu anauzoefu wa biashara ya Ice Cream za Azam kwa wale wanao tembeza kifuani wamevaa mankotena? Naomba mnisaidie utaratibu unakuwaje?Unachukulia wapi? Na vipi faida yake maana kuna ndugu yangu anataka kuanza kufanya anasema ana laki moja awe...
 9. Genecandy

  Hivi ni katika umri gani unaweza gundua mtoto ni bubu au anakigugumizi

  Habarini wakuu, Nina swali dogo ila kubwa sana kwa upande wangu swali lenywe ni hili: Ni umri gani unaweza jua mtoto ni bubu au anakigugumizi? Na je kila Bubu ni kiziwi? au kila kiziwi ni Bubu? Ni umri gani mtoto anatakiwa kuanza kutamka Baba, mama, dada na kadhalika? Hasa kwa watoto wanaonzia...
 10. Genecandy

  Msaada kwa anayefahamu chuo cha mapishi kilicho chini ya veta!!!

  Hbr wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyosema jmn naomba mnisaidie chuo cha mapishi cha veta au kilicho chini ya veta mwanza au mtwara kwa anayefahamu utaratibu wao Na gharama zao!! Nipo mbali na mikoa yote miwili nimejaribu kugoogle sijapata info za kuridhisha xo kabla sijaenda naomba...
 11. Genecandy

  MSAADA Tafadhali: Mume ni HIV+, Mke ni HIV- na ana Mimba ya Miezi 4

  Habari Dears na Wadau wote: Jamani nahitaji ushauri, Mdogo wangu ameolewa mwaka 1 ulopita anasema kabla hawajaoana na Mumewe walipima mara moja na wote wakaonekana Wapo negative! Wameishi mpaka kipindi hiki alichokuja kushika ujauzito alipoenda kuanza 'Clinic' ikabidi aende na Mumewe katika...
 12. Genecandy

  Naomba msaada wenu wapenzi kwa wanaofahamu vyuo vinavyotoa kozi fupi za MAFUTA na GESI

  wasalam wakuu Jmn naomba msaada wenu wapenzi kwa wanaofahamu vyuo vinavyotoa kozi fupi za MAFUTA na GESI kwa hapa Tz;haijalishi kipo wapi ndani ya Tz mahali popote tu ntafika pse nisaidieni!! ntashukuru kwa michango yenu samahanini kwa kuingilia jukwaa nimekimbilia huku nimeona kuna akili...
 13. Genecandy

  MSAADA CHUO KINACHOTOA KOZI ZA MAFUTA NA GESI TZ

  salaam wapendwa;naomba msaada jamani kwa wale wanaofahamu vyuo vinavyotoa kozi za mafuta na gesi kwa hapa Tz; kwa shot kozi maana nipo kzn hvyo inabidi niwe natumia mda wa likizo kufanya hizo kozi!! Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom