Search results

 1. Bepari2020

  #COVID19 Waziri Ummy Mwalimu: Watu 3,147 walazwa kwa UVIKO-19 huku 76 wakifariki

  Lakini wataimaliza tuu kama walivyoimaliza Malaria huko kwao wakati huku kwetu bado tunaishi nayo.
 2. Bepari2020

  #COVID19 Waziri Ummy Mwalimu: Watu 3,147 walazwa kwa UVIKO-19 huku 76 wakifariki

  Watanzania walipuuza Ukimwi, na sasa wanapuuza Covid. Anayejali maisha ya Mtanzania siyo Mtanzania mwenyewe, ni mzungu. Bila ya mzungu kuleta ARVs, Ukimwi ungemaliza Watanzania karibu wote. Na kwenye hili suala la Covid, bila ya mzungu kuleta chanjo na dawa zao Covid tutaishi nayo muda mrefu.
 3. Bepari2020

  Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

  Hii siyo nchi aliyotawala mchongameno ambayo idadi ya watu haikufika hata milioni 10. Leo nchi ina watu milioni 60. Bila kuwagawanyisha watu nchi haitawaliki. Divide and conquer strategy. Tuendelee hata nchi za Marekani na Ulaya wanakuuliza ethnicity/race/language kwenye mambo mengi tuu na...
 4. Bepari2020

  Huko Duniani Rais anapimwa hivi na taasisi zao

  Serikali za ukoloni mlizikataa, na hizi zenu hamzitaki tena. Zimeshawaboa kabisa. Si mngemuacha mkoloni aendelee kutawala? Yule Turnbull angeendelea tuu kubaki kumwakilisha Malkia wa Uingereza mpaka mtakapokuwa tayari kujitawala. Ndiyo nchi za West Indies zilivyofanya na leo wamejenga taasisi...
 5. Bepari2020

  TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

  Kwani ardhi yote ya Tanzania si inamilikiwa serikali na kusimamiwa na Rais? Kwa hiyo hata gesi ni mali ya serikali siyo yenu kama mnavyoipigia hesabu. Nyie kaeni msubiri serikali inufaike kwanza halafu masalio na makombo mtatupiwa nyie. Msiingilie kazi za watu na kupiga piga kelele.
 6. Bepari2020

  Tuwaepuke wanasiasa wanataka kutuletea ukabila kupitia uChifu

  Kama ni ugenini basi ondoeni majeshi yenu ya vamizi. Mnasubiri nini?
 7. Bepari2020

  Tuwaepuke wanasiasa wanataka kutuletea ukabila kupitia uChifu

  Mnasema ukweli leo kwamba nchi ni mali ya mchongameno kabla hajafa akawarithisha wanae wa CCM akina Mkapa. Ndiyo ukweli nchi siyo ya wananchi ni ya wachache.
 8. Bepari2020

  Tuwaepuke wanasiasa wanataka kutuletea ukabila kupitia uChifu

  Zanzibar imevamiwa na majeshi yenu. Hakuna hali shwari mpaka myaondoe majeshi yenu ya vamizi.
 9. Bepari2020

  Tuwaepuke wanasiasa wanataka kutuletea ukabila kupitia uChifu

  Kwani Zanzibar ni ya kwenu nyie machogo? Mlivukaje bahari mpaka kule? Au Waarabu ndiyo waliwaleta Zanzibar na majahazi yao?
 10. Bepari2020

  Issa Shivji: Ufutaji wa Uchifu Kisheria, ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa

  Shivji amezeeka vibaya. Senile old man.
 11. Bepari2020

  Tuwaepuke wanasiasa wanataka kutuletea ukabila kupitia uChifu

  Nyerere aliwadanganya na kuwabrainwash msahau mila na tamaduni zenu ili awatawale bila usumbufu. Pia alipiga marufuku upinzani wa siasa kwa sababu hiyo hiyo. Mmefikia sehemu mnazikana na kuzikashifu jadi na tamaduni zenu.
 12. Bepari2020

  Rais Samia achana na siasa za watemi na machifu, ni hatari, hazikusaidii na hazilisaidii taifa

  Siyo kweli kusema makabila yamepitwa na wakati kwenye karne ya 21. Kabila ya wayahudi (Israelites) bado lipo na lina maendeleo makubwa sana leo. Nyerere ndiye alidhoofisha utawala wa machifu ili awalaghai watu na kuwalisha sumu ya Ujamaa. Halafu kila siku watu wanapiga kelele kwamba hiyo...
 13. Bepari2020

  Nani aliamuru jengo la bunge Dodoma kujengwa uswahilini

  Bunge ni mali ya wananchi (people's house). Hakuna ubaya likiwa karibu na waswahili.
 14. Bepari2020

  CDF Mabeyo ameviagiza vikosi vya JWTZ kujitosholeza kwa chakula, asema nchi ikiwa na njaa amani inatoweka

  Nchi ina mito, ina maziwa, imezungukwa na bahari, ina ardhi yenye rutuba lakini bado inahangaika kujitosheleza na chakula. Kanchi kadogo kama Israel ambako kako jangwani kabisa, hakana ardhi ya kutosha, kanajitosheleza na chakula na mpaka kanauza matunda, mboga za majani nje ya nchi. Hii nchi...
 15. Bepari2020

  Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

  Katiba mpya ikikiukwa mtasema nini? Mtataka nyingine tena? Nayo ikikiukwa tena mtataka nyingine tena na tena na tena. Wenzenu wazungu wako tayari kumwaga damu kutetea na kulinda katiba zao. Nyie mtaweza?
 16. Bepari2020

  Sababu za Tanzania kupitwa kimaendeleo na nchi nyingine

  Kingereza kisingeweza kuunganisha makabila zaidi ya 100 yaliyopo hapa Tanzania. Wengi wangerudia kuongea lugha za makabila yao maana kingereza ni kigumu na ni lugha ya kigeni. Na hicho kingeleta ukabila alioupiga vita Nyerere.
 17. Bepari2020

  Utabiri: Huenda ya KANU nchini Kenya yakaikumba CCM

  CCM ikifa na Tanzania inakufa. CCM ndiyo inalinda huo unaoitwa muungano kwa nguvu ya dola, CCM ikifa na muungano unakufa tena haraka sana. Muungano ukifa hakuna tena Tanzania. Nyerere alikuwa ni genius. Aliwategea bomu la muungano, akawaachia lile bomu CCM. CCM ikifa, bomu linalipuka.
 18. Bepari2020

  Sabaya atoa machozi Mahakamani, adai aliweka rehani uhai wake kuitumikia Serikali mpaka akatumiwa watu kumuua

  Angerekodi mazungumzo yao kwenye simu na hao waliomtuma kufanya uhalifu, leo angekuwa anapeta tuu. Maana ushahidi angekuwa nao kwamba alifanya uhalifu kwa niaba ya serikali.
 19. Bepari2020

  Mungu alimtumia Hayati Magufuli kulivusha taifa la Tanzania

  Magufuli angekuwepo au asingekuwepo, sisi bado tungeitwa sh!thole country. Uhuru tulio nao miaka 60 tumeshindwa kuutumia vizuri.
Top Bottom