Search results

 1. Vaislay

  Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

  Habari za muda huu wapendwa katika bwana. Naomba niseme hili kwa uchache tu. Mabinti wengi wamekuwa moto mno na kujikuta wanangukia pua wakitangaziwa ndoa na hawa watoto wetu wa kiume wenye mikakati yao, bila kuchukua muda wa kumsoma na kumfahamu muoaji, mwisho wa siku wanatutesa wanandugu...
 2. Vaislay

  Msaada wa mawazo

  Nilikuwa nasoma na kusikia ishu za kina Vicky Kamata lakini leo limefika mikononi... Mdogo wangu alitaraji kufunga ndoa hivi soon shughuli zoote mnazozijua za maandalizi zilifika ukingoni... Siku nne zilizopita nilipata simu ya Mume mtarajiwa akiniambia alikuta mesej ya mdogo wangu akitumiwa na...
 3. Vaislay

  Hatareee

  aiseeee
 4. Vaislay

  Happy birthday tuko

  Tuko, Heko na hongera kwa kuongeza miaka kadhaa ya kukimbilia uzeeni.. Nashukuru Mungu huyu kwa kuzidi kukuongezea miaka zaidi ya kuendelea kuwa nami na member wote wa JF , kwa michango mbali mbali ya mawazo yako..natumai miaka inavyoongezeka na comments zako zitaongezeka.. Tunakutakia HERI YA...
 5. Vaislay

  Si kila mahusiano mwisho wake ni ndoa

  heeheee...tusheni ni nyingi nahisi
 6. Vaislay

  Kinachoniboa na kukera toka kwa wanawake wenzangu

  Rafiki wa kiume nafahamiana nae tangu enzi za darasa la kwanza. Tuliepotezana kwa muda mrefu tu, ikatokea tukakutana tena njiani, nadhani mwajua furaha inayokuwa kwa watu mliopotezana muda mrefu. Tulibadilishana namba na since then tukawa tunachart vizuri tu tukapanga tuonane tupige stori...
 7. Vaislay

  Khabari za Uhakika,Tb Joshua Products

  Nimetoka kufatilia leo zile products za Man of God,Nimependa kushare nanyi taarifa hizi: Products za SCOAN hazipatikani kwa sasa,si kwa anoiting water za zamani wala hizi mpya, Wanaozipata ni wale wanaoenda kulekule na haijulikani ni lini tena zitakuwa zinapatikana... nimeambulia kurudi na...
 8. Vaislay

  Barua ya Kwenda kuangalia mpira

  Hakikisha umeandika barua ya ruhusa kuepusha shari kipindi hiki cha mpira
 9. Vaislay

  Kwa niliyemkosea/Mkwaza Ajitokeze na kuniambia

  Nawapenda Jf members wote lakini inafika hatua mnanikwaza, Sidhani kama nimewahi kukwaruzana na mtu Humu Ndani, Naomba kwa anayejua nilimkwaza aje ajitokeze na aseme, Ili turekebishe madhaifu yangu,mimi sio mtu mkamilifu na huwa sipendi kuchezewa rough na mtu... Mara ya kwanza nilishakutana na...
 10. Vaislay

  Ifike muda habari za vibustani vikomeshwe...

  Hivi karibuni kwa aliyepima, kituo chochote, aliambiwa kupima ni mara moja kwa mwaka sahizi?si tena ile kila baada ya miezi mitatu @? Haya turudi penyewe leo,Habari mabibi na mabwana na wadogo zangu nawe miss neddy na Excel mzee mapicha ndhani leo utanisaidia kunibandikia pics. Nashangazwa...
 11. Vaislay

  Kukosa watoto ni tatizo katika ndoa nyingi Tanzania

  One of my dearest rafiki ( mwanamke), ambaye yuko kwenye ndoa kwa muda wa mwaka na nusu sasa, alianza kuishi na mchumba wake kwa muda mrefu tu. Akiwa kwenye stage ya uchumba alikuwa akipata text toka kwa mashemeji na mawifi zake, wakimtaka aachane na ndugu yao, (yaani mwanaume) kwasababu...
 12. Vaislay

  Vichaka Vyenu Vinakatisha Mud bwana,

  Natanguliza samahani kwa wale ambao nitakuwa nimewakwaza jana,lakini ndugu zangu,Tupo kwajili ya kufahamishana tu sio ugomvi wala kashfa,kwani najua mtu akishajua mapungufu yake anajua jinsi ya kutafuta suluhisho. Nawaheshimu sana kaka zangu,baba zangu,wadogo zangu wote humu JF,Tusambaze...
 13. Vaislay

  Single momz tunashida sana katika mahusiano

  Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo" Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na...
 14. Vaislay

  Style za Nywele ..nyingine ni vibweka mtaani

  Nakumbuka miaka hiyo style ya Afro ilibamba sana mitaani,na watu walikuwa wanapendeza sana yani kitu natural hair, Lakini sahizi hao wenye style za afro wanaweka dawa nywele mwanaume mzima nywele kama kalamba mbwa bwana, wengine viduku kama yule jogoo kishingo aliyenyonyoka manyoya,mi nachoka...
 15. Vaislay

  Mwanaume malaya pia anakosa ujasiri wa kutongoza

  Habari ndugu zangu wote wa JF Nimekuja na mkasa unaonihusu mwenyewe, Nina marafiki wawili wa kiume,nipo nao karibu kama ndugu zangu tu,Weekend iliyopita niliwakaribisha nyumbani tukae na kubadilishana mawazo,wale marafiki sikufahamu kama wanafahamiana kiukweli, Kwa time tuko wote tulikuwa...
 16. Vaislay

  Mtafute Mwenzio aliko

  Mwiliwe, Mwiliwe bhahungu na bhakobwa??? Jumapili ya leo najua imetawala amani pande zote, Kwasie tusiokuwa na mitoko leo,tulioamua kupumzika hebu tupeane habari,salaam,za pande hizo...Tuwaite na wengine jamani, tusogeze muda mbele siku iishe haraka... Naomba kuuliza kidogo,eti nasikia JF...
 17. Vaislay

  Tupia Kabila Lako

  Tupia kabila lako,Tukutane wana ndugu hapa,kwa sie tuliohama makwetu tukumbushane ya kwetu
 18. Vaislay

  First Meeting na Kero zake

  Twambombooo.... Jamani hili nimeandika kwa experience kabisa, nikaona ni vizuri leo tueleweshane ili isaidie kurekebisha makosa fulani fulani kwa wale watakaokutana... MADA: Meeting kwa mara ya kwanza, kwa wale ambao hawajawahi kuonana kabisaaa,mara nyingi wakitumia mawasiliano tu,tunashukuru...
 19. Vaislay

  Mimi naamini wengi humu JF hawatizamiki mara mbili

  Habarichiiii Mimi nasema toka rohoni .....Kwa wale wanaume wanaotuletea matangazo ya kusaka wachumba,lazima watakuwa ni madomo zege na wengine hawatizamiki mara mbili, (kama masoud sura mbaya) na hata sent hawana.. Mwanaume mbaya hata kama sura ni maporomoko ya ukrain lakini kama anahela hakosi...
 20. Vaislay

  Tumekwazana sana JF

  Habari za Jumapili wana MMU na wengine wooote toka majukwaa mbalimbali... Nipo hapa leo kwajili ya Kutafuta amani kwa sie tunaotokea kukwazana kwa somecomments, Inafikia hatua mtu kujenga chuki na mtu humu ndani,kiasi kwamba kila wakikutana sehemu yoyote JF lazima watoleane maneno ya karaha...
Top Bottom