Search results

 1. A

  Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

  Nikiona damu najiskia kizunguzungu mkuu hata kuona mtu anapigwa sindano za mishipa pia ni shida
 2. A

  Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

  Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu? Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
 3. A

  Ni course gani naweza kusomaa kwa matokeo haya?

  Nimemaliza mwaka huu 2021 PCM division 2.12 na matokeo yafutayo: Physics D Chemistry S Advance mathematics B Naombeni ushauri ni course gani itafaa kwa ufaulu huo.
 4. A

  Udahili kabla ya matokeo ya ASCEE

  Wakuu naomba kuulizaa je Kuna uwezekano wa kufanya udahili kabla matokeo naona tcu wameandika kuwa dirisha la udahili linafunguliwa tarehe 13 June.
 5. A

  Mfumo wa kutunuku matokeo ACSEE 2021

  Ni kweli kuwa mfumo wa kutunuku matokeo (grading system) ya ACSEE kwa mwaka 2021 umebadilika ?
 6. A

  Kucheleweshwa ratiba ya mtihani kidato cha sita

  Mkuu hii ratiba tumeambiwa na shule kwetu ati ni feki kwasaababu tu sio baraza la mtihani wenyewe walioitoa wanasema hakuna chochote kilichowekwa kwenye website yao kwa Ivo sio wao walioitoa hio ratiba
 7. A

  Kucheleweshwa ratiba ya mtihani kidato cha sita

  Hivi ni kwanini NECTA hawajatoa ratiba ya mtihani wa kidato cha sita hadi leo. Tunaelekea mwezi wa tatu Tena na hakuna taarifa yoyote juu ya mtihani. Na kawaida necta hutua ratiba toka mwezi wa kumi na mbili au mwezi wa kwanza.
Top Bottom