Search results

 1. P

  Aende chuo kipi kati ya hivi?

  Dogo amechaguliwa Bachelor of commerce Finance UDSM Na Bachelor of science economics and finance IFM. Wajuvi wa mambo haya nisaidieni tafadhali. Natanguliza shukrani
 2. P

  Anawezaje kupata result slip au cheti kwa haraka ili akamilishe maombi ndani ya muda

  Kuna mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu, anataka kuomba kusoma chuo nje ya nchi. Anawezaje kupata result slip au cheti kwa haraka ili akamilishe maombi ndani ya muda. Msaada wenu tafadhali.
 3. P

  Ipi bora kati ya Digrii ya Insurance and Management na Economics and Finance Management?

  Naomba msaada kujua ni ipi course nzuri zaidi, kati ya Insurance and risk management na Economics and Finance Management. Natanguliza shukrani.
 4. P

  Rais Samia rejesha hadhi ya Ukuu wa Wilaya

  U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika. Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa tunashudia matukio ya ajabu ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate Uhuru. Hili...
 5. P

  IPI BORA KATI YA B.com na BEF

  Kuna dogo anataka kusoma uchumi , ninaomba ushauri ni course gani achukue kati ya BCOM ya UDSM na Bachelor of Science in economics and finance ya IFM? Wajuvi nisaidieni.
 6. P

  Pongezi kwako Rais Samia Suluhu kwa kuelekeza mabadiliko kwenye sekta ya elimu

  Hakuna nchi yoyote duniani iliwahi kuendelea bila kuwekeza kwenye elimu.Tumeshuhudia fedha nyingi sana zikitumika kwenye uwekezaji wa miundo mbinu mikubwa,ingawa miundo mbinu ni muhimu maendeleo ya nchi pia lakini uwekezaji kwenye elimu bora Mara mia kuliko miundo mbinu. Ukiweka kipaumbele...
 7. P

  Tuhuma za upikwaji wa takwimu za UKIMWI dhidi ya MDH zisifumbiwe macho

  NGO ya MDH inatuhumiwa kupika takwimu za UKIMWI kwenye mikoa wanayofanya kazi ambayo ni Dar-es-Salaam, Tabora, Geita na Kagera. Wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda mrefu mpaka Maji yalipozidi unga; kuna eneo moja idadi ya watu waliopimwa na kukutwa na virusi vya UKIMWI ni wengi mara mbili kupita...
 8. P

  Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Missenyi shtuka haraka

  Inawezekana hujui kinachoendelea kwenye idara ya Ardhi na hasa kwenye uuzaji wa viwanja unaoedelea sasa.Inaelekea ama kwa kujua au kutojua umewaamini sana watumishi wa idara ya ardhi Ila usiposhituka utapambana na migogolo mingi ambayo ingeweza kuzuilika kama mchakato wa uuzaji wa viwanja...
 9. P

  Utamaduni wa kuomba radhi kwa makosa ya kiutendaji

  Wadau tumeshuhudia baadhi Ma- Rais wastaafu wakiwaomba radhi watanzania, kwa makosa ya kiutendaji waliyofanya wakuwa madarakani. Alianza Hayati Baba wa Taifa Mwl.J.K.Nyerere, kwenye hotuba yake ya kuwaaga wantazania kabla ya kustaafu,alikili kuwa alifanya makosa ya kiutendaji akaomba radhi na...
 10. P

  Afrika inahitji Taasisi Imara siyo Viongozi Imara

  Haya ni maneno yaliyotamkwa na Rais mstaafu wa Marekani Barrack Obama alipofanya ziara nchini mwaka 2014."Africa needs strong institution rather than strong men". Hivi kweli watanzania tulimuelewa? Tunawe mikono na kuvaa barakowa Corona IPO na hatari.
 11. P

  Hujuma za makusudi dhidi ya ATCL zisifumbiwe macho

  Leo tarehe 20.10. 2018 nimesafiri na ndege ya shirika la ndege la Air Tanzania kutoka Bukoba kwenda Mwanza,nilichokiona kimenisikitisha sana.Pamoja najitihada kubwa za selkari ya awamu ya tano kuboresha usafiri wa anga,wafanyakazi wa shirika hilo ama hawajaandaliwa vyema au ni kwa makusudi...
 12. P

  Nielewesheni hili kuhusu taasisi ya Tanzania Social Saport Foundation

  Nimeona tangazo la NGO ya Tanzania social support foundation, kuwa wanatoa ufadhili na mikopo kwa wanachuo wa vyuo vya elimu ya juu.Ili maombi yako yaweze kuhalalishwa inabidi muombaji aambatanishe kiasi cha fedha taslim SHS.50000/=. Je hii NGO wafadhili wao ni kina nani? tovuti yao haionyshi...
 13. P

  Msajili wa NGO's omba msamaha kwa kumkwaza Mh Rais

  Leo nimeona kwenye tovuti msajili wa NGOs akitoa taarifa kwa NGOs zote nchini kufanyiwa uhakiki kuanzia tarehe 21 August 2017- 31 August 2017.Uhakiki huo utafanyika kwenye makao makuu kanda kwa maana ya kanda ya mashariki,kati,kaskazini, ziwa na nyanda za juu kusini. Kwanza nipongeze nia ya...
 14. P

  Tahadhari whisky bandia

  Tahaddhali kwa wanywa whisky. Kuna whisky fake aina ya Ballantine`s zimezagaa kwenye maduka ya jumla ya pombe kali yaliyo po kanda ya ziwa hasa Mwanza na Bukoba .Ukiifungua filter yake ni dark brown,na taste yake ni kama gongo. Trade mark yake ina G na B badala ya G,B na S yaani George...
 15. P

  Naomba ushauri wa kuchagua mchepuo sahihi

  Nina kijana amebalance vizuri kwenye matokeo yake ya kidato cha nne masomo ya sayansi. yeye anataka kufanya PCM ila mimi nilikuwa namshauri afanyePCB ana B+ ya Maths,physics,chemistry, biology.na masomo mengine ana B. wanajanvi naomba msaada wenu katika hili.
Top Bottom