Search results

 1. onjwayo

  Serikali na watendaji wake hawawathamini wazee waliostaafu

  Kuna kila dalili kuwa ukishastaafu serikali haikuthamini Tena. Au hii tuiweke kuwa pengine serikali Ina Nia nzuri lakini haitaki tu kuwasikiliza Hawa wazee. Manispaa ya Musoma Ni kielelezo Cha ulaghai na ukiukwaji wa haki za wastaafu. Wapo wastaafu tangu 2017 Hadi 2020 hawajapewa mapunjo yao...
 2. onjwayo

  Picha: Rais Samia akiwasili Dar es Salaam toka Glasgow Scotland

  Faida kwa taifa yeye kwenda huko......je, tumenufaika?
 3. onjwayo

  Tigo inamilikiwa na nani?

  Dawa Ni ndogo tu watu tuwahame tu
 4. onjwayo

  Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake Watatu kuendelea tena tarehe 26/10/2021

  Kwani Hawa majaji wetu hakuna mahala wanaowajibika kimataifa......?
 5. onjwayo

  Nimefurahia maamuzi kesi ya Mbowe, Mungu mkubwa atatenda

  Mjukuu umetoa hisia Kali, Kuna wacha Mungu wamekuelewa lakini wale watoa rushwa kanisani sidhani Kama wamekuelewa. Dhambi kubwa kuliko dhambi zote duniani Ni kukufuru roho mtakatifu. Mbowe anapotoa mateso ili mtu au kundi Fulani lifurahi na kushangilia. Mungu hataruhusu haya yatokee....Mara...
 6. onjwayo

  Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

  Ukitazama kwa mbali Ni kama hukumu tayari.......Yale mahojiano na BBC ndio ulikuwa matokeo ya kesi hii. Hakuna jipya Ni kupoteza Muda tu .......kikubwa Ni Mbowe kusimama kiume na kumuomba mahakama ifanye Kama itakavyoipendeza. Mawakili wajitoe wale wanaomtetea Mbowe. Wakibaki wale wa upande wa...
 7. onjwayo

  Mawakili wanaosimamia kesi ya Mbowe wana uwezo mdogo

  Hivi Kama nimekushika macho na kukutoa tongo tongo utanisahau kweli. Nimekuteua halafu uje unipinge wakati nilishasema kuwa kwenye hii kesi watu walishafungwa.
 8. onjwayo

  Dhuluma mlizomfanyia Mbowe ipo siku zitawarudia. Hakuna aliyewahi mgusa Mbowe akabaki salama

  Ninachokijua Ni kuwa waliomtengenezea Mbowe kesi ndio kwanza hawana Amani...
 9. onjwayo

  Anawaonea huruma CHADEMA lakini.....

  Viongozi wa CCM waongoze nchi na siyo kufikiria kuua Chadema.....kamwe huwezi kuua fikra za mtu.
 10. onjwayo

  Wakati tukisubiri hukumu ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake, tutafakari kidogo

  Hii kesi ikiamuliwa Kama wale wanavyohitaji italeta shida kwa nchi
 11. onjwayo

  Kwanini inatumika nguvu nyingi kumvika Rais Samia sifa na vilemba vya ukoka?

  Naona waweke na vipaza sauti kabisa news iwe Ni moja tu amesema, ametoa, ameweka, ameongoza, anachapa kazi .....kila kitu Agandi
 12. onjwayo

  James Mbatia: Tuna viongozi mapunguani hapa Tanzania

  Tatizo Ni sisi vigeugeu....Leo unasema Ni mapunguani ukipata gepu unaunga juhudi.
 13. onjwayo

  Vyombo vya habari vinewasaliti Wamachinga na Watanzania

  Vyombo vya habari vya nchi gani
 14. onjwayo

  Tutarajie mfano wa sarafu ya Kaisari hukumu ndogo ndani ya shauri kubwa kesi ya Mbowe

  Yesu kwa mifano yake, watu walishindwa kumnasa katika mitego waliyomtega. Aliwauliza "Hii picha ya Nani....wakajibu ya Kaisari" Baadaye akawaambie mpeni Kaisari vilivyo vya Kaisari na Mungu mpeni vilivyo vyake. Kesho wakati hukumu inatarajiwa kutolewa kwenye shauri dogo ndani ya kesi kuu tayari...
 15. onjwayo

  Kwenye utabiri wa Lema bado Spika Ndugai tu

  Ya Mungu hayo
 16. onjwayo

  Kwenye utabiri wa Lema bado Spika Ndugai tu

  Nakusikilizia
 17. onjwayo

  Kwenye utabiri wa Lema bado Spika Ndugai tu

  Mmmmm unesababisha nichekeeee
Top Bottom