Search results

 1. Said S Yande

  Tamko la wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa

  The lesson is POWER IS POWER
 2. Said S Yande

  Kwanini iwe Mwingira na sio Zitto?

  Shutuma za mchungaji Jana ni nzito sana,ndio maana anapaswa awasaidie polisi maelezo ili walifanyie kazi.
 3. Said S Yande

  Kwanini iwe Mwingira na sio Zitto?

  Mipangi ipi sasa? we all know that religious are there for the code of civilization,nje na hapo ni myth. Alikuwa wapi kutoa shutuma wakati wa magufuri.
 4. Said S Yande

  Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

  Ngoja mstaafu Mshana Jr aje atoe ufafanuzi
 5. Said S Yande

  Kwanini iwe Mwingira na sio Zitto?

  Asante Mimi mpuuzi ila mchungaji Jana kafanya ujuha.
 6. Said S Yande

  Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

  Ila kumbuka inapoishia sayansi ndio uchawi unaanzia.
 7. Said S Yande

  Ni ipi nguvu ya tambiko?

  Kauliza tambiko wee unalete hadithi za mungu tena
 8. Said S Yande

  Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

  Dini ni uongo kama uongo mwingine,ipo kwa ajiri ya CODE OF CIVILIZATION tu.
 9. Said S Yande

  Tani 100 za Ulezi msafi zina itajika!

  Uko dar arafu unataka bei ya wakulima kweli ndugu.
 10. Said S Yande

  Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda

  Si anakuwa bado mtuhumiwa kama ilivyo kwa bw makonda.
 11. Said S Yande

  Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda

  Hata muuaji huwa anaruhusiwa kuwa na wakili wa kumtetea.
 12. Said S Yande

  Tunadanganyana mitandaoni kuhusu Makonda

  Bro unauhakika na ulicho andika ndugu naomba usome upya.
 13. Said S Yande

  Nani yupo 'nyuma' ya mashitaka dhidi ya Makonda?

  Jinai haina expires date,alitenda jinai anapaswa kushitakiwa kwani yeye si hana kinga, kuhusu nani yuko nyuma MTU yeyote mpenda haki atakuwa upande wa mashitaka.
 14. Said S Yande

  Shiba Inu yazidi kushuka kwenye crypto currency nakuleta kilio kikubwa

  Hivi kuna memecoin ambaya ilishawahi kuvuta $0.5 and stayed above for a while.
Top Bottom