Search results

 1. K

  Mpina aibukia Zanzibar kuchukua fomu kuwania Uspika, azuru kaburi la hayati Sheikh Abeid Amani Karume

  Kwa bahati mbaya sana sio CV itakayompa nafasi ya u-spika bali ni maamuzi ya hightable ya nani na aina gani ya spika wanamuhitaji kwa sasa.
 2. K

  Jaribio la kumtoa Spika Ndugai ni la hatari kuliko linavyochukuliwa

  Kuna tofauti kubwa kati ya nafasi ya uspika na spika Ndugai. Hakika spika kwa nafasi yake kama mkuu wa muhimili ni position kubwa sana lakini kwa upande mwigine kuna Job Ndugai ambai ni spika.
 3. K

  #COVID19 Waziri Gwajima: Tanzania maambukizi yafikia watu 47 toka 14 kwa siku

  Bado nahoji ukweli wa hizi takwimu. Hao watu 100,000 kwa siku Tanzania hii wako wapi?
 4. K

  Serikali ifanye 'due diligence' mkataba TANESCO kukodisha software kwa Dola 30m toka kampuni ya India

  Bunge linasemaje juu ya hili? Yaani katika wabunge wote pamee Bunge linasemaje kuhusu hili? Yaani katika idadi ya wabunge wote tulionao hakuna hata mmoja anaeliongelea ?
 5. K

  Ofa ya Misrikuboresha mpango mzima wa Dodoma itakubaliwa?

  Ajabu, leo hii hata setup ya miji tunafikiria kuleta watu kutoka nje?
 6. K

  Samia Suluhu, doa la kumfunga Mbowe halitafutika, watangulizi wako wote walilikwepa

  Mbowe na Chadema wapambane na hali yao - ku prove beyond the reasonable doubt kuwa si gaidi. Msihamishie mahakama uraiani, watu wana challenges nyingi za kimaisha ku endure.
 7. K

  Jeshi la Sudan lasema litaachana Siasa baada ya Uchaguzi kufanyika mwaka 2023

  Once wanajeshi wakionja asali kamwe hawachomoki na hata wakitoka ni ki'mkakati tu - case studies ziko nyingi (Egypt, Myanmar, Mali, Chadi etc)
 8. K

  Ofa ya Misrikuboresha mpango mzima wa Dodoma itakubaliwa?

  Hivi haya mahaba na Egypt yametoka wapi? Leo hii our fellow African country inaonekana kama Donner country? Really!
 9. K

  Gambia: Rais Adama Barrow atetea kiti cha Urais, apata 53% ya Kura

  Uraisi ni mtamu sana. Wakati Adama Barrow anaingia madarakani aliahidi kutokuongoza beyond miaka 3, here we are now anataka awamu nyingine. Sitoshangaa ukasikia anaanza mitikasi ya kubadili constitution muda wake ukikaribi kwisha Ili aendelee.
 10. K

  Samia Suluhu, doa la kumfunga Mbowe halitafutika, watangulizi wako wote walilikwepa

  Nadhani ndio maana Chadema imeweka mawakili mahili ili ibaini huo ushahidi wa uongo, katika hatua hii mgewaachia akina Kibatala wafanye kazi yao.
 11. K

  Samia Suluhu, doa la kumfunga Mbowe halitafutika, watangulizi wako wote walilikwepa

  Kwani Mbowe anashutumiwa kwa kosa alilotenda lini? -labda kama unafahamu kuwa tangu enzi za Nyerere alitenda jinai ! Tujuavyo sisi jinai hii ni wakati wa awamu ya 5
 12. K

  Samia Suluhu, doa la kumfunga Mbowe halitafutika, watangulizi wako wote walilikwepa

  Ndugu jinai haina umri. Unaweza kuishi miaka yote safi ukatenda jinai at your 80s.
 13. K

  Samia Suluhu, doa la kumfunga Mbowe halitafutika, watangulizi wako wote walilikwepa

  Kwa kiasi kikubwa ulichokiandika kina mrengo wa kichama na hadithi za kusadikika. unaposema Nyerere alisema Chadema ni chama makini unamaana alikipa Chedema immunity ya viongozi wake kutoshitakiwa hata kama wametenda jinai? Nini point yako hapa? kusema kuwa Maraisi wote waliopita waliamua...
 14. K

  Emmanuel Nchimbi amestaafu lini Ubalozi? Kaapishwa Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa balozi Brazil

  Ubalozi unapokuwa ni zawadi - kupewa au kunyanganywa ni wakati wowote.
 15. K

  Samia Suluhu, doa la kumfunga Mbowe halitafutika, watangulizi wako wote walilikwepa

  Tukiacha mahaba ya vyama, au kati ya mtu na mtu kwanini inatumika nguvu kubwa kuiaminisha jamii kuwa Mbowe kaonewa ihali kesi bado inaendelea na anamawakili mahili kupata kutokea nchi hii. Tuache sheria ichukue mkondo wake na mahakama zifanye kazi yake.
 16. K

  Asiye raia wa Tanzania lakini alizaliwa Tanzania anaweza kumiliki ardhi?

  Nasheria zipo katika kulinda maslahi mapana ya nchi. Kama kuna haja ya kufanya amendments au ku overall sheria ifanyike ili mwisho wa siku nchi ipate ilichokusudia maana akina Ramadhani wako wengi.
 17. K

  Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

  Kuna waliowajibishwa kutokana na hii experience au kama kawaida yetu yamekuwa maongezi ya kwenye majukwaa? Kama hakuna accountability usitegemee kupata responsible people period!
Top Bottom