Search results

 1. Kilenzi _Jr

  Je, ni yupi?

  Mtu mmoja kauwawa kwenye rest room ya bar hapo juu kushoto je kupitia picha hii nani atakua kamuua??
 2. Kilenzi _Jr

  Story of Change Maisha baada ya chuo

  Mwaka 2017 wakati nakaribia kumaliza masomo ya shahada yangu ya kwanza pale chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) nilipata nafasi ya kipekee sana ya kuhubiri mbele ya wanfunzi wenzangu na baadhi ya wakufunzi. Nilifanikiwa kuhubiri pale kanisa la CCT — SUA na kila aliesikiliza mahubiri yale...
 3. Kilenzi _Jr

  Kuwa kwenye Mahusiano na mtu anaekuzidi umri sana ni hatari?

  Salaam Wana JF, Je kuwa kwenye Mahusiano na mtu aliyekuzidi umri sana ni hatari? Na kama ni hatari Jamii ifanye vipi kuepuka hili? Nawasilisha🙏
 4. Kilenzi _Jr

  Nawasalimu Wana JF wote

  Nipo na furaha sana kukutana na jamii mpya ya JF hakika Mimi nimefurahi sana hii jamii na nilikuja Kwa shindano la stories of change Lakini JF imenivitia sana
 5. Kilenzi _Jr

  Mwanamke wa aina hii ukiwa naye basi maisha yako yatakuwa magumu sana

  Kila mtu hapa ulimwenguni ameumbwa na sifa tofauti tofauti. Kuna wengine wameumbwa na tabia za kuridhisha na wengine wameumbwa na tabia ambazo hazifurahishi. Hii pia inajitokeza katika wanawake. Katika mahusiano, utapata kuwa wanawake wanakuwa na tabia ambazo aidha zinawapendeza wanaume wao ama...
 6. Kilenzi _Jr

  Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

  1: Punguza wasiwasi: Hebu lifikirie tendo kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza. 2: Fanya taratibu: Picha za ngono zinadanganya sana watu kwamba kulala na mwanamke lazima ufanye kwa haraka...
 7. Kilenzi _Jr

  Madhara 20 ya punyeto

  Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na usimamizi wa karibu wa wazazi au walezi. Ni wakati huu ndipo mbegu za kiume (manii) huanza kuzalishwa katika mwili wa kijana wa kiume na kupelekea...
 8. Kilenzi _Jr

  Niliyoyaona katika mechi ya Yanga vs Rivers United

  Binafsi nimeona haya Mosi: Yanga walianza kucheza kimasihara, na kuwachukulia poa Rivers united, walicheza kama vile wanacheza ndondo. Nilirudi sasa kwenye ufundi Rivers walianza na Viungo 5 wenye uwezo mkubwa wa kukaba. Yanga ilianza na kiungo mkabaji mmoja ambaye ni Zawadi Mauya, na...
 9. Kilenzi _Jr

  Sex vs Relationship

  Kwanini vijana wanaume wengi wanatanguliza sex sana kuliko mahusiano kwanza? Wanakuwa wako serious waoaji au ndio wapo Ili mradi wapate sex tu? Msaada🙏
 10. Kilenzi _Jr

  Wakati gani wa kuachana na Mahusiano yanayokuweka roho juu?

  Kuachana na mpenzi uliyetumai atakuwa mwenza wa maisha siyo jambo rahisi. Lakini vipi mahusiano yanapopitia mawimbi yasiyo na mwisho. Dharau, vipigo, kuvunjiana heshima au hata usaliti. Bila shaka ni sharti kuwe na mstari mwekundu kwenye mahusiano. Ama sivyo?
 11. Kilenzi _Jr

  Sifa 7 za mwanamke mpambanaji

  Dunia ingekuwa wapi leo bila mwanamke? Wanawake wana nafasi kubwa katika jamii yetu ya Tanzania na Dunia nzima kwa ujumla. Mwanamuziki Beyoncé wa marekani aliwahi kuimba akisema wanawake wanakimbiza/wanaongoza dunia (Runs the World (Girls) Ingawa baadhi ya wanawake wengi hawajapata ujasiri wa...
 12. Kilenzi _Jr

  Ushauri Kwa kijana yeyote anayetaka Kuingia kwenye mahusiano ya Ndoa.

  Mpendwa rafiki yangu, Zama ambazo vijana wengi wanahangaika kumpata mtu sahihi ni zama hizi kwa sababu watu wengi wanakuwa wanavaa barakoi yaani mask katika nyuzo zao hivyo ni ngumu kumjua yupi ni mtu sahihi kwako kama ukiingia kichwa kichwa. Watu wamekuwa ni wa kufanya maamuzi kwenye eneo la...
 13. Kilenzi _Jr

  Umuhimu wa ushauri kwa vijana

  Kwa kila kijana kuna haja ya kuwa na mtu wa karibu maishani anayeweza kukusaidia katika kukupa mwongozo wa maisha. Mtu huyu hufahamika katika kiingereza kama Mentor au coach?
 14. Kilenzi _Jr

  Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

  UPO ukweli kuwa wanaume wengi wanawaogopa wanawake wenye mafanikio. Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi kama alivyonieleza Godfrey, mwalimu wa sekondari...
 15. Kilenzi _Jr

  Nyumba inapangishwa mwanza

  Nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya kitangiri karibu na shule ya msingi Ina vyumba vitatu, self container na sitting room kubwa Mawasiliano 0672638938
Top Bottom