Search results

 1. I

  Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

  Huyo kocha hakuwahi kuwa kwenye benchi la ufundi la klabu ya Real Madrid, hizo ni porojo tu za humu kwenye mitandao na ingekuwa vipi hata yeye mwenyewe angeishasema, labda Real Madrid ya Zombo Kwa Tupa kule Kilosa.
 2. I

  Nimemtazama Chama leo Manungu, ni kweli amebaki jina tu!

  Needless to say Chama is, arguably, a pale shadow of what he used to be and for the bigger part of the time he played he was nothing but a peripheral figure. If he will make amends and return to his glory past is nobody's guess but judged by his current form, he lacks support.
 3. I

  Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

  Chama hapo alipo ndio saizi yake kule alikokuwa ameenda alikuwa amepotea njia.
 4. I

  Rais Samia achana na siasa za watemi na machifu, ni hatari, hazikusaidii na hazilisaidii taifa

  Tunaambiwa kila mtu ana uhuru wa kuabudu hivyo wewe amini tu huyo mungu wako haina shida na mimi nitamwamini ninayemwamini. Upo hapo..?
 5. I

  Rais Samia achana na siasa za watemi na machifu, ni hatari, hazikusaidii na hazilisaidii taifa

  Mimi ninavyoelewa Mungu ni moja na ndiye aliyeumba vyote vilivyomo katika dunia hii, mimi siamini kama kuna Mungu wa wazungu na Mungu wa waafrika, kwa kifupi siamini ktk uwepo wa hao miungu unaosema.
 6. I

  2021 AFCON Special Thread

  Kwenye hii round of 16 bado kutakuwa na surprises kibao kwani kuna timu zinazopigiwa upatu zitafungishwa virago, Nigeria, Morocco, Mali, Egypt wajichunge sana. Nitarejea.
 7. I

  Kwanini viongozi wa vyama vingine vya upinzani hawasumbuliwi Kama Mbowe

  It's very simple. Hivyo vingine vimeundwa na serikali kwa malengo maalum na wote wanaoviendesha ni wanachama wa ccm sasa nani awahangaishe tena.
 8. I

  Rais kuhutubia Bomang'ombe haitamsaidia lolote

  Ccm wako madarakani kwa miaka yote hiyo lkn wameshindwa kushughulikia matatizo ya wananchi na badala yake wanawazidishia wananchi shida sasa unasingizia watu ambao hawajashika madaraka hata kwa sekunde moja. Act-wazalendo ni moja ya vyama pandikizi vilivyoundwa na serikali ya ccm kukidhi...
 9. I

  Rais Samia achana na siasa za watemi na machifu, ni hatari, hazikusaidii na hazilisaidii taifa

  Huwezi kuwa kwa Mungu na tena ukawa kwa shetani 😈 hilo halipo lazima uchague moja.
 10. I

  kura kuibiwa tanzania

  Hakuna matokeo ya uchaguzi yaliyowahi kuwa ya haki ktk Tanzania hii toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa ila yale ya mwaka juzi naona hata Mungu aliona sasa wamevuka mpaka akapitisha "Fatwa" ikaenda na mtu.
 11. I

  James Mbatia atinga Mahakama Kuu kufungua kesi ya kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge

  Lodging a constitutional case before a kangaroo court manned by the ruling party sycophants masquerading as the judges. Let us wait and see its aftermath.
 12. I

  Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

  Kuna maswali mengine ni ya kupuuzi sana, hapa unatakiwa uiulize mamlaka inayowateua ndio wakupe jibu sasa humu nani atajua. It's nonsense.
 13. I

  Sababu za Tanzania kupitwa kimaendeleo na nchi nyingine

  Njia pekee ni kwa watawala kuwaogopa wananchi kwamba wanaweza kuwaondoa madarakani pale wanapoleta ujinga kama huu wanaofanya ccm, sasa kwa bahati mbaya sana Tanzania ccm hawana hiyo hofu kwa sababu wanafahamu fika kwamba wananchi hawana jeuri ya kuwaondoa kwa sababu nchi imefikia hatua ambapo...
 14. I

  Mungu alimtumia Hayati Magufuli kulivusha taifa la Tanzania

  Hiyo kuua indirectly kwenye "Penal Code" imo?
 15. I

  Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

  Wewe lini tajiri akamuogopa maskini, wewe una akili kweli, unajua unachoongea.
 16. I

  Uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine

  Hujui vita wewe, unaongea kama mtoto, inaonekana wakati wa vita vya Kagera ulikuwa hujazaliwa. Wazungu walimuonya Nyerere kwamba ukishamuondoa adui kwenye ardhi yako baki tu kulinda mpaka usiingie nchini mwake kuendeleza vita lakini Nyerere aliwapuuza na matokeo yake tumeyaona. Urusi...
 17. I

  Uingereza: Wabunge 11 wawasilisha barua za kutokuwa na imani na Boris Johnson

  Hapana, wakati Majaliwa anatundanganya kwamba rais yupo na anachapa kazi tayari huyo rais alikuwa kwenye jokofu. Akina Majaliwa hawana kitu wanaonekana kama wahuni fulani tu.
Top Bottom