Search results

 1. Z

  tuzuie vifo vitokanavyo na wivu wa mapenzi

  Kumekuwepo na visa vingi vya watu kujiua kutokana na wivu wa mapenzi.Hili huwa linaniuma sana hasa inapotokea mwanamke amejiua kwa sababu mume amechepuka kwanza tujue chanzo nini nini mwanaume kuchepuka kwanza kabisa ijulikana kuwa wanaume ni wadhaifu sana kwa wanawake.Kwa asili mwanaume ana...
 2. Z

  Angalizo kwa Serikali ya awamu ya sita na CCM: Kustawi kwa awamu ya sita na CCM

  Kwanza nimshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kuilinda nchi yetu Naomba ieleweke hivi kila serikali iliyoko madarakani imechaguliwa na wananchi baada ya kuinadi ilani ya chama husika. Mwaka huu tunaomaliza nchi ilipitia kipindi kigumu sana kwa kuondokewa na Rais aliyechaguliwa na...
 3. Z

  Humphrey Polepole naye ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili?

  Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili. Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression? Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
 4. Z

  #COVID19 Natamani kufungua kesi dhidi ya WHO. Kwanini ugonjwa mmoja una chanjo zaidi ya 24?

  Tunaposema tuwe makini siyo kwamba ni ujinga. WHO imeruhusu chanjo zaidi ya 24 kwa ugonjwa mmoja tu.Hii maana yake chanjo bado ziko kwenye utafiti na zimetolewa kwa hati ya dharula (soma masharti). Na kama zimeshakuwa fully approved maana yake ni kuwa zinazidiana ubora au uwezo ni sawa na dawa...
 5. Z

  Askofu Gwajima amehukumiwa kwa mahubiri yake au kama Mbunge? Je, angekuwa siyo Mbunge ingekuwaje?

  Sijaelewa embu nielimishwe Askofu Gwajima alianza kutilia shaka chanjo hii akiwa bungeni. Akiwa kanisani ameendelea kutia shaka. unajua tutofautishe kutia shaka na kupinga. Sasa kwa sababu mahubiri take kama mbunge yameonyesha kudhalilisha bunge, je angekuwa RAIA wa kawaida hukumu yake...
 6. Z

  #COVID19 Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

  Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved? The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on the 9th, the secretary articulated that it was his intent to mandate Covid-19 vaccines upon F.D.A...
 7. Z

  Watanzania tusijiaibishe. Tunamtetea anayejichukulia sheria mkononi kuua polisi?

  Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police. Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police? Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
 8. Z

  #COVID19 Ukiugua ugonjwa ambao hauna tiba na ukapona, je inahitaji kupatiwa chanjo?

  Tumeona kati ya watu 200 million walioambukizwa na kuugua ugonjwa wa COVID-19, ni watu milioni 4 tu wamekufa. Ina maana zaidi ya million 190 wamepona bila kuwa na na specific treatment ya ugonjwa wa UVIKO-19. Ni kwamba miili ya wagonjwa hawa iliweza kujitengenezea specific antibodies against...
 9. Z

  Tukiendeleza kutumia nguvu kuwanyamazisha watu wanaohoji juu ya mambo ya kitaifa, tunatengeneza Taifa la hovyo na nchi kutekwa na adui

  Kipindi cha ukoloni, mkoloni hakupenda kabisa kuona watu wenye akili wakihoji. Kama Afrika isingekuwa na watu wenye kuhoji mpaka leo tusingekuwa tumejipatia uhuru.sehemu nyengine hawakupata uhuru kwa mtutu wa bunduki bali kwa hoja tu. TAIFA lenye watu wa kuhoji mana yake liko hai na linaonyesha...
 10. Z

  Tumjibu Askofu Gwajima Kisayansi na si Kisiasa, tuache kumshambulia na kumtishia. No research no right to speak

  Kwanza kabisa tuache kutishiana kuhusu covid 19 japo kama una kinga dhaifu au kama una other risk factors ya kuambukizwa na kufa kwa ugonjwa wa uviko 19 jaribu kukaa mbali na watu ambao unahisi wanaweza kukuambukiza covid 19 au kama una hiari ya kupata chanjo ya covid 19 nenda ukachanjwe . Risk...
 11. Z

  #COVID19 Marekani: Rais Biden ataka kutolewa Dola 100 kwa kila atakayepata chanjo ya COVID-19

  Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19 100x2399= 239,900 hii ni kweli? ==== Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 atalipwa dola 100. Marekani ni nchi yenye chanjo za kutosha, na idadi kubwa ya watu...
 12. Z

  Unapoendesha nchi kijamaa, andaa tozo za kijamaa

  Tuna miradi mikubwa ya kitaifa. Hii ikikamilika itasaidia wananchi wote kijamaa. Miradi kama SGR, bwawa la umeme, kiwanda cha dawa ni miradi ya kimkakati zaidi kuliko kujenga mashule vijijini. Hao wavijini waitwe kwenye harambe wafyatue matofali wajenge madarasa. Labda wachangiwe mabati, sementi...
 13. Z

  Kila ripoti ukiikubali bila kujiuliza na usipokuwa mkali tangu mwanzo, utadanganywa tu

  Nakumbuka enzi za JK mtu mmoja aliweza ku-attend seminars tatu kwa siku. Na wengine walikaa chini ya mti kuandika report ya uongo. Haya niliyashuhudia mwenyewe kwa macho yangu na wala simsingizii mtu. Kuna hospitali moja hapo Dar iliingia ubia wa matibabu na taasisi fulani kilichokuwa...
 14. Z

  Shida ya Taifa letu ni vita kati ya ujamaa na ubepari. Tuchague moja kati ya hayo

  Soma hii hapa chini Freeman Mbowe alianza kufanya biashara akiwa na miaka 23,anasema hali ya biashara nchini ilikuwa mbaya baada ya Azimio la Arusha. Pia Mbowe anasema baba yake alikataa Ujamaa na ndipo walipo tengana na Mwalimu akamwambia “tutabaki marafiki lakini niache niendelee na biashara...
 15. Z

  TRA na Wizara ya Biashara tumieni njia hizi kukusanya kodi. Kila mwananchi lazime atalipa kodi na nchi itapaa kiuchumi

  Heri ya sikukuu ya Muungano, Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti. Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking). I tell this is the only...
 16. Z

  Nataka niunde chama ambacho kitawaenzi hayati Baba wa Taifa JK Nyerere na hayati JP Magufuli

  Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na rushwa nk nataka wazalendo tuunde chama ambacho misingi yake itakuwa ya uzalendo uliyoonyeshwa na...
 17. Z

  WHO wawe wakweli, Chanjo ya Corona haikupitia hatua za kisayansi kuruhusiwa kutolewa kwa binadamu

  Kila dawa inapotengenezwa lazima ipitie clinical trial ili ithibitike kuwa inafaa kutolewa kwa binadamu. Leaflet yake itaonyesha mechanism of action, route of administration, bioavailability, and possible side effects Tumeona sehemu nyingi ulimwengu vaccine ya AstraZeneca ikikataliwa baada...
 18. Z

  Kati ya wafanyabishara na wafanyakazi nani mlipakodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu?

  Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana. Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi aliyejiriwa nani mlipa kodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu au mlalamikaji na mpiga makelele sana...
 19. Z

  Is it by science or planned: Spanish flue killed more young people; Covid 19 kills more older people

  The 1918 Spanish flue ahead of world war 1 killed more than 50 million people globally .More affected people were young age that older people. To me it brings more questions in my mind why this did happen to weaken the force of young people while the world was suffering from the effects of...
 20. Z

  Sheria inasemaje kama hospitali ikitoa siri za mgonjwa bila idhini yake au ndugu zake?

  Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu? Na international law inasemaje? Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu. Hatuwezi kuacha...
Top Bottom