Search results

 1. Tumpara Dudu

  Tofauti kati ya jaji na hakimu

  Habari za mda huu wandugu? Msada wenu wananipo naomba kujulishwa tofauti kati ya jaji na hakimu
 2. Tumpara Dudu

  Naomba kujuzwa chapisho zuri na rahisi la kujifunza Sarufi ya Kiingereza (English Grammer)

  Salaam kwenu wana Great thinker. Kwa mara nyingine tena najitokeza kwenu kuwaomba mnisaidie kujua ni kitabu gani cha Sarufi ya kiingereza au kwa lugha nyingine tunaita English Gramer, ambacho kina madini deep na ya kushibisha kuweza kujifunza mwenyewe kanuni za Luga ya kiingereza?
 3. Tumpara Dudu

  Naomba kujuzwa sifa za desktop na mashine bora ya Photocopy

  Habari za muda huu wadau? Kwanza nawatakien heri ya pasaka na pia niwape pole kwa janga la corona linalotesa dunia kwasasa. Bila ya kuwachosha, wakuu wangu najitokeza kwenu kuwaomba mnisaidie kujua sifa za Computer bora ya mezani. Shabaha yangu ni kuitumia kwaajili ya kituo cha internate cafe...
 4. Tumpara Dudu

  Kalenda ya elimu 2019 (academic calender 2019)

  Habari zenu wanandugu? Naomba kufahamishwa,tovuti ambayo naweza kupata kalenda ya elimu kwa mwaka huu wa 2019 kwa shule za Tanzania,au hata mwenye Soft copy anisaidie kuipata Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Tumpara Dudu

  KU UNLOCK MODEM

  Wandugu habari za mda huu? Kama kichwa cha habari kilivyo,naomba iwapo kuna mtaalam wa ku UNLOCK Modem ani pm tuongee biashara. Nina MODEM yangu aina ya Huawei na ni ya Zantel nataka ni UNLOCK ili niweze kutumia lain yoyote Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Tumpara Dudu

  Maazimio ya vyama 6 vya upinzani ni mtego kwa Rais Magufuli

  ANGALIZO: ======== Mada hii ni maoni na mtazamo wangu ambao pia itahitaji mjadala mpana utakaotupeleka katika hitimisho litakalotusaidia kutoa ushauri kwa viongozi wetu wa kiserikali na kisiasa ili kulinda amani na umoja wetu. Salaam wana great thinkers. Awali ya yote nitoe shukran zangu kwa...
 7. Tumpara Dudu

  MSAADA WA KUUPATA HUU MZIKI

  Wanandugu naomba mnisaidie. Wapi naweza kudowload hizi nyimbo za miaka ya 90, moja inaimbwa "Shambani,shambani,shambani shambanii mazao bora shambaaani. Tushike jembe shambaaani,wananchi tukalime......." Na mwengine ni huu " Mpeleke mtoto shule,akapate elimu eee utafaidikaaa kwa maisha yakoooo"
 8. Tumpara Dudu

  Tofauti ya body spray na pafume kimatumizi.

  Habari za mda huu waungwana? Naomba mnifahamishe tofauti ya Body spray na pafyum kimatumizi wanaume wa mikowani huwa hatutumii hyo kitu ila nilipohamia Dar nikakuta watu wa Dar wanatumia wwakua ukifika Roma utaishi kama Mroma sasa naomba mnielimishe ili na mimi niishi kama mroma
 9. Tumpara Dudu

  Maisha katika nchi ya Comoro

  Habari zenu wakuu? Kinadada shkamooni wanaume wenzangu hamjambo? Kwa heshima na taadhima najitokeza kwenu kuomba uzoefu wenu kuhusu maisha ya kibiashara katika nchi ya comoro. Mm kwasasa naishi Tanzania katika mkoa wa Dar. Ni mfanyabiashara wa mazao ya kilimo na pia ni mwalimu wa madrasa na...
 10. Tumpara Dudu

  Natafuta wakodishaji kofia za Mahafali

  Habari zenu wakuu? Kama kinavyoeleza kichwa cha habari. Nahitaji kofia 20 za mahafali za kukodi kwaajili ya watoto wadogo wa Nursery. Kofia ziwe nyeusi na ziwe nzuri kama za watu wa chuo. Mwenyenazo naomba tukutane pm kwa mjadala wa bei na tarehe yangu ninayohitaji. Ahsanteni
 11. Tumpara Dudu

  Shule ya mafunzo ya mbwa

  Habari zenu wana Great thinkers. Naomba msaada wenu kwa anaejua shule ya mbwa ktk mkoa wa Dar es salaam. Ninampango wa kununua mbwa aina ya PITBULL lkn nasita kwakua nimeambiwa aina hii ya mbwa huwa haina rafiki wa kudumu na inaweza kukuchenchia wakat wowote ispokuwa tu kama anamafunzo,ndipo...
 12. Tumpara Dudu

  MSAADA TUTANI

  Naanzia wapi kuwachukulia sheria hawa watu? Maana wamekuwa kero sana kwangu,nimewachoka Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Tumpara Dudu

  Daktari bingwa wa uzazi na magonjwa ya kinamama

  Wanajopo habari za muda huu. Naomba yeyote ambae anafahamu ambapo naweza kumpata daktari mtaalamu wa maswala ya uzazi na magonjwa ya kinamama basi anisaidie kwakuniconnect nae,nina private shida jamani Ahsanteni Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Tumpara Dudu

  MUONGOZO WA KISHERIA

  Waungwana,naomba muongozo wa kisheria. Mitaani katika jiji la Dar kuna operesheni za usafi wa mazingira nyumba kwa nyumba. Kuna msafara wa askari wengi wakishirikiana na SUMA JKT wanapita kwenye nyumba za watu wanaingia kukagua ukumbini,vyooni na imeripotiwa baadhi ya nyumba wameingia had...
 15. Tumpara Dudu

  Natafuta mama kuanzia miaka 34 awe mke wangu

  Habari wanajopo. Mm ni kijana wa umri wa miaka 30,nilioa msichana wa miaka 25 na nimezaa nae mtoto 1. Tatizo kubwa la msichana huyu nadhani ni kutokana na umri wake yaani sio mtu wa malengo kimaisha na ana matumizi mabaya sana ya hela,hajui kujibajet. Nimechoshwa na maisha ya kuanza moja kila...
 16. Tumpara Dudu

  MSAADA JINSI YA KUPANDSHA UBORA WA BIDHAA ZANGU NA KUJUA EXPIRE DATE YAKE.

  Wakubwa zangu shkamooni. Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyoeleza. Mm najishughulisha na biashara ya nafaka kama mchele na unga,sembe na dona. Sasa nataka kupandisha thamani ya bidhaa zangu kwakuziwekea vifungashio vya ujazo wa aina mbalimbali kuanzia kilo 5 had 25. Kwa unga na kuanzia kilo...
 17. Tumpara Dudu

  Wapenzi wa Philippine's drama

  Waungwana msaada wenu kwa wanaojuwa link inayoweza kutizama drama za ufilipino
 18. Tumpara Dudu

  Kuna tofauti gani kati ya computer science, IT na ICT?

  Za mda huu wanajopo. Naomba msaada wenu kwanza nijue tofauti ya computer -science -IT -ICT Na pia nijue ktk hizo ni kozi gari ni bora na itaniwezesha kucheza vyema na mitandao kisha naomba mniambie ni chuo gani kinafundisha vyema kozi hiyo ngazi ya certificate?
 19. Tumpara Dudu

  KOZI BORA NA CHUO KIFAACHO

  Za mda huu wanajopo. Naomba msaada wenu kwanza nijue tofauti ya computer -science -IT -ICT Na pia nijue ktk hizo ni kozi gari ni bora na itaniwezesha kucheza vyema na mitandao kisha naomba mniambie ni chuo gani kinafundisha vyema kozi hiyo ngazi ya certificate?
 20. Tumpara Dudu

  Biashara ya mchele kutoka Mbeya

  Heshima kwenu wakuu, Mwenye uzoefu na biashara ya kuagiza mchele kutoka kwa wakulima huko Mbeya na kuusafirisha kuuleta hadi Dar. Naomba uzoefu na msaada wenu hapa.
Top Bottom